King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,697
- 68,682
Hili swali limeulizwa sana humu ila naona hawana nia ya kulijibu.
Simple Logic kwamba tukio la kufiwa na rais akiwa madarakani ni geni na ndio limetokea kwa mara ya kwanza hivyo hatuna precedent lakini kwa simple logic tu kwamba wateule wa rais nao automatic wanakua disqualified baada ya rais aliyewateua na kuapa kwake kufariki.