johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,145
Tumecheleweshwa na nani?Mama aliona mbali kua maombi ya watanzania mungu ipo cku atayackia tu!! Piga kazi mama tumecheleweshwa mno kanyaga twende
Hakuna kubwa kwa munguIla tulikuwa tumepotea jamani!!siasa za KIHUTU, ndio tulikuwa tumeletewa kwetu, watu tuliojaa upendo!!Mungu ni mwema.
Ubaya wa nini?Kwani kuna ubaya gani?
Kushukuru ni utamaduni wa wana cdmChadema miaka yote sio wachoyo wa fadhila.
Nilipo Ku quote nilimalizia na alama ya kuulizia...?Ubaya wa nini?
Huko kwenu umakondeni al shabab wamepiga hodi!Mtanyooka safari hii
Noma Sana.Samia alienda huko bila baraka za Magufuli?
NdiyoSamia alienda huko bila baraka za Magufuli?
Wapenda amani twende na mama taratibu Mungu ametuonyesha mtu sahihiKilikuwa ni kitendo cha kijasiri, kiungwana, kizalendo na kistaarabu.
Mungu amlinde Mheshimiwa rais mama yetu Samia Suluhu Hassan.
Mm sijui CDM huwaga ni watu au misukule?Samia alienda huko bila baraka za Magufuli?
Magufuli hajawahi kuwa na barakaSamia alienda huko bila baraka za Magufuli?