CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa

Chadema ni chama cha wachaga.

Siku hizi wameanzisha vita na kanda ya ziwa.

Katika wanaopigwa vita, hawa wamo?

IMG_20210328_223958_589.jpg
 
utii kwa mamlaka Ni AMRI ya MUNGU sio binaadamu, vitabu vya imani zote vina elekeza hivyo.
soma biblia au kuran.
Kwani katiba inayozungumziwa hapa inamtambua huyo Mungu...
Vip uwalazimishe watu utii wa amri ya Mungu wale wasiomuabudu kama Afande Sele
 
Mna imaginations za ajabu kweli.

Nahisi nyinyi ndo huwa mnateseka.

Mimi niteseke kwa lipi?

Sijawahi kuwa mtumishi wa Magufuli.

Kibinafsi, simjui na hakunijua.

Sijawahi kuwa mtumishi wa serikali na kamwe sitokuja kuwa.

Najitegemea mwenyewe.

Sijawahi kupata handout yoyote ile toka kwa serikali yoyote ile.

Sijanufaika na chochote kile kutokana na urais wa Magu

Maisha yangu hayajabadilika kwa lolote lile.

Sasa cha kunitesa ni kipi? Waweza kunitajia?

Yaani kabisa umekaa hapo ulipo na kujiaminisha kwamba Ngabu anateseka?

Magufuli nimemkosoa sana humu JF. Unabisha?

Wewe uliteseka wakati Magufuli akiwa Rais?
Mh. Nyani, I will repeat myself! Ukipanic ndo utaonekana unateseka, au nimekosea ndugu yangu?! You just need to relax! He is gone, but life goes on!
 
Haya ni maajabu!
Chadema wanaelekea nini kifanyike kwa Rais ambaye walisema hawatambui uchaguzi uliomuweka umakamu wa Rais!
 
Unataka wasitambue mpaka lini?! Hizi hoja za kibaguzi hazijengi, Tanzania ni yetu sote! Ona haya na aibu kuendelea kusisitiza utengano, wakati mama Samia amesisitiza utengamano!
 
By Albanie Marcossy:

Katiba inachezewa?

Samia Suluhu Hassan ni RAIS; sio Kaimu!

Baada ya Kusoma tamko la Chama cha Wanasheria Tanganyika, TLS, na lile la Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, na kupitia mijadala kadhaa katika mitandao yetu ya kijamii, nimelazimika mshangao wangu niupeleke mwenyewe kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Habari hii inahusu uwepo wa Baraza la Mawaziri chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Rais Samia tangu alipoapishwa hata sasa namuona anawatumia watu wale wale waliokuwa Mawaziri, manaibu Waziri na Mwanasheria mkuu wa Serikali iliyopita kana kwamba ndio utaratibu.

Niliposoma katika Ibara ya 38(2)(f) nikapata ufafanuzi wa kukoma kwa urais wa john Pombe magufuli, pale alipofariki na kumbe nafasi yake itajazwa kwa utaratibu uliowekwa na Katiba. Kabla ya Ibara hii, ile Ib. 37(5) inatamka wazi kuwa endapo Rais atafariki, Makamu wa Rais, ataapishwa kuwa RAIS…. Na kuwa ataongoza kwa kipindi chote kilichosalia ndani ya miaka mitano. Kumbesa, Ib.42(1) ikamtambua Makamu wa Rais kuwa ndiye rais Mteule na kuwa atashika mamlaka ya Rais ndani ya siku 7. Katiba hii hii inasema katika Ib. 42(5) kuwa rais Mteule ataapa (kwamba aliyekuwa makamu wa Rais lazima aapishwe kuwa Rais). Kwamba pamoja na kiapo chake sambamba na Rais aliyetangulia, ni lazima aapishwe kwanza kushika madaraka ya Rais. Vivi hivyo, Waziri Mkuu, Mawaziri na manaibu wao, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali aliyeteuliwa kushika nafasi na Rais aliyepita, atapaswa kuapishwa upya (endapo atateuliwa) kuendelea kushika nafasi hiyo na rais aliyeingia madarakani.

Pamoja na kumpa Makamu wa Rais nafasi ya kuwa Rais lakini katiba hii inatamka kwenye Ib. 47(2) kuwa MR lazima awe alichaguliwa na kwamba atakoma kuwa Makamu wa Rais siku atapoapishwa kuwa Rais. Na kuwa Mawaziri na manaibu Waziri wote watakoma kuwa katika nafasi hizo “…mara tu kabla ya Rais Mteule hajashika nafasi yake” (URais) kulingana na Ib.58(5)b.

Hivyo ni wazi kabisa kuwa Katiba yetu haina utata kwenye urithisho wa madaraka kati ya Rais na makamu wake endapo Rais atafariki. Na hakuna utata wa nafasi za Waziri Mkuu, Mawaziri, manaibu waziri na Mwanasheria Mkuu wa Serikali: kwamba nafasi zao zitakoma mara kabla ya Rais Mteule hajashika madaraka ya URais. Pia ni jambo lililo wazi kabisa: hakuna kiapo cha urithi. Kuanzia Makamu wa Rais anayekwenda kuwa Rais, Waziri Mkuu na hata Mwanasheria Mkuu na Manaibu Waziri; hata rais aliyechaguliwa mara ya pili hawezi kuendelea na kazi bila kuapishwa upya; inakuwaje Mawaziri hawa waendelee kubaki mamlakani bila kuapa mbele ya Rais mpya? Je, kwa kiapo hicho, watamtii Rais aliyepo au marehemu? Mtu pekee anayebaki kwenye Baraza la Mawaziri ni Rais wa SM/Zanzibar. Naye pia atapaswa kula kiapo kwa Rais mpya.

Hivyo basi:
1. Ni wazi kuwa kwa sasa nchi yetu haina Waziri Mkuu, Mawaziri na manaibu Waziri; na pia hakuna Mwanasheria Mkuu wa serikali. Baraza la Mawaziri lilivunjika (hakuna haja ya kulivunja) siku kabla ya Mhe. Samia Suluhu Hassan hajaapishwa kuwa Rais. Pia Mwanasheria Mkuu wa Serikali alitenguka;

2. Lile ulilohudhuria siku ile mara tu baada ya kuapishwa lilikuwa ‘Kongamano la Waliokuwa Mawaziri’ kwenye seruikali ya awamu ya tano;

3. Matendo yoyote wayatendao ‘Waliokuwa Mawaziri na Manaibu wao na Mwanasheria Mkuu’ yachukuliwe kama nia njema ya kisiasa (good political intentions to serve. Kwa namna yeyote wakijiingiza kwenye maamuzi ya kisheria tutaiingiza knchi kwenye mtanzio wa kikatiba punde;

4. Siamini endapo watu hawa wote hawajui walifanyalo. Huenda kuna msukumo nyuma ya pazia; huenda ni kwa kutokujua au upepo wa kisiasa na mkanganyiko wa msiba. Endapo ndivyo, tafadhali Mh. Rais ashauriwe haraka kuchukua hatua za kuliondoa baraza hilo kimya kimya;Kuendelea kuwepo madarakani watu wanaojua hawakuteuliwa wala kuapishwa na Rais, kwa madai yeyote, ni kusema aliyepo madarakani anakaimu nafasi ya Rais. Mama Samia Suluhu Hassan alichaguliwa na Wananchi kushika nafasi ambayo Rais akifariki yeye ndiye ataapishwa kuwa Rais; ameapishwa kwa mujibu wa Katiba kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anapaswa kuteua na kuwaapisha Mawaziri wake kama Katiba inavyotaka.

Wananchi tunakuhimiza Rais wetu, Amiri Jeshi Mkuu na Kiongozi wa Nchi na Serikali, simamia Katiba yetu.
 
Vp kuhusu wakuu wa mikoa na wilaya katiba inasemaje?
 
Hili tukio la kufiwa na kiongozi mkuu (Rais) wa nchi ni jipya na geni kabisa na ukichanganya na namna au style lilivyotukia ndiyo inakuwa utata mtupu..

Inasemaekana kwa kuwa ni tukio ambalo katiba haijaliwekea utaratibu mahususi wa kulishughulikia, ilipelekea VP Samia Suluhu Hassani kubabaika kwa kiasi kikubwa...

Inasememekana aliogopa hata kutangaza kifo cha Rais. Hata alipopata ujasiri wa kutangaza akakosea kutangaza siku rasmi za maombolezo ya kitaifa kwa mujibu wa sheria. Badala ya 21 yeye akatangaza siku 14. Tunashukuru baada ya kupata utulivu alirekebisha...

Vivyo katika hili. Inawezekana bado ni ile hali ya kuweweseka tu inayowakabili...

Hili liko wazi sana. Ni lazima Rais mpya aunde serikali/baraza la mawaziri jipya litakalowajibika kwake moja kwa moja baada kula kiapo kwake. Hili lililopo limekufa pamoja na Rais wake...

Na kama Rais Samia Suluhu Hassani anataka kufanya kazi na kuwapenda hawahawa, basi atamke hivyo na kisha wafanye jambo moja tu muhimu, KULA KIAPO KIPYA KWA RAIS MPYA..

Na nchi hii inashangaza sana, maana ni kana kwamba haina Mwanasheria mkuu wa serikali ili kumshauri Rais vyema mambo yq kisheria na kikatiba...
Huyu rais ni substitute ya yule wa awali. Hajatokana na uchaguzi. Hivyo anaendeleza pale walipoishia. Katiba mbona IPO wazi.. Avilunje baraza sasa si bora na yeye apigiwe kura ndo aunde gvt yake broo..
 
Katiba inasemaje pale sheria inapokuwa bubu.

Hawa wanaosema Rais ambaye alikuwa Makamu wa Rais na kukipata cheo cha urais kupitia kifo cha Rais avunje Baraza la Mawaziri na aunde la kwake na kuliapisha upya wametoa wapi huu utaratibu?
 
Back
Top Bottom