Tatu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2006
- 1,143
- 375
Na aliyepata hiyo tenda ya kuziagiza ni nani?
Mngekuwa mnahoji mikataba anayosaini Dr. Dhaifu kama mnavyohoji mambo ya cdm, taifa lingekuwa hatua 2 mbele kimaendeleo na uwazi.
Na aliyepata hiyo tenda ya kuziagiza ni nani?
Mhuni mkubwa,tunaomba ukahoji zile bil 200 toka akaunti ya ESROW zimepelekwa wapi?, je,bajeti ya ziara za kinana umetoka wapi mbona hatukutangaziwa?Kuna ufisadi mkubwa sana kwenye mchakato wa manunuzi ya hizo pikipiki, ndio maana tunahoji.
Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimeingiza pikipiki 252 zitakazo tawanywa kwenye maeneo mbalimbali kwa ajili ya kuimarisha zoezi la CHADEMA ni msingi ambalo linaendelea nchi nzima likisimamiwa na kanda zilizoundwa mapema mwaka jana (2013), huu ni muendelezo wa kuziwezesha kanda ziweze kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi kwa maendeleo endelevu ya chama.
Pikipiki hizo pia zitakuwa msaada mkubwa katika kipindi hiki ambapo chaguzi ndani ya chama zinaendelea kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini, lakini pia ni maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa vijiji na vitongoji unao tarajiwa kufanyika mapema mwezi Oktoba.
Lakini pia itakuwa muendelezo wa kuziimarisha kanda za chama, kama mtakumbuka kwenye uzinduzi wa kanda kila kanda ilipatiwa gari mpya aina ya Ford Ranger, Pikipiki mpya zenye brand ya CHADEMA M4C zaidi 126 zenye PA system zenye uwezo wakuhutubia umati wa watu kuanzia 500 hadi 1000 na Megaphone ndogo zaidi ya 256.
View attachment 162786
Sehemu ya Shehena ya pikipi zilizowaingizwa jana
View attachment 162795
Wakati watendaji wa chama makao makuu wakiwa busy na kushirik kupokea pikipiki hizo, jana kuna uzi uliwekwa hapa ukiwa na kichwa "Watendaji wa CHADEMA makao makuu kugoma", na eti wanataka kumfungia katibu mkuu Dr Slaa ofisini ili kushinikiza kuongeza mishahara; Tuliupuuza kwa kuwa haukuwa na ukweli wowote bali ulijaa hekaya za kutunga zisizo kuwa na msingi kwa kuwa CHADEMA kinafanya mambo yake kwa utaratibu.
Mapambano yanaendelea ili kuzidi kuwaamsha watanzania dhidi ya ufisadi, ubadhirifu wa mali na nyara za umma na ukandamizaji wa haki za binadamu. Mpaka kieleweke.
View attachment 162798
mzabuni(supplier) ni nani?
Hongera chadema ni chama cha kwanza Tanzania,tangu mageuzi kuasisiwa kuwa na vitendea kazi kama magari,pikipiki,vipaza sauti,piano system nk,ni chama cha kwanza tanzania kuwa na wataalamu wa sheria,uchumi,sera& mipango madhubuti,sera bora ya nje nk.Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimeingiza pikipiki 252 zitakazo tawanywa kwenye maeneo mbalimbali kwa ajili ya kuimarisha zoezi la CHADEMA ni msingi ambalo linaendelea nchi nzima likisimamiwa na kanda zilizoundwa mapema mwaka jana (2013), huu ni muendelezo wa kuziwezesha kanda ziweze kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi kwa maendeleo endelevu ya chama.
Pikipiki hizo pia zitakuwa msaada mkubwa katika kipindi hiki ambapo chaguzi ndani ya chama zinaendelea kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini, lakini pia ni maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa vijiji na vitongoji unao tarajiwa kufanyika mapema mwezi Oktoba.
Lakini pia itakuwa muendelezo wa kuziimarisha kanda za chama, kama mtakumbuka kwenye uzinduzi wa kanda kila kanda ilipatiwa gari mpya aina ya Ford Ranger, Pikipiki mpya zenye brand ya CHADEMA M4C zaidi 126 zenye PA system zenye uwezo wakuhutubia umati wa watu kuanzia 500 hadi 1000 na Megaphone ndogo zaidi ya 256.
View attachment 162786
Sehemu ya Shehena ya pikipi zilizowaingizwa jana
View attachment 162795
Wakati watendaji wa chama makao makuu wakiwa busy na kushirik kupokea pikipiki hizo, jana kuna uzi uliwekwa hapa ukiwa na kichwa "Watendaji wa CHADEMA makao makuu kugoma", na eti wanataka kumfungia katibu mkuu Dr Slaa ofisini ili kushinikiza kuongeza mishahara; Tuliupuuza kwa kuwa haukuwa na ukweli wowote bali ulijaa hekaya za kutunga zisizo kuwa na msingi kwa kuwa CHADEMA kinafanya mambo yake kwa utaratibu.
Mapambano yanaendelea ili kuzidi kuwaamsha watanzania dhidi ya ufisadi, ubadhirifu wa mali na nyara za umma na ukandamizaji wa haki za binadamu. Mpaka kieleweke.
View attachment 162798
Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimeingiza pikipiki 252 zitakazo tawanywa kwenye maeneo mbalimbali kwa ajili ya kuimarisha zoezi la CHADEMA ni msingi ambalo linaendelea nchi nzima likisimamiwa na kanda zilizoundwa mapema mwaka jana (2013), huu ni muendelezo wa kuziwezesha kanda ziweze kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi kwa maendeleo endelevu ya chama.
Pikipiki hizo pia zitakuwa msaada mkubwa katika kipindi hiki ambapo chaguzi ndani ya chama zinaendelea kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini, lakini pia ni maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa vijiji na vitongoji unao tarajiwa kufanyika mapema mwezi Oktoba.
Lakini pia itakuwa muendelezo wa kuziimarisha kanda za chama, kama mtakumbuka kwenye uzinduzi wa kanda kila kanda ilipatiwa gari mpya aina ya Ford Ranger, Pikipiki mpya zenye brand ya CHADEMA M4C zaidi 126 zenye PA system zenye uwezo wakuhutubia umati wa watu kuanzia 500 hadi 1000 na Megaphone ndogo zaidi ya 256.
View attachment 162786
Sehemu ya Shehena ya pikipi zilizowaingizwa jana
View attachment 162795
Wakati watendaji wa chama makao makuu wakiwa busy na kushirik kupokea pikipiki hizo, jana kuna uzi uliwekwa hapa ukiwa na kichwa "Watendaji wa CHADEMA makao makuu kugoma", na eti wanataka kumfungia katibu mkuu Dr Slaa ofisini ili kushinikiza kuongeza mishahara; Tuliupuuza kwa kuwa haukuwa na ukweli wowote bali ulijaa hekaya za kutunga zisizo kuwa na msingi kwa kuwa CHADEMA kinafanya mambo yake kwa utaratibu.
Mapambano yanaendelea ili kuzidi kuwaamsha watanzania dhidi ya ufisadi, ubadhirifu wa mali na nyara za umma na ukandamizaji wa haki za binadamu. Mpaka kieleweke.
View attachment 162798
chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kimeingiza pikipiki 252 zitakazo tawanywa kwenye maeneo mbalimbali kwa ajili ya kuimarisha zoezi la chadema ni msingi ambalo linaendelea nchi nzima likisimamiwa na kanda zilizoundwa mapema mwaka jana (2013), huu ni muendelezo wa kuziwezesha kanda ziweze kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi kwa maendeleo endelevu ya chama.
Pikipiki hizo pia zitakuwa msaada mkubwa katika kipindi hiki ambapo chaguzi ndani ya chama zinaendelea kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini, lakini pia ni maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa vijiji na vitongoji unao tarajiwa kufanyika mapema mwezi oktoba.
Lakini pia itakuwa muendelezo wa kuziimarisha kanda za chama, kama mtakumbuka kwenye uzinduzi wa kanda kila kanda ilipatiwa gari mpya aina ya ford ranger, pikipiki mpya zenye brand ya chadema m4c zaidi 126 zenye pa system zenye uwezo wakuhutubia umati wa watu kuanzia 500 hadi 1000 na megaphone ndogo zaidi ya 256.
View attachment 162786
sehemu ya shehena ya pikipi zilizowaingizwa jana
View attachment 162795
wakati watendaji wa chama makao makuu wakiwa busy na kushirik kupokea pikipiki hizo, jana kuna uzi uliwekwa hapa ukiwa na kichwa "watendaji wa chadema makao makuu kugoma", na eti wanataka kumfungia katibu mkuu dr slaa ofisini ili kushinikiza kuongeza mishahara; tuliupuuza kwa kuwa haukuwa na ukweli wowote bali ulijaa hekaya za kutunga zisizo kuwa na msingi kwa kuwa chadema kinafanya mambo yake kwa utaratibu.
Mapambano yanaendelea ili kuzidi kuwaamsha watanzania dhidi ya ufisadi, ubadhirifu wa mali na nyara za umma na ukandamizaji wa haki za binadamu. Mpaka kieleweke.
View attachment 162798
Kamuulize Tendwa nini kilitokea pale Arumeru....CCM na kuiba hela na kutumia mali za serikali hawana chopa.Ungejiuliza kwanini CCM wameshindwa pata chopa...kama chopa zimeshidwa zitaweza bodaboda blood fakn
Chopa wameshindwa iga itakuweje hizi?CCM wapo ktk financial problems kiasi cha kuwafanya sasa kila mahali waibe hadharani huku wkaiw ana majibu ya kipuuzi.magamba kazi yao kuiga mimi naisi wataiga.
Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimeingiza pikipiki 252 zitakazo tawanywa kwenye maeneo mbalimbali kwa ajili ya kuimarisha zoezi la CHADEMA ni msingi ambalo linaendelea nchi nzima likisimamiwa na kanda zilizoundwa mapema mwaka jana (2013), huu ni muendelezo wa kuziwezesha kanda ziweze kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi kwa maendeleo endelevu ya chama.
Pikipiki hizo pia zitakuwa msaada mkubwa katika kipindi hiki ambapo chaguzi ndani ya chama zinaendelea kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini, lakini pia ni maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa vijiji na vitongoji unao tarajiwa kufanyika mapema mwezi Oktoba.
Lakini pia itakuwa muendelezo wa kuziimarisha kanda za chama, kama mtakumbuka kwenye uzinduzi wa kanda kila kanda ilipatiwa gari mpya aina ya Ford Ranger, Pikipiki mpya zenye brand ya CHADEMA M4C zaidi 126 zenye PA system zenye uwezo wakuhutubia umati wa watu kuanzia 500 hadi 1000 na Megaphone ndogo zaidi ya 256.
View attachment 162786
Sehemu ya Shehena ya pikipi zilizowaingizwa jana
View attachment 162795
Wakati watendaji wa chama makao makuu wakiwa busy na kushirik kupokea pikipiki hizo, jana kuna uzi uliwekwa hapa ukiwa na kichwa "Watendaji wa CHADEMA makao makuu kugoma", na eti wanataka kumfungia katibu mkuu Dr Slaa ofisini ili kushinikiza kuongeza mishahara; Tuliupuuza kwa kuwa haukuwa na ukweli wowote bali ulijaa hekaya za kutunga zisizo kuwa na msingi kwa kuwa CHADEMA kinafanya mambo yake kwa utaratibu.
Mapambano yanaendelea ili kuzidi kuwaamsha watanzania dhidi ya ufisadi, ubadhirifu wa mali na nyara za umma na ukandamizaji wa haki za binadamu. Mpaka kieleweke.
View attachment 162798
Mzabuni ni nani?
Hizo pikipiki kila moja imegharimu shs ngapi?