Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema;
"Tunapinga kitendo cha Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM, huu ni ubadhirifu wa Fedha za umma."
"CCM kama wemeshindwa kuendesha viwanja ambavyo walivipora kutoka kwenye mikono ya umma wavirejeshe kwenye umiliki wa umma kupitia kwenye Halimashauri za majiji na Wilaya ili mapato yaende kwenye hazina ya Serikali, ndipo umma utaweza kuvigharamia katika ukarabati"
"Kama Bunge wakipitisha matumizi haya, na watapitisha kwa sababu ni Bunge la Chama kimoja, mwakani wanaweza kuja na bajeti ya kukarabati ofisi za CCM."