nkosikazi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2010
- 361
- 337
Baada ya kuangalia speed ya ATC huko Songea, Makambako na Iringa, picha kamili imeanza kujitokeza kuhusu hiki chama cha ACT.
Ujio Wa Zitto umebadili kabisa upepo Wa siasa za upinzani nchini. Sasa kuna chama kikubwa cha upinzani kitakachoweza kutoa upinzani kwa vyama vikuu vya upinzani vya Chadema na CUF.
Enzi za Chadema kuwa chama kikuu cha upinzani zimeanza kwisha. Hiki si chama sawa na kile cha Dovutwa au Peter Mziray ambavyo hata majina yake hatuyajui.
Naamini Chadema hawakutegemea ujio mpya Wa Zitto in a campaign trail. Yupo tofauti kabisa and this has taken everybody by surprise.
Na sote tunajua Zitto huwa ana agenda nzito zenye maslahi mapana zaidi kitaifa more than any other politician from the opposition.
The scene has changed. Now Chadema will have to run for their money. With Lema and Sugu and the likes in their ranks, wana kazi mbichi mikononi mwao.
Ilikuwa rahisi kumcontain Zitto akiwa kwao, but hekima za kipuuzi za kina Slaa na Mbowe (kama wanazo) zimetufikisha hapa. Sasa CCM wanapumua kwasababu upinzani uko fragmented zaidi.
Kitakachouokoa upinzani ni kumkaribisha Zitto huko Ukawa na waongee vizuri na kwa terms zake. Otherwise they don't have a chance of defeating CCM. Not in a hundred years! Trust me!