CHADEMA yaingiza Pikipiki 252 kuimarisha chama

CHADEMA yaingiza Pikipiki 252 kuimarisha chama

kama siku hizi mizinga ya nyuki inaweza kugeuka na kuwa pikipiki, basi hilo ni bonge la dili na imekaa poa sana hiyo!. Perhaps huo ni mtaji wa "the domokaya" na "the kengezas" wa kwenda kufuga nyuki baada ya 2015 pale chadomo itakapogalagazwa mbaya!

mwenye laana hujidai kuwa ni mjanja,nimepuuza sana hii akili ya milembe mkuu.
Kajipange.
 
Kuna taarifa za chini chini, uchaguzi wa s. za mitaa mwaka huu hakuna. Makamanda fuatilieni kuna jamaa karopoka ktk kikao fulani hivi
 
Haya ndiyo maneno sasa,acha wasaliti waendelee kueneza sera za chama chao humu mitandaoni huku CDM inapeta kwa vitendo.Nimeamini kwa CDM chini ya MBOWE ilipofikiwa hakuna wakuweza kuishusha.Licha ya CCM kujaza mavitegauchumi waliyotaifisha wananchi plus ruzuku kubwa hakuna kipya kinachofanywa tofauti na kuliwa na KINANA na NAPE na zinazobaki ni za kusombea watu kujaza mikutano yao wasiaibike.GO CHADEMA HII SI HABARI NJEMA KWA WASALITI.
 
hiyo tenda ya kuagiza pikipiki mbona hatukuisikia"? au ni dili la mbowe

ImageUploadedByJamiiForums1401990859.269972.jpg

Chukueni tenda ya ku print picha hizi
 
Wakuu kitaswira ninamuona dk.slaa akiwa magogoni kwa uongozi wa taifa hili lenye wanyonge waliokata tamaa na utawala wa c.c.m.
 
Asante sana mashujaa Dr Wilbroad Slaa na Freeman Mbowe.Mtuongoze daima!

Kwahiyo hawa ndio CHADEMA? lini unafanyika uchaguzi wa ndani ili wanachadema wazalendo wachague viongozi wanaowataka?
 
Kila mmoja inegarimu shilingi 10 tu

Hoja ya mishahara?, hii si ccm ataje ya Lumumba,hawa wajinga siasa na udaku kwao sawa.sijawahi ona ,wanahamisha hoja kujadili mambo ya chadema,sasa umefika muda wa kuachana nao,sisi tusonge mbele si kila jambo wajue,ni wanacdm kupitia vikao na wananchi watajuzwa kila kitu
 
Wanakopeshwa watendaji!!!!?????
Zinakuwa za ofisi!!!????
Ufadhili au pesa ya ndani!!??? Kama ufadhili wa nani na makubaliano yepi!!!!??????

Operation mode please na expected maintenance costs !!!!!

A matter of sustainability.....otherwise it is a good move!!!!!

Mkuu ruzuku hiyo inafanya kazi hakuna msahada
 
Wizi mtupu!!! Chama kikaghuliwe iyo ndo ya msingi. Ukiuliza pesa ngapi ilitumiwa kununua hizo pikipiki basi wewe ni muasi wa Chama.
 
Back
Top Bottom