CHADEMA wazungumze na Zitto na ACT

CHADEMA wazungumze na Zitto na ACT

kichwa ngumu ni kichwa ngumu hata umpe ushauri usiku kucha,

Chadema tutazungumza na wananchi kuhusu maslahi yao mapana kwa ajili ya ustawi wao na wala hatutapoteza muda kuzungumza na mtu mmoja, never.
 
Cue matusi, kejeli, na upuuzi mwengine mwiiingi kutoka kwa watu wasiojua kujadili hoja.

Umeongea la maana, tuliwaambia CHADEMA wasimfukuze Zitto toka akiwa bado CDM hawakusikia. Sasa ni Kiongozi Mkuu wa ACT with free roam to do what he wants and we have already seen what he can do with just a few meetings. Entire CHADEMA leadership had to get out of the office to cool down whenever he passed. Zitto is an unstoppable political force, that needed cooler heads to handle. It's one of those situation, where you would not want a certain figure to be on the opposing side.

Similar way to Liverpool not willing to sell Sterling to Arsenal. They would rather have him rundown his contract and let him walk free.

CHADEMA should have kept Zitto in CDM and tolerate his rebellious nature and even learn a few things from that.But they did not. 2015 Elections will tell a very different story.let's all wait and see how that plays out

You mean Chadema did not tolorate zzk even after realising his mission to damage the party? zzk had unstopable'mission' no matter what tolerancy would be granted!. By the way, was zzk expelled from the party? I recall him requesting a letter to be sucked. Was it given?

Tanzanians are very smart in the forthcoming elections than ever, you wait and see what zzk will be able to achieve. He will sew what he planted....I wish he contests in Kigoma township. This is where I am now...
 
We unampigia debe tu kuzuia majanga ya kisiasa yatakayompata mwenzio. Tulimpenda, tulimshauri.....hakutaka. Tumekusanya pamoja naye...ila dakika za majeruhi akataka kutawanya tulichokusanya nae .....njia hiyo ameichagua yeye, hatuwezi kumzuia....asubili kuona matunda ya uchaguzi wake.
 
Pasco, we una 'akili'. Rejea uliyoyaandika ukimshauri huyo mwenye 'akili' kabla ya maamuzi yake kujiengua chadema, hatima yake kisiasa ktk chama chake kipya....hivi leo una-advocate maongezi ya chadema na zzk wakati unaona anayofuture ya kuwakomboa watanzania kupitia njia aliyoichagua yeye? Kweli we una 'akili' sana.
 
You mean Chadema did not tolorate zzk even after realising his mission to damage the party? zzk had unstopable'mission' no matter what tolerancy would be granted!. By the way, was zzk expelled from the party? I recall him requesting a letter to be sucked. Was it given?

Tanzanians are very smart in the forthcoming elections than ever, you wait and see what zzk will be able to achieve. He will sew what he planted....I wish he contests in Kigoma township. This is where I am now...


Enough with the mission to damage the party bullsh*t, we all read the alleged Mkumbo document. That was nothing but power struggle.It happens everywhere, from tiny organisations to Multi National Corporations. Mbowe and Team were scared dead of Zitto radical ideas and they thought they were better of without him. Now they know they were not quite right.
 
wewe na nani??

Utaacha mke wako aandae ndoa na mume mwingine akiwa nyumbani kwako??

Mkuu nafikiri hpa ndipo kwenye mkosa ya CHADEMA thinking in terms of 'mke wako'
au 'kijana wako' Janjaweed unajua a lot kuhusu football.....mchezaji hata kama umemtoa sumbawanga aakishakua star
unalazimika kumheshimu kama star.....huongei nae hivi hivi tu..unaongea na wanasheria wake na wakala wake...

Zitto is no longer 'kijana wa CHADEMA' .....now ni 'kiongozi' wa 'taasisi ingine ambayo inaweza kuijeruhi CHADEMA...
smart people talks to avoid any future damages.....
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na dhana ya mazungumzo lakini katika hili la Zito na CHADEMA kuna mazingira tofauti. Ndio maana umemtanguliza Zito zaidi kuliko taasisi anayoiwakilisha. Hiyo ina maana kuna Zito upande mmoja na Taasisi (CHADEMA) upande mwingine. Mazungumzo yangekuwa na maana sana iwapo ingekuwa ni tofauti za kitaasisi (ACT Vs CHADEMA) ndio maana unaona imewezekana kwa CHADEMA, CUF na NCCR wameweza kukaa pamoja na kuondoa tofauti zao kwa sababu mnyukano uliokuwepo hapo kabla ulikuwa ni wa kitaasisi zaidi sio dhidi ya mtu mmoja.

Timing: Hilo nalo ni jambo la kuzingatia. Muda na nguvu iliyotumiwa kujenga UKAWA ni kubwa iliyopitia kejeli kutoka kwa wapinzani wake wakiwemo wapinzani pia. Hapo ni muhimu sana kuzingatia kuwa hata mpinzani anaweza kuwa mpinzani wa mpinzani. Kwa muda uliobaki kuelekea uchaguzi Mkuu na hali halisi ya michakato ya ndani ya vyama na serikalini kwa ujumla wake ni ngumu kutengeneza rafiki usiye na uhakika naye kuwa hatakuharibia jitihada zako ulizowekeza kwa nguvu na muda mrefu. CHADEMA imebaini nguvu zake kuwa ni haba kufanya mabadiliko ya kimfumo ndio maana imeng'ang'ania na kuwekeza kwenye UKAWA, sidhani kama itakubali kirahisi kuona nguvu hiyo inatetereka ndi maana hisia za USALITI haziwezi kuwaondoka kwa kuzingatia historia ya kufanya kazi na Zito. Hiyo ni bila kujali kama wanachoamini ni kweli au sio kweli

Zito anawafahamu CHADEMA kama taasisi, CHADEMA inamfahamu Zito kama alivyo lakini haiifahamu ACT kama taasisi katika hali hiyo unahitaji muda wa kutosha kuijua taasisi kuliko mtu mmoja ambaye kukosekana kwake ndani ya taasisi mambo hayaendi. Hiyo imekuwa rahisi kwa UKAWA kwa kuwa wanafahamiana-nguvu, udhaifu na matamanio yao kwa muda mrefu sasa. Hata nguvu unayoizungumza ya ACT kuweka wagombea bado sioni kama ni assurance kwani Zito hawezi kugombea kila jimbo na hawezi kufanya kampeni kila jimbo kila siku. Sio kila mgombea atakayewekwa na ACT ataleta upinzani kama unavyoamini.

USHAURI: Kwa kuwa CHADEMA na Zito hawaaminiani; ni bora wakaendelea kujiimarisha bila kuhujumiana. Kila mmoja ajitambue tu kuwa ana lengo linalofanana na na la mwenzake. Zito afanye siasa, awaache UKAWA waendelee na mambo yao na yeye pia aendelee na ACT yake. Hiyo itatusaidia kujua udhaifu na mapungufu ya kila upande na hatimaye tutafanya uamuzi baada ya kubaini yupi kati ya Zito na CHADEMA/UKAWA yupo sahihi.

Siasa ni UWEKEZAJI!
DSM
 
Mkuu, huyu jamaa nilikuwa namuheshimu sana humu jukwaani.. Ila tangia nimkute akibishana na watoto wa kike kwenye blog ya wanawake (ile ya Mange Kimambi) nimetokea kumdharau sana..

Hahaa mkuu tuheshimiane mkuu
yule ni mtu mwingine tuna share avatar tu
nilitaka kuibdili but hii imezoeleka na nilianza kuitumia kabla yake
pole kwa mix up
 
zzk mpaka sasa ana wanachama wangapi hadi aone ni size ake kuingia ukawa, nafikiri atulie atajiunga mwakani.kwa uchanga wa chama asitarajie matokeo makubwa majimboni
 
Mkuu with due respect! Lakini haya unayoyasema yangekuwa ni kweli, sifikirii CDM ingalikuwa ilipo sasa hivi. Na kwa kweli maoni yako yanafanana sana na washabiki wengi wa ZZK na hata ZZK mwenyewe......kujiona yeye ni zaidi ya chama(rejea ushauri alioutoa The Boss kwa ZZK na Jerry Muro).

Huwezi kujenga taasisi(institution) ukiwa na watu wa sampuli hiyo. Na kwa hili I can bet my last coin, ACT haitakaa kuwa taasisi chini ya ZZK (na genge lake). CDM inaweza kuendelea vizuri maana kwa kiasi kikubwa wamejitahidi kujipanga katika muelekeo wa kitaasisi (bila ya shaka nao bado wana kazi kubwa ya kufanya) kuliko vyama vingine ukiacha CCM.
Mkuu, haya usemayo ni kweli, tangu day one nilipoanza kuizungumzia ACT hapa,
[h=3]Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio!
[/h]Kwa faida ya wavivu wa kufuata link,
Wanabodi,

Ili chama fulani kishinde uchaguzi na kupata mamlaka ya kuunda serikali, lazima chama hicho kipate asilimia fulani ya idadi ya viti bungeni!. Hivyo kama CCM itapata pungufu ya asilimia inayohitaji kuunda serikali, lazima ifanye coalition na the underdogs, ili kuweza kupata idadi ya viti vinavyotakiwa kuunda serikali.

Ujio wa ACT, unaweza kuwa ndio mwanzo wa the underdogs wa Tanzania, yaani for the first time in Tanzania, tunaingia kwenye uchaguzi mkuu wa vyama vingi tukiwa na vyama vikuu viwili "the dominant parties, CCM na UKAWA, ambao ndio serious contenders, lakini pembeni kuna ka small parties ambao wanajijua kabisa kuwa hawana watu, hawana uwezo, wala hawawezi kushinda uchaguzi, ila wataweka tuu mgombea kwenye kila jimbo na hadi mgombea urais kwa lengo moja tuu, sio kushinda uchaguzi bali kuzigawa kura za 'the dominant parties' hivyo hawa "the underdog" ndio determinant yachama gani kitaunda serikali, nikimaanisha iwapo hivi vyama viwili CCM na UKAWA havitafikia idadi ya viti inavyovihitaji kuunda serikali, lazima vishirikiane na "the undedog" ambao kwa kawaida wanaweza kuwa na mbunge mmoja au wawili watatu, ili viweze kupata mandate ya kuunda serikali!, na itakuwa ni serikali ya mseto!.

Hivyo ndugu zangu Chadema na WanaUkawa, mtake msitake, ACT sio chama cha kupuuzwa hata kidogo!. Mnaweza kuendelea kumpuuza Zitto kama Zitto Zuberi Kabwe, lakini hamuwezi kuumpuuza Zitto kama Kiongozi Mkuu wa ACT, unless Chadema na UKAWA, mnataka kuwa vyama cha upinzani milele!.

Kumbukeni kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, bali a common interest!, kama ni kweli IKULU mnaitaka, na ACT inaweza kuwa ndio kikwazo pekee, then lazima pia mta deal na ACT as well ether kuibomoa ili isiwe kikwazo, na ikitokea if you can't beat them, UKAWA will be forced to join them against CCM!.

Pasco.
nilisema wazi point blank kuwa ACT sio chama kinachoweza kushinda bali ni "the underdog" tuu, atakachofanya ni kuitibulia UKAWA, na the final benefector ni CCM!.

Yaani ACT sio serious contender kwenye uchaguzi, hawezi kushinda, hivyo he is a looser party, kwa vile tayari ACT ni looser, then kuliko ku loose peke yake, atasimamisha mgombea kila jimbo, hadi urais, sio kwa lengo la kushinda bali kupunguza tuu kura za UKAWA, hivyo hivi vitakuwa ni vita vya panzi, furaha ya kunguru, na hapa kunguru ni CCM, hivyo kunauwezekano kabisa, anayeifund ACT ni CCM!.

ACT itakachofanya wakati wa kampeni itakuwa ni kumwaga sumu against UKAWA, sasa it is up to UKAWA, wai intergrate ACT ili kuineutralize hiyo sumu, au kuiacha tuu ACT ienee kama inavyoenea na kuja kumwaga sumu ya tukose wote, CCM iendelee kupeta!.

Pasco
 
  • Thanks
Reactions: SMU

Nakubaliana na dhana ya mazungumzo lakini katika hili la Zito na CHADEMA kuna mazingira tofauti kidogo. Ndio maana umemtanguliza Zito zaidi kuliko taasisi anayoiwakilisha. Hiyo ina maana kuna Zito upande mmoja na Taasisi (CHADEMA) upande mwingine. Mazungumzo yangekuwa na maana sana iwapo ingekuwa ni tofauti za kitaasisi (ACT Vs CHADEMA) ndio maana unaona imewezekana kwa CHADEMA, CUF na NCCR kukaa pamoja na kuondoa tofauti zao kwa sababu mnyukano uliokuwepo hapo kabla ulikuwa ni wa kitaasisi zaidi sio baina ya watu.

Timing: Ni muhimu kuzingatia. Muda na nguvu iliyotumiwa kujenga UKAWA ni kubwa iliyopitia kejeli kutoka kwa wapinzani wake wakiwemo wapinzani pia-Zito ni sehemu yao. Hapo ni muhimu sana kuzingatia kuwa hata mpinzani anaweza kuwa mpinzani wa mpinzani.

Kwa muda uliobaki kuelekea uchaguzi Mkuu sio busara kutengeneza rafiki usiye na uhakika naye kuwa hatakuharibia. Ni hatari kwani utakosa muda wa kujipanga upya. CHADEMA imebaini nguvu zake kuwa ni haba kufanya mabadiliko ya kimfumo ndio maana imeng'ang'ania na kuwekeza kwenye UKAWA, sidhani kama itakubali kirahisi kuona nguvu hiyo inatetereka ndio maana hisia za USALITI haziwezi kuwaondoka kwa kuzingatia historia ya kufanya kazi na Zito. Hiyo ni bila kujali kama wanachoamini ni kweli au sio kweli

Zito anaifahamu CHADEMA kama taasisi, CHADEMA inamfahamu Zito kama ‘individual’ lakini haiifahamu ACT kama taasisi katika hali hiyo unahitaji muda wa kutosha kuijua taasisi kuliko mtu mmoja mmoja. Hiyo imekuwa rahisi kwa UKAWA kwa kuwa wanafahamiana-nguvu, udhaifu na matamanio yao kwa muda mrefu sasa.

Nguvu unayoizungumza ya ACT kuweka wagombea bado sioni kama ni ‘assurance’ kugawa kura kwani Zito hawezi kugombea kila jimbo na hawezi kufanya kampeni kila jimbo kila siku. Sio kila mgombea atakayewekwa na ACT ataleta upinzani kama unavyoamini. Binafsi naamini kuwa ACT hawajafanya siasa vya kutosha, hawajawekeza na ikitokea watanzania wataiamini ACT na kuwachagua wagombea wake kwa kura za kutosha, basi itakuwa ni kielelezo sahihi cha ujinga wetu!

USHAURI: Kwa kuwa CHADEMA na Zito hawaaminiani; ni bora wakaendelea kujiimarisha bila kuhujumiana. Kila mmoja ajitambue tu kuwa ana lengo linalofanana na na la mwenzake. Zito afanye siasa, awaache UKAWA waendelee na mambo yao na yeye pia aendelee na ACT yake. Hiyo itatusaidia kujua udhaifu na mapungufu ya kila upande na hatimaye tutafanya uamuzi baada ya kubaini yupi kati ya Zito na CHADEMA/UKAWA yupo sahihi.

Zito hawezi kubaki salama kisiasa kama atafikiri njia sahihi ya kuimarisha chama chake ni kupambana na CHADEMA.
 

Mkuu, haya usemayo ni kweli, tangu day one nilipoanza kuizungumzia ACT hapa,
Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio!


Kwa faida ya wavivu wa kufuata link,

nilisema wazi point blank kuwa ACT sio chama kinachoweza kushinda bali ni "the underdog" tuu, atakachofanya ni kuitibulia UKAWA, na the final benefector ni CCM!.

Yaani ACT sio serious contender kwenye uchaguzi, hawezi kushinda, hivyo he is a looser party, kwa vile tayari ACT ni looser, then kuliko ku loose peke yake, atasimamisha mgombea kila jimbo, hadi urais, sio kwa lengo la kushinda bali kupunguza tuu kura za UKAWA, hivyo hivi vitakuwa ni vita vya panzi, furaha ya kunguru, na hapa kunguru ni CCM, hivyo kunauwezekano kabisa, anayeifund ACT ni CCM!.

ACT itakachofanya wakati wa kampeni itakuwa ni kumwaga sumu against UKAWA, sasa it is up to UKAWA, wai intergrate ACT ili kuineutralize hiyo sumu, au kuiacha tuu ACT ienee kama inavyoenea na kuja kumwaga sumu ya tukose wote, CCM iendelee kupeta!.

Pasco
Kumbe ni looser party,anayetaka kutibua harakati za kuiondoa ccm. . Sasa huyu tumuiteje? Traitor? Puppet?
 
Suala kupiga magoti kwa MTU wa Kigoma hilo huwa halipo ndugu, sisi in wabishi by nature, so usitegemee Zitto kuja kupiga magoti kwa watu anaowafaham kuwa ni viongozi mabom tena wasiofaa. isitoshe yeye siyo wa kwanza kuhitirafiana na maviongoz mabovu ya chadema, wapo akina Kafulila, Mkosamali, Mozese Machali na hao wote walihama chadema lkn hawakupotea kisiasa kutokana na uwezo wao

Huyo Kafulila mbona alimuomba msamaha na kumpigia goti Mbatia na NCCR, mbona hajaenda kuanzisha chama chake. Watu wa Kigoma wote hawako kama ZZK. Ye mbinafsi kupitiliza.
 
Ruksa Zito kujiunga na ccm lakini si UKAWA. Usaliti alianza Shetani kumsaliti Mungu. Mungu akaamua kumfukuza mbinguni. So mpaka leo shetani yaani pepo mbaya yuko kuzimu. Hiyo ndiyo adhabu ya usaliti. Yuda hatumtaki.
 
Suala kupiga magoti kwa MTU wa Kigoma hilo huwa halipo ndugu, sisi in wabishi by nature, so usitegemee Zitto kuja kupiga magoti kwa watu anaowafaham kuwa ni viongozi mabom tena wasiofaa. isitoshe yeye siyo wa kwanza kuhitirafiana na maviongoz mabovu ya chadema, wapo akina Kafulila, Mkosamali, Mozese Machali na hao wote walihama chadema lkn hawakupotea kisiasa kutokana na uwezo wao


Huyo Kafulila mbona alimuomba msamaha na kumpigia goti Mbatia na NCCR, mbona hajaenda kuanzisha chama chake. Watu wa Kigoma wote hawako kama ZZK. Ye mbinafsi kupitiliza.
 
Last edited by a moderator:
Pasco, we una 'akili'. Rejea uliyoyaandika ukimshauri huyo mwenye 'akili' kabla ya maamuzi yake kujiengua chadema, hatima yake kisiasa ktk chama chake kipya....hivi leo una-advocate maongezi ya chadema na zzk wakati unaona anayofuture ya kuwakomboa watanzania kupitia njia aliyoichagua yeye? Kweli we una 'akili' sana.
Mkuu, kiukweli licha ya kuwa na jina la 'kinshomile', nimesoma na 'manshomile' kibao na siku zote hawa jamaa wako very bright na very smart upstairs, lakini kumbe kuna 'minshomile' mijinga ajabu!.

Tangu mgogoro wa Zitto na umeanza, siku zote mimi nimekuwa nikihubiri humu kwa Chadema itumie busara kuutatua mgogoro huu!, nikasema kumfukuza Zitto ni auamuzi wa kijinga kabisa, nikasema busara ni kuitumia ile formular ya "keep you friends close, you enemies closer", kama bado unazo akili japo kidogo tuu kwenye kichwa chako, nenda kanisome hapa
[h=3]Sasa ni Dhahiri: CHADEMA Walikosea Kumfukuza Zitto [/h]Kwa faida ya wavivu wa kufuata link,

Mkuu umeusema ukweli fulani mchungu sana kumeza kuhusu ZZK!. Ni mtu mpumbavu tuu ndie asiyeelewa uwezo wa ZZK katika kujenga hoja zenye maslahi kwa taifa!. Kiukweli Chadema wakubali wakatae, ZZK has an impact!.

Wewe haya unayoyasema leo, mimi niliyaona siku nyingi na nikatoa ushauri wa bure kabisa kwa Chadema kuwa hata kama ZZK kwao ni adui, they should have had to "keep your friends close, and your enemies closer!", nilisema humu ZZK should be contained in order to be checked!. Soma ushauri huu niliowapa!.
Ushauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari Kuliko ...


Kwa sasa it is not too late, kwenye siasa somemetimes unaweza kujikuta unalazimika kushirikiana na mtu ambaye mlikuwa hampatani against a comon enemy!. UKAWA have only one option, kuikaribisha ACT ndani ya UKAWA, vinginevyo ACT ikiachwa ikiendelea kwa mwendo huu, then hivi vitakuwa ni vita vya panzi, furaha kwa kunguru CCM!.
Pasco
Pasco
 
Kuna kitu naona baadhi ya wanachama wa CDM wengi huwa hawapay attention
CDM ku make deals na CCM ilikuepo zamani sana hata kabla Zitto hajawa mbunge
hata mwaka 2005 CDM walishapanga deals na watu CCM ..zipo taarifa Kikwete angehamia CDM then agombee
urais kama asingepitishwa na CCM...na wakati fulani wakati CUF walikuwa na nguvu CDM ndo walikuwa
wana tuhumiwa kusaliti 'upinzani' kwa ufupi ni kuwa 'behind the scene politics'
sio jambo jipya CDM na CCM ku make deals ndo maana Shibuda akaenda CDM huku moyo wake ni CCM..

Sasa ni jambo lipi mtu akifanya anakuwa 'msaliti' na lipi akifanya ni okay....
hilo wanalijua kina Mbowe........Jiulize tu swali moja
inawezekana vipi CDM wasisimamishe wagombea au wasifanye kampeni kwa baadhi ya majimbo
kama majimbo ya Nimrod Mkono,Pinda na Mengineyo...kama Mwenyekiti ni Mbowe na katibu ni Slaa?
Zitto aliwezaje pata all that power na asiadhibiwe?why tuhma zimlenge yeye tu?

Labda kwa sababu alipewa gari kadhaa na Nimrod Mkono
 
Back
Top Bottom