Sare za CHADEMA zagombewa mitaani. Magwanda ya Khaki yawa dili, yaanza kuadimika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,724
218,287
Screenshot_2024-01-18-16-25-54-1.png

Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili .

Screenshot_2024-01-18-16-27-45-1.png

Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu , huku Magwanda ya Khaki yanayotengenezwa Thailand yakiwa dili zaidi , huku taarifa zikionyesha kwamba yameanza kuadimika .

FB_IMG_1677688856429.jpg

Natoa wito kwa Wizara ya Biashara kuingilia kati bei ya vifaa vya Chadema ili kila mwananchi avipate kwa bei ya halali
 
View attachment 2875596

Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili .

View attachment 2875597

Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu , huku Magwanda ya Khaki yanayotengenezwa Thailand yakiwa dili zaidi , huku taarifa zikionyesha kwamba yameanza kuadimika .

View attachment 2875598

Kuna ugumu gani kuzizalisha nchini hayo magwanda ya khaki ili kuwa raisi kila mtu kupata kwa bei nafuu?
 
View attachment 2875596

Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili .

View attachment 2875597

Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu , huku Magwanda ya Khaki yanayotengenezwa Thailand yakiwa dili zaidi , huku taarifa zikionyesha kwamba yameanza kuadimika .

View attachment 2875598

Natoa wito kwa Wizara ya Biashara kuingilia kati bei ya vifaa vya Chadema ili kila mwananchi avipate kwa bei ya halali
Mitaa gani hiyo. Acheni ujinga wenu. Tuonane siku maalum ya usafi
 
View attachment 2875596

Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili .

View attachment 2875597

Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu , huku Magwanda ya Khaki yanayotengenezwa Thailand yakiwa dili zaidi , huku taarifa zikionyesha kwamba yameanza kuadimika .

View attachment 2875598

Natoa wito kwa Wizara ya Biashara kuingilia kati bei ya vifaa vya Chadema ili kila mwananchi avipate kwa bei ya halali
nilijua ata ni mzigo wa maana kumbe ndivyo kama inavoonekana kwenye picha 🐒

kwahiyo wale jamaa wawili pale kwa picha ndio wanagombania gwanda wanazouza wao wenyewe right?

ni mafuriko ya wananchi au sio...

wakopesheni wanachama magwanda na t-shirts bana acheni kuwahadaa, wana madeni yanayowafanya wawe wanyonnge sana 🤓

Christmas, mwaka mpya na ada aise huruma yahitajika
 
View attachment 2875596

Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili .

View attachment 2875597

Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu , huku Magwanda ya Khaki yanayotengenezwa Thailand yakiwa dili zaidi , huku taarifa zikionyesha kwamba yameanza kuadimika .

View attachment 2875598

Natoa wito kwa Wizara ya Biashara kuingilia kati bei ya vifaa vya Chadema ili kila mwananchi avipate kwa bei ya halali
Maduka ya wapi mbona huku kitu hicho hakipo. Au sasa mmeongezea uongo kwenye lugha zenu za matusi.
 
Historia kuandikwa tarehe ya 24 January 2024 nchi nzima kuitikia wito kuandamana kwa amani ili kuitia mbinyo (pressure) serikali ya CCM na bunge lake kusikiliza maoni ya kutakiwa kuitupilia mbali miswada mibovu ovu dhidi ya uhuru na demokrasia.
 
Back
Top Bottom