CHADEMA yaitisha Mkutano wa dharula na waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya chama Mchana huu

Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
6,189
2,000
Mungu asimame upande wa wanaoonewa na ashushe mkono wa gadhabu kwa watesi wetu
Unajuaje kama upande wa wanaoonewa ni serikali. .wa sababu jamaa Hawa wameshindwa kutii mamlaka Bila shuruti. .hata Mungu amesema zitiini mamlaka zenu zinazowaongoza duniani..kwa sababu amezibariki
 

Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
6,189
2,000
Halafu utawasikia kitanuka, kitanuka, lakini wanabaki humuhumu JF mtaani hawaonekani kukinukisha! Wajinga sana hawa watu!
Wajinga vipi Wanaogopa mamlaka. .Bana. .sio wajinga wanajua kabisa sheria taratibu na kanuni zinazoongoza
 

mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,871
2,000
Huyu Mbowe aliwazuia waombolezaji kuhudhuria mazishi ya kaka yake kisa uviko lakini siku mbili baadae anahamasisha makongamano sijui maandamano huku covid iko pale pale, wapambe zake hebu ongezeni sauti namimi nielewe maana yake nini
 

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
87,287
2,000
Kuandika nyuma ya keyboard rahisi sana mzee, ishu ni kuingia field, hapo ndipo CDM wanafeli, nadhani ukiacha mitandaoni support yenu mtaani siyo kubwa sana! CCM wanawazidi sana kwenye kitengo cha propaganda na uongo
CCM wangekuwa na uwezo huo unaousema wangehangaika kuzuia mikutano ya ndani ya Chadema ?
 

UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
12,639
2,000
Bila vitendo kama hivi Chadema wanajiona hawajafanya kabisa siasa Tanzania, hizi purukushani na serikali iwe kwa kukusudia au bila kukusudia ndio mambo ambayo Chadema huwafanya waone wanafanya siasa na ndio huwapa umaarufu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom