Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,702
- 218,230
Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika atazungumza na Waandishi wa Habari Mchana huu kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama Kinondoni Dar es Salaam .
muda ni kuanzia saa 9:00 mchana huu
MUHIMU : Tufuate Mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .
wote mnakaribishwa
======
Mbowe hajulikani alipo , yasemekana ameondolewa Mkoani Mwanza , na kufichwa kusikojulikana , haijulikani kama yuko hai au la
Imeagizwa kila Mwanachadema kumtafuta Mwenyekiti wao popote na kwa kutumia njia zozote zitakazoonekana zinafaa.