Ingependeza zingaamdokwa CHADEMA kutoka kiwandani kabisa.
hueleweki mkuu!
Ingependeza zingaamdokwa CHADEMA kutoka kiwandani kabisa.
Hizo pikipiki kila moja imegharimu shs ngapi?
isije ikawa zimenunuliwa kwa fedha za mkopo toka kwa MWENYEKITI ambaye ni very local....halafu mwishowe katika ilipwaji wa deni chama kilipe mara nane zaidi ya bei halisi.
afterall... zilikuja mamia kwa ajili ya M4C na matokeo yake tunakiona chama kikizidi kuelekea kaburini. mtazamo wangu ni kwamba''' HUU NI MRADI MWINGINE WA MWENYEKITI NA WANAOMSUJUDIA'''
Mkuu umeongea ukweli mtupu, huu ni mwendelezo wa "fursa" za kutafuna ruzuku ya chama.
Kamuulize komba na kapuya ...
Mkuu umeongea ukweli mtupu, huu ni mwendelezo wa "fursa" za kutafuna ruzuku ya chama.
Pikipiki moja iligharimu bei gani?
subiri ripoti ya CAG