MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 3,683
- 5,009
Mbona tulikua nae kwenye Vikao vyaetu vya ndani na sio Leo tu siku zote tupo nae hata hio mipango yenu ovu hua anatupenyezea yeye.Mama yangu yupo CCM na familia nzima tupo CCM kwa kuwa ndio chama chenye kuleta matumaini katika maisha yetu