CHADEMA yaingiza Pikipiki 252 kuimarisha chama

CHADEMA yaingiza Pikipiki 252 kuimarisha chama

Kwaniaba ya wana chadema wote napenda kuwapongeza makamanda wote wa chadema wakiongozwa na mwenyekiti mbowe na katibu mkuu dr slaa;hii inaonyesha wazi kua chadema ina viongozi imara mpaka sasa piki pk 407 na magari 10 ford ranger,watanzania tunaipa kura chadema 2014-2015 kwakua wamekua wazi hata mikataba ya nchi ya madini na gesi wataweka wazi,pato la taifa na mgawanyo wake kupitia cdm utakua wazi;je chama gani kinaweza kama chadema
Mbona kila Kamanda anakuja na idadi yake ya pikipiki? Mtoi alisema 252 wewe unasema 407 hii inaonyesha hata hamjui kinachoendelea.
 
Mbona kila Kamanda anakuja na idadi yake ya pikipiki? Mtoi alisema 252 wewe unasema 407 hii inaonyesha hata hamjui kinachoendelea.
Pro-Chadema wengi ni wafuata mkumbo hawana uwezo hata wa kuhoji wao wanameza tu taarifa kutoka Ufipa.
 
Mbona kila Kamanda anakuja na idadi yake ya pikipiki? Mtoi alisema 252 wewe unasema 407 hii inaonyesha hata hamjui kinachoendelea.

Chukua 407 toa 252 jibu utakalopata ni idadi ya pikipiki zilizoingia awali, ambazo zipo kazini hadi sasa kujenga misingi nk...
 
Pikipiki hizo ni zawadi kutoka kwa mfalme jamshid aliyepinduliwa zanzibar ni ahsante yao kuungana na cuf
 
Pikipiki hizo ni zawadi kutoka kwa mfalme jamshid aliyepinduliwa zanzibar ni ahsante yao kuungana na cuf

Kwa hiyo ukiristo umewaisha chadema, hebu tueleze, mfalme kawasilimisha eeh! Hebu tutolee mataputapu yako hapa
 
kwani chopa za cdm au sa mtei
Sijui ulitak ziwe na nani ili CDM wazitumie na kumiliki....?Umesahau hata Ndesa Pesa km anavyojulikana MS anazo.Kwani chopa Bei gani hadi utokwe roho kihivyo?Hata CCM pamoja na kuwa km fisi kila hela wanazipiga bado wanaweza nunua wakijinyima kuiba week tuu.
 
Hii ni ishara ya ushindi wa chaguz zote zinazokuja kwani pikipiki zitawawezesha watu kufika mpaka vijijin kabisa, Thanx uongoz wa CHADEMA
 
Mp Kalix2,

Mkataba Upo na una details za kutosha pamoja na Mwongozo wa Matumizi ya Raslimali za Chama.Uko very Professional

Asante kwa taarifa.
Nimatarajio yangu watakao faidika kuzingatia miongozo ya Vyombo husika!
Kumekuwepo na taarifa mbalimbali kuwa magari ya M4C yanakesha baa hivyo hizi Pikix2 ni vizuri mikataba hiyo wahusika wakasainishwa na sikuwekwa kwenye makabati ili pale inapojitokeza makosa kinyume na Mkataba kuchukua hatua ni Rahisi na hakuna kusema sikujua au sikufahamishwa.

Mwisho ufuatiliaji ,usimamizi na mrejesho wa Shughuli iliyokusudiwa kwa ajili ya hivi vyombo ni muhimu ili kuweza kutathimini matokeo.

cc. Kurugenzi ya Habari Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Chadema wabunifu sana yani magari yao ya m4c ni utalii tosha kabisa katika nchi yetu.ongezeni magari mengi mnatisha.
 
Naiomba kurugenzi ya habari mtuletee tena m4c na Pamoja daima tunaisubiria kwa hamu
 
Chadema wabunifu sana yani magari yao ya m4c ni utalii tosha kabisa katika nchi yetu.ongezeni magari mengi mnatisha.

wakati wao wanatafuna ruzuku ya lumumba kwa kutengeneza ziara za kizushi za NAPE na KINANA , cdm inafanya mambo !
 
Sijui ulitak ziwe na nani ili CDM wazitumie na kumiliki....?Umesahau hata Ndesa Pesa km anavyojulikana MS anazo.Kwani chopa Bei gani hadi utokwe roho kihivyo?Hata CCM pamoja na kuwa km fisi kila hela wanazipiga bado wanaweza nunua wakijinyima kuiba week tuu.

Kamanda , habari za siku .
 
Back
Top Bottom