kwani chopa za cdm au sa mteikamuulize tendwa nini kilitokea pale arumeru....ccm na kuiba hela na kutumia mali za serikali hawana chopa.ungejiuliza kwanini ccm wameshindwa pata chopa...
mzabuni(supplier) ni nani?
Daa chadomo kwa ubunifu kwenye sekta ya ujasiriamali hamjambo!. Mmeandaa pori la kutundikia hiyo mizinga lakini?
hawawezi kusemaHizo pikipiki kila moja imegharimu shs ngapi?
2015 ndo yatakua majeneza yenu hayo ya kufungasha virogo kwenye uwanja wa siasa poleni sana kwa kujitutumuachama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kimeingiza pikipiki 252 zitakazo tawanywa kwenye maeneo mbalimbali kwa ajili ya kuimarisha zoezi la chadema ni msingi ambalo linaendelea nchi nzima likisimamiwa na kanda zilizoundwa mapema mwaka jana (2013), huu ni muendelezo wa kuziwezesha kanda ziweze kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi kwa maendeleo endelevu ya chama.
Pikipiki hizo pia zitakuwa msaada mkubwa katika kipindi hiki ambapo chaguzi ndani ya chama zinaendelea kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini, lakini pia ni maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa vijiji na vitongoji unao tarajiwa kufanyika mapema mwezi oktoba.
Lakini pia itakuwa muendelezo wa kuziimarisha kanda za chama, kama mtakumbuka kwenye uzinduzi wa kanda kila kanda ilipatiwa gari mpya aina ya ford ranger, pikipiki mpya zenye brand ya chadema m4c zaidi 126 zenye pa system zenye uwezo wakuhutubia umati wa watu kuanzia 500 hadi 1000 na megaphone ndogo zaidi ya 256.
View attachment 162786
sehemu ya shehena ya pikipi zilizowaingizwa jana
View attachment 162795
wakati watendaji wa chama makao makuu wakiwa busy na kushirik kupokea pikipiki hizo, jana kuna uzi uliwekwa hapa ukiwa na kichwa "watendaji wa chadema makao makuu kugoma", na eti wanataka kumfungia katibu mkuu dr slaa ofisini ili kushinikiza kuongeza mishahara; tuliupuuza kwa kuwa haukuwa na ukweli wowote bali ulijaa hekaya za kutunga zisizo kuwa na msingi kwa kuwa chadema kinafanya mambo yake kwa utaratibu.
Mapambano yanaendelea ili kuzidi kuwaamsha watanzania dhidi ya ufisadi, ubadhirifu wa mali na nyara za umma na ukandamizaji wa haki za binadamu. Mpaka kieleweke.
View attachment 162798
MSALANI,
Taarifa itatolewa Rasmi Kwenye Vikao kupitia vyombo vya uwakilishi katika uendeshaji wa chama yaani sekretarieti,Kamati Kuu na Baraza Kuu ambavyo vipo kwa niaba ya wanachama,wapenzi na Wafuasi wa CHADEMA na harakati za Mageuzi kwa ujumla
Mkuu umeongea ukweli mtupu, huu ni mwendelezo wa "fursa" za kutafuna ruzuku ya chama.isije ikawa zimenunuliwa kwa fedha za mkopo toka kwa MWENYEKITI ambaye ni very local....halafu mwishowe katika ilipwaji wa deni chama kilipe mara nane zaidi ya bei halisi.
afterall... zilikuja mamia kwa ajili ya M4C na matokeo yake tunakiona chama kikizidi kuelekea kaburini. mtazamo wangu ni kwamba''' HUU NI MRADI MWINGINE WA MWENYEKITI NA WANAOMSUJUDIA'''
Dogo nilikwambia uwe na nidhamu kwa makamandaMkuu umeongea ukweli mtupu, huu ni mwendelezo wa "fursa" za kutafuna ruzuku ya chama.
Nilitaka kushangaa! Yaani Enock Mujage dogo wa Mkuranga a.k.a MSALANI husitokee kuleta uharo? Wallah leo ningejipiga ban!
Mkuu umeongea ukweli mtupu, huu ni mwendelezo wa "fursa" za kutafuna ruzuku ya chama.
isije ikawa zimenunuliwa kwa fedha za mkopo toka kwa MWENYEKITI ambaye ni very local....halafu mwishowe katika ilipwaji wa deni chama kilipe mara nane zaidi ya bei halisi.
afterall... zilikuja mamia kwa ajili ya M4C na matokeo yake tunakiona chama kikizidi kuelekea kaburini. mtazamo wangu ni kwamba''' HUU NI MRADI MWINGINE WA MWENYEKITI NA WANAOMSUJUDIA'''
Sasa Kamanda miaka kumi ijayo Mzee Slaa ambaye kwa sasa anaitafuta 80 huoni atakuwa Mzee sana?