Utakua mtoto wa 2000 Kwa umuri huo huwezi jua CCM wanafanyaje kwenye chaguziCCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo, Ndio Sababu ya Kuendelea kupigiwa kura kila chaguzi
Kwenye uchaguzi CCM Ina nadi ilani yake wakati Chadema ilani yake Ni mgombea mwenyewe ambaye hujiropokea kinachomjia mdomoniUtakua mtoto wa 2000 Kwa umuri huo uwezo jua CCM wanafanyaje kwenye chaguzi
CCM ipo mikononi mwa watanzania ambao wameamua kuibeba katika kila uchaguziCHADEMA haitokufa kamwe,,,yaan tupo sana,,ccm bila polisi na jeshi haifurukuti dadekii
Baada ya Lijuakali kuomba ukuu wa wilaya bungeni kwa kumwaga chozi , viongozi wa Chadema waliitwa Takukuru , uliwahi kusikia Takukuru ikileta fyoko fyoko yoyote ? kumbuka hapo ilikuwa ile awamu ya Dikteta nduli .Umesahau habari zake za kukopesha chama, Umesahau namna akina lijualikali walivyolalamika michango yao kutafunwa
Mama Yako mwenyewe ashajitoa CCM vp wewe mtoto umeng'ang'ania huko au unabwanaCCM ipo mikononi mwa watanzania ambao wameamua kuibeba katika kila uchaguzi
wengi waliojiapiza kuua chadema wamekufa , kuwa makini na maandishi yako , Mungu hataniwiKwenye uchaguzi CCM Ina nadi ilani yake wakati Chadema ilani yake Ni mgombea mwenyewe ambaye hujiropokea kinachomjia mdomoni
Chadema imejimalizA yenyewe kwa kukosa dira na muelekeo unaoeleweka, Ni chama kilichokosa Sera na ajenda za kueleweka kwa watanzania,ndio sababu ya kupuuzwa na watanzaniawengi waliojiapiza kuua chadema wamekufa , kuwa makini na maandishi yako , Mungu hataniwi
Mama yangu yupo CCM na familia nzima tupo CCM kwa kuwa ndio chama chenye kuleta matumaini katika maisha yetuMama Yako mwenyewe ashajitoa CCM vp wewe mtoto umeng'ang'ania huko au unabwana
Unaota..CHADEMA yapoteza ushawishi mitaani,Hata sare zake hazivaliki
waulize walikuishia masikini waliotumwa kama weweChadema imejimalizA yenyewe kwa kukosa dira na muelekeo unaoeleweka, Ni chama kilichokosa Sera na ajenda za kueleweka kwa watanzania,ndio sababu ya kupuuzwa na watanzania
Sasa michango Kama ya join the chain kwani Mbowe huwa anawapa hesabu zake hata zikija kukaguliwa? Mpaka Sasa Hakuna anayejuwa kiasi kilichochangwa na namna zilivyotafunwa zaidi ya kuona ukimyaBaada ya Lijuakali kuomba ukuu wa wilaya bungeni kwa kumwaga chozi , viongozi wa Chadema waliitwa Takukuru , uliwahi kusikia Takukuru ikileta fyoko fyoko yoyote ? kumbuka hapo ilikuwa ile awamu ya Dikteta nduli .
Bila shaka yeyote, wewe ni KimaHapana Mimi siyo kima
Hapana Mimi Ni Lucas MwashambwaBila shaka yeyote, wewe ni Kima
WeweBila shaka yeyote, wewe ni Kima
Nani aliwaibia wakati hata kura hampigagiMagufuli aliiba uchaguzi hatimaye akafa kabisaaa
Naona mnajisema maana ndio ninyi akili zenu zipo Kama huyo mnyama
Mbona unajitajataja majina hovyohovyo? Unatafuta mume?Mimi Ni Lucas Hebel Mwashambwa na mzalendo kweliii kweliii na Nina Imani kubwa Sana Na mama Samia na serikali yangu na sitachoka kuitetea