kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,745
Hizo pikipiki kila moja imegharimu shs ngapi?
Ni vema ukaanza wewe kutuambia Tangu Kinana na Nape waanze ziara zao wametumia Shillingi ngapi? na ukimaliza utueleze pia Kiasi cha fedha alichotumia hadi sasa Kikwete katika Ziara zake zaidi ya 360 nchi za nje na manufaa tuliyoyapata hadi sasa turinganishe na hicho kiasi cha fedha kilichotumika.