nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,439
- 2,287
bila shaka umesikika .
Ahsante.muda ndio huu na hakikisheni magari ya m4c yanakuwa mzigoni nakwambia likipita huku kijijini utasikia peopleeeeesssssss ccm wanasema poweeeer!!!
bila shaka umesikika .
Salama mkuu.Nilikaa nje ya JF ili nikirudi angalau niangalie kwa macho mengine km mamba wana improve kiakili.Aisee bado sana.Napoke ana dk 45 ITV membe eti ana maono kuwa mkataba lazima uwatete na kuwtaja Misri ktk njia tofauti na ya kipekee kabisa.As if issue ya Nile inatuhusu.Sisi inayotuhusu ni Ziwa Victoria na maji yakeHuyo ndio Membe anatetea kabisa takatifu ya ntume.Kamanda , habari za siku .
Salama mkuu.Nilikaa nje ya JF ili nikirudi angalau niangalie kwa macho mengine km mamba wana improve kiakili.Aisee bado sana.Napoke ana dk 45 ITV membe eti ana maono kuwa mkataba lazima uwatete na kuwtaja Misri ktk njia tofauti na ya kipekee kabisa.As if issue ya Nile inatuhusu.Sisi inayotuhusu ni Ziwa Victoria na maji yakeHuyo ndio Membe anatetea kabisa takatifu ya ntume.