Nape amfyatua Mwigulu kuhusu BMK

Nape amfyatua Mwigulu kuhusu BMK

Urais 2015 Nape Team Membe,Mwigulu Team Lowassa.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Eheeee na Waziri Saada na Naibu Malima wao wako upande upi maana wote wako kule kwenye chungu cha ufisadi!!! 2015 tutasafishwa na kuwa maskini kuliko. Dola na madafu vitakuwa kama Zimbabwe. Sasa hivi dola ni Tshs. 1670-80.
 
Hii mbugi ya CCM sijui kama itaisha bila kuvunjana Miguu ......Mwigulu ni chizi ...

Waniajiri tu niwe Refa mkuu. Wacha walane wao kwa wao. Mitandao na makundi kibao ndani ya Chama.. Kuvuja kwa pakacha.......
 
Huyu nape simuon jf siku hiz kulikon

Wanakuwepo humu kwa ID kumi kumi!!! Ila ukiona anakua na ya real jua ni kitu cha press or so but udaku wanakuja kivingine. cc Nape Nnauye
 
Hii mbugi ya CCM sijui kama itaisha bila kuvunjana Miguu ......Mwigulu ni chizi ...

Hapana unamwonea sana huyo jamaa siyo chizi bali ni kinyesi cha wanyama walindao makazi ya watu. Kumwita chizi ni kumwonea sana, tafadhali mkuu.
 
Sijaona, kama kinachoendelea kati ya akina-Kinana na serikali yake. Ni sawa na kumnanga mkeo hadharani.

Ni kweli. Inanikumbusha ya mwana muziki Muumin Mwinjuma kumuimba mke wake kuwa ni Call Box, ha ha haaaa. Ccm kuishney!!
 
Waniajiri tu niwe Refa mkuu. Wacha walane wao kwa wao. Mitandao na makundi kibao ndani ya Chama.. Kuvuja kwa pakacha.......
Refa yupo , ila tatizo ni kuwa akiona mdundiko huwa anaambatana nao, sasa mdundiko umepita naye kasahau alikuwa Refa yuko ngomani.......huenda ngoma ikishapigwa atarejea ......
 
Sujamalizia habari nilipoona neno Tanzania Daima nimeachia hapo hapo maana ni makaratasi ya kufungia maandazi
 
Hivi ile habari kuwa baada ya Nape kusema Ziara ya Mwigulu kule US ilikuwa binafsi na arudishe pesa iliishia wapi? Maana habari za ziada zilisema kuwa ' gaidi' kama kawaida aliandaa mtego wa kupata video ya Nape akigegeda mtu ambaye hakustahili kumgegeda maana ulikuwa mzigo wa mheshimiwa mmoja na kupewa onyo kuwa hayo mambo ya ziara za US asimsikie tena na akaufyata. Kulikuwa na ukweli? Jee kuna mahusiano na hii mivutano ya kauli?
 
CCM ni sawa na wajenzi wa mnara wa Babeli,
Mwigulu Nchemba anaomba nyundo Nape Nnauye anamletea beleshi.
very soon mnara huu dhalimu unaporomoka kwa aibu kubwa.
 
Mwigulu alimrekodi Nape na Ana Kilango wakijamiiana,huu ndo mda wa kuitoa sasa
 
Magazeti yakufungia vitumbua bavicha na ukawa kwao ndiyo gazeti la habari.

ukinionyesha kuwa ile toilet paper inanunuliwa na watu kumi tanzania nzima(acha yanayopelekwa kwa nguvu kwenye ofisi za serikali kwa wakuu wa idara na hawayasomi) nachukua kadi ya magaidi na majizi ccm...
 
You can understand Mwigulu point of view akiwa kama responsible person kwenye matumizi ya hela za umma. Aiwezekani bunge lilioandaliwa kwa siku 70 na nyongeza ya siku 20 kukamilisha kazi yake, litumie siku 60 pekee kujadili kanuni tu kwa gharama ya millioni 500 kwa siku (nisahaishwe kama nimekosea gharama).

Lazima tujifunze kuheshimu namna ya kutumia mapato kwa sasa bunge lile sio value for money tena kwa walipa kodi na washiriki wa upande wa UKAWA wameonyesha wazi they are not interested na katiba mpya. Maana kuna vitu vinavyo hitaji kuchambuliwa kitaaluma wao wanasema katiba ipite kama rasimu ilivyokuja swala ambalo aliwezekani achilia mbali maswala ya muungnao bali mambo mengine ya checks or in meeting needs and wants of many as the constitution proposals demands ni impossible.

Sasa kuna sababu gani ya kuendelea na bunge hilo, kama nyie wenzetu mna ajira, biashara mishahara na mkiumwa mnaenda kwa akina Dr nani sijui huko private, hiyo hali mnayo nyie sie wengine tunaona kwakweli hii hela ishuke chini kwenye kuboresha huduma au kuziongeza sehemu ambazo azijafika hili na wengine wapewe dignity ndani ya jamii kuliko kuendelea kujibizana na watu wanaoburuzwa na mtu mwenye uwezo mdogo in the first place for stupid reasons, big up Dr.Mwigulu; bunge la katiba life tu.
 
Back
Top Bottom