Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Hahahahaaaaaa.......Mkuu umenivunja mbavu. Ina maana ni sheikh Yahaya?
Hapana ni yule YAHAYA UKO WAPI wa LADY JD
Hahahahaaaaaa.......Mkuu umenivunja mbavu. Ina maana ni sheikh Yahaya?
Big up, nasubiri vijana wa Lumumba waje kubeza!
Milioni tatu kwa pikipiki moja ni bei aghali sana. Huu ni utapanyaji wa fedha za ruzuku.

mkuu, bei ya pikipiki ni milioni maja na nusu, hizo zilizobaki ni chajuu cha mbowe
Ni kiini macho tu hicho,
Wenye mzigo wao wapo.
Muulize lema na mbowe utakavyokuwa.
Milioni tatu kwa pikipiki moja ni bei aghali sana. Huu ni utapanyaji wa fedha za ruzuku.
mkuu, bei ya pikipiki ni milioni maja na nusu, hizo zilizobaki ni chajuu cha mbowe
Gharama kaulize miradi ya watumia masaburi kufikiri..Pengine ungeuliza zitakata mitaa mingapi ambayo CCM na mshangingi yenu hamfiki.Hizo pikipiki kila moja imegharimu shs ngapi?
Mkuu Mbowe ameifilisi CHADEMA kwa michezo kama hii. Account zote za CHADEMA hazina fedha kwa sasa. Mpaka chama kinaenda kukopa fedha kwa Ndesamburo.
Naona pikipiki za makamanda zimewatoa maintarahamwe povu. Hah hah haaaa