CHADEMA yaingiza Pikipiki 252 kuimarisha chama

Kwahiyo hawa ndio CHADEMA? lini unafanyika uchaguzi wa ndani ili wanachadema wazalendo wachague viongozi wanaowataka?

Kwa sasa hatuhitaji uchaguzi.Hawa mashujaa waliopo wanatosha.Labda baada ya miaka kumi ijayo.
 
Sasa Kamanda miaka kumi ijayo Mzee Slaa ambaye kwa sasa anaitafuta 80 huoni atakuwa Mzee sana?
 
Kwahiyo hawa ndio CHADEMA? lini unafanyika uchaguzi wa ndani ili wanachadema wazalendo wachague viongozi wanaowataka?

WanaCDM wazalendo ndo sisi wenyewe au wewe unaongelea wale vibaraka wa magamba tuliowatimua? Mtasubiri sana!
 
KWENDAHAJAIM2.png

Huyu Msalani akirudi tena,basi nitaamini kuwa ana moyo wa mwandawazimu!
 
Yale magari ya M4C yalinunuliwa na Mbowe pasi kushirikisha kamati husika ambayo ilitakiwa kufanya hayo manunuzi, akaja Maskini Mkulima hapa akaeleza jinsi pesa zilivyofujwa kupitia ununuzi huo wa magari ya chama. Naomba tuwekwe sawa kuhusu hizi pikipiki, kamati ilishirikishwa? Kwa maana yule mtonyaji wetu anayefichua fichua ubadhirifu (Maskini Mkulima) kahamia ACT
 
but tenda haijaptia kamati ya manunuzi huo ndio utaratbu wetu cdm mwenye kisu kikali ndiye anayekula
 
Yale magari ya M4C yalinunuliwa na Mbowe pasi kushirikisha kamati husika ambayo ilitakiwa kufanya hayo manunuzi, akaja Maskini Mkulima hapa akaeleza jinsi pesa zilivyofujwa kupitia ununuzi huo wa magari ya chama. Naomba tuwekwe sawa kuhusu hizi pikipiki, kamati ilishirikishwa? Kwa maana yule mtonyaji wetu anayefichua fichua ubadhirifu (Maskini Mkulima) kahamia ACT

Maskini yupo zaidi ya usaka tonge tu! Hoja ni CHADEMA imeingiza pkpk basi mengineyo ni wivu. Matumizi yaonekana pasipo shaka kwa WANACHADEMA.
 
Wao maneno sisi kazi,wanakuza deni la taifa kwa kuhudumia matumbo yao na familia zao,sisi tunafanya kwa ajili ya watanzania'
 
Kwa sasa hatuhitaji uchaguzi.Hawa mashujaa waliopo wanatosha.Labda baada ya miaka kumi ijayo.

Yes, mpaka watakapochoka wenyewe. Kwanza CHADEMA yenyewe baada ya Zitto kuna mwingine tena anaweza kuthubutu kupambana na Mbowe, mchaga wa Machame? Na huyu babu Slaa aachie ukatibu mkuu ataishi wakati hana hata banda la kuku?
 
Back
Top Bottom