CHADEMA wazungumze na Zitto na ACT

CHADEMA wazungumze na Zitto na ACT

Mkuu The Boss, ili kuweza kufanya kitu kinachomake sense, kwanza, ni hao wahusika wawe na uwezo 'ability' to see that sense!, ndipo then wafanye maamuzi yanayomake that sense!, hao wenye uwezo wa kuona hiyo sense huko Chadema wapo?!. I don't think!.

Pasco.
Mkuu with due respect! Lakini haya unayoyasema yangekuwa ni kweli, sifikirii CDM ingalikuwa ilipo sasa hivi. Na kwa kweli maoni yako yanafanana sana na washabiki wengi wa ZZK na hata ZZK mwenyewe......kujiona yeye ni zaidi ya chama(rejea ushauri alioutoa The Boss kwa ZZK na Jerry Muro).

Huwezi kujenga taasisi(institution) ukiwa na watu wa sampuli hiyo. Na kwa hili I can bet my last coin, ACT haitakaa kuwa taasisi chini ya ZZK (na genge lake). CDM inaweza kuendelea vizuri maana kwa kiasi kikubwa wamejitahidi kujipanga katika muelekeo wa kitaasisi (bila ya shaka nao bado wana kazi kubwa ya kufanya) kuliko vyama vingine ukiacha CCM.
 
Last edited by a moderator:
Ckuzote ckio la kufa halisikii dawa, chadema ni janga la taifa kwa sasa
 
I salute you Sir! THANK YOU!
yo.gif
yo.gif
yo.gif
yo.gif
yo.gif

Mkuu with due respect! Lakini haya unayoyasema yangekuwa ni kweli, sifikirii CDM ingalikuwa ilipo sasa hivi. Na kwa kweli maoni yako yanafanana sana na washabiki wengi wa ZZK na hata ZZK mwenyewe......kujiona yeye ni zaidi ya chama).

Huwezi kujenga taasisi(institution) ukiwa na watu wa sampuli hiyo. Na kwa hili I can bet my last coin, ACT haitakaa kuwa taasisi chini ya ZZK (na genge lake). CDM inaweza kuendelea vizuri maana kwa kiasi kikubwa wamejitahidi kujipanga katika muelekeo wa kitaasisi (bila ya shaka nao bado wana kazi kubwa ya kufanya) kuliko vyama vingine ukiacha CCM.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Ila The Boss ukweli ni kwamba for the time being zzk needs ukawa more than the vice-verse. In fact, kwa tabia za zzk akiingia ndani ya ukawa ana madhara zaidi kuliko akiwa nje ya ukawa.

Nje ya ukawa anachokifanya ni kuonyesha kuwa anaweza kugawa kura ukawa wakakosa wabunge wengi, ila ukweli ni kwamba hata huko kugawa kura anakotamba nako hata yeye mwenyewe hakumsaidii yeye kama yeye au yeye kama chama. Akiingia ukawa ana uhakika wa kupata wabunge angalau mmoja, wawili au watatu (coz kuna majimbo hasa ya kigoma anaweza kuachiwa), lakini nje ya ukawa hana uhakika wa kupata hata jimbo moja. Huu ndo ukweli mchungu ambao zzk na chama chake wanaujua wazi wazi.

Ni kwa hali hii ndo maana political analysts wanatabiri zzk kupotea kisiasa baada ya uchaguzi iwapo ukawa wataendelea kushikiria msimamo wao wa kutomkaribisha kundini

cc Pasco, Yericko Nyerere, BAK na wengine
 
Mkuu, nakubaliana na hoja ya kwa 100%; na hii ndo imekuwa hoja yangu siku zote hapa jamvini, ZZK alipaswa kudhibitiwa toka mwanzo. Mtu unayemuona kuwa mpinzani au msaliti msogeze karibu ili umuangalie kwa karibu. Sasa hilo halikufanyika mapema na matokeo yake CDM lazima wawe tayari kumeza kiburi chao na kukaa chini kunegotiate na ACT vinginevyo CDM wanaweza kupoteza baadhi ya majimbo kwa ACT au CCM. Hakuna rafiki au adui wa kudumu katika siasa.
 
Wapo watu huwa 'hawasikii' ili mradi wako 'upande' wa 'kutakiwa kusikia na kusikiliza'
wakiwa upande wa wao pia kuzungumza na wengine kusikia..na wao wanasikiliza...?
Umemshauri ZZK aache kuwa "me, myself and I". Watu wenye hilo tatizo "hawasikii" mkuu hata kama unawasikiliza.
 
Ila The Boss ukweli ni kwamba for the time being zzk needs ukawa more than the vice-verse. In fact, kwa tabia za zzk akiingia ndani ya ukawa ana madhara zaidi kuliko akiwa nje ya ukawa.

Nje ya ukawa anachokifanya ni kuonyesha kuwa anaweza kugawa kura ukawa wakakosa wabunge wengi, ila ukweli ni kwamba hata huko kugawa kura anakotamba nako hata yeye mwenyewe hakumsaidii yeye kama yeye au yeye kama chama. Akiingia ukawa ana uhakika wa kupata wabunge angalau mmoja, wawili au watatu (coz kuna majimbo hasa ya kigoma anaweza kuachiwa), lakini nje ya ukawa hana uhakika wa kupata hata jimbo moja. Huu ndo ukweli mchungu ambao zzk na chama chake wanaujua wazi wazi.

Ni kwa hali hii ndo maana political analysts wanatabiri zzk kupotea kisiasa baada ya uchaguzi iwapo ukawa wataendelea kushikiria msimamo wao wa kutomkaribisha kundini

cc Pasco, Yeriko Nyerere, BAK na wengine

Mkuu angalau wewe umeona kitu ambacho watu wa CHADEMA hawataki kuona
kama Zitto anawahitaji UKAWA now kuliko wao wanavyomuhitaji basi ndio wakati wa kuzungumza nae
kumpa masharti ya kushirikiana....wasisubiri ifike siku wao UKAWA wakawa wanamuhitaji Zitto

kilichopo hapa ni 'assumptions' tu kwamba Zitto atamalizika kisiasa....
what if hii assumptions ni very wrong?
what if akiweza kupata viti viwili vitatu na CHADEMA wakapoteza watu muhimu kama Lissu?
kutazama future kwa mahaba na vyama sio sahihi....
 
Kama ilishindikana kukaa na kumaliza mgogoro wakati wakiwa pamoja (Zitto na CHADEMA) Sioni umuhimu
 
Man unajitahdi kwa ushauri ila ukweli uachr ubaki kuwa ukweli ni bora tuumie kidogo ila tuzibiti wasaliti na baada ya muda hata hao wafuas wake watajua ukweli theni atakuja kuwa kama mrema
 
Naamini sijawahi kutofautiana na wewe mawazo,but kwa hili nitatofautiana na wewe kwa sababu kadhaa.
1.Mikutano yote ya ACT ilikuwa ikiratibiwa kwa karibu na makada wa CCM,hilo liko wazi na tumelishuhudia.
2.ACT imejipambanua kwamba adui yake mkubwa ni CHADEMA,kwa kauli za viongozi wake na ushahidi upo,.
3.Wanaomtetea Zitto kwa nguvu zote baada ya kuvuliwa uanachama ni makada wa CCM.:what:

Na sababu zingine kibao zipo ambazo zinaonyesha dhahiri kwamba yupo kwa ajili ya kuuvunja upinzani,na katika mikutano yake sijawahi kusikia kavuna wanachama toka CCM bali toka chadema na hata slogan yao ni "vua gwanda vaa uzalendo"ni kweli hakuna adui wa siasa wa muda wote ila kwa sasa ACT hatupaswi kumkaribisha ndani ya ukawa hasa kipindi hiki tunachoelekea kwenye uchaguzi.

Mkuu kuna vitu unapaswa kuviweka maanani pia
Zitto kama binadamu ana makosa yake....na ni binadamu mwenye emotions pia
anaamini sana kuwa ana mchango mkubwa kwa 'kukua kwa CHADEMA'
na yeye anaamini CHADEMA 'wamemsaliti' kwa hiyo kuwa na hasira nao kibinaadamu ni very obvious
kuhusu kuungwa mkono na CCM.....Zitto anaweza kuamini kuwa 'anawatumia' CCM to his advantages
ndo maana nasema in politics hakuna 'black or white' kuna so many colors
 
Mkuu The Boss, hii ni kitu inayoitwa busara za hali ya juu!, it is very unfortunately, Chadema haina watu wenye busara za level hii, wengi wao wanatawaliwa na chuki dhidi ya Zitto, hawataki kuchukua 'tahadhari yoyote kabla ya hatari', bali wako tayari kwa 'majuto ni mjukuu!'. Maadam umesema kuhusu wenye akili wanafanya nini na wajinga watafanya nini, sisi tukiwaita watu ni wajinga humu, tutashutumiwa tunawatukana!, nasisitiza Watanzania kama hawako tayari kuwaingiza 'wajinga' kwenye ikulu yao!.

Kuliko kuingia ikulu na ujinga wao, bora wakae na ujinga wao huko huko, mpaka watakapo pata akili ndipo tuwakabidhi ikulu yetu!.

Pasco

ZZK ana jeuri, labda aje CHADEMA apige magoti aombe msamaha, lakini pia katika dakika hizi za lala salama CHADEMA hawawezi kushirikiana nae. Tofauti na mnavyofikiri wanachama na wafuasi wengi wa CDM hawamuhitaji, yeye kashaanzisha safari yake kwa dharau kibao kwa CDM. Pengine ZZK ana influence lakini Jeshi la mtu mmoja haliwezi kuangusha Jeshi la Kubwa kama CDM. ZZK ana chuki binafsi na Mbowe, hawawezi kuwa sehem moja kwa sasa labda baadae sana. Tumia 'common sense' usitumie 'wisdow without intelligence'
 
Kwa nini atake kushirikishwa UKAWA?

Kwa nini asiombe ushirika na TLP, UDP n.k?

JIBU ni rahisi sana, ameona bila UKAWA haendi popote kisiasa.

Alikua na haki kimantiki kuanzisha chama kama haki yake ya kidemokrasia, lakini kuanzisha chama ndani ya chama demokrasia ilivuka mipaka na kuwa democrazy
 
Mkuu with due respect! Lakini haya unayoyasema yangekuwa ni kweli, sifikirii CDM ingalikuwa ilipo sasa hivi. Na kwa kweli maoni yako yanafanana sana na washabiki wengi wa ZZK na hata ZZK mwenyewe......kujiona yeye ni zaidi ya chama(rejea ushauri alioutoa The Boss kwa ZZK na Jerry Muro).

Huwezi kujenga taasisi(institution) ukiwa na watu wa sampuli hiyo. Na kwa hili I can bet my last coin, ACT haitakaa kuwa taasisi chini ya ZZK (na genge lake). CDM inaweza kuendelea vizuri maana kwa kiasi kikubwa wamejitahidi kujipanga katika muelekeo wa kitaasisi (bila ya shaka nao bado wana kazi kubwa ya kufanya) kuliko vyama vingine ukiacha CCM.

Mkuu SMU hapa umemaliza! "Zitto ndio ACT-Wazalendo" na "ACT-Wazalendo ni Zitto"! Leo hii Zitto akiugua tezi dume (hatumwombei hilo) akalazwa hata Mwananyamala tu, hutasikia kitu tena! Ni kweli ana uwezo mzuri ila "umimi" umemzidi na hawezi kujenga taasisi kwa mtindo huo!
 
Mkuu unaweza ukawa unatumia busara bila kujua damage ambayo CHADEMA wameshapata tayari, wakati Zitto akiwa DGS, na Baada ya kufukuzwa....CHADEMA wko makini sana, kwa maoni yangu pengine this is beyond recovery, Zitto mwenyewe hayuko tayari kwa hilo, hakuna ambalo hakusikia hadi kuunda Chama ndani ya Chama na kujitaidi kuwashawishi wanachama waasi chama, mpinzani anapendwa na Chama tawala na kusifiwa sana, walau hata kupata rabsha ya kuwa mpinzani....... leo mnakaa meza moja kudiscuss..... ni kusaliti damu za watanzania Iringa, Morogoro na Soweto Arusha

Mbona nyinyi mnamsapoti limbu dhidi ya akina zitto?
Wanachofanya ccm na nyinyi sawa tu ,kuwa rafiki wa adui wa adui yako
 
"Taifa limevimba. Wakulima Mahindi yanawaozea na Mpunga bei imeporomoka sababu ya mchele kutoka nje na usiolipiwa Kodi. Wahisani wamezuia misaada ( sababu ya kashfa ya #TegetaEscrow ) Kiasi Serikali haiwezi hata kujiendesha. Unapoona wanasiasa wanagawana vyeo katika nyakati kama hizi ujue Taifa halina Viongozi bali wasaka utawala. Wasaka utawala badala ya uongozi ni #WasakaTonge tu"

attachment.php

Yeye ZZK alivyoanzisha ACT lengo lake lilikuwa ni kusaka nini kama sio utawala hasa mda ambao 'taifa limevimba' kama ulivyosema. Kilichomuondoa CHADEMA kilikuwa ni baada ya kukosa nini kama sio utawala. Uelewa wangu kuwa chama chochote cha siasa huwa kina lengo la kushika dola au kushika utawala, ina maana ACT halina lengo kama hilo? Kuhusu usakaji wa Tonge, yeye ndo msaka tonge, na anazipata sana kutoka CCM.
 
Mkuu kuna vitu unapaswa kuviweka maanani pia
Zitto kama binadamu ana makosa yake....na ni binadamu mwenye emotions pia
anaamini sana kuwa ana mchango mkubwa kwa 'kukua kwa CHADEMA'
na yeye anaamini CHADEMA 'wamemsaliti' kwa hiyo kuwa na hasira nao kibinaadamu ni very obvious
kuhusu kuungwa mkono na CCM.....Zitto anaweza kuamini kuwa 'anawatumia' CCM to his advantages
ndo maana nasema in politics hakuna 'black or white' kuna so many colors

True BOSS,but tumpe muda nyongo yake ipoe kwanza coz nilikua napotia article moja humu ikionyesha ACT ilivyoshusha bendera za CHADEMA kigoma na kupata wafuasi kadhaa ila sikuona popote pale bendera ya CCM imeshushwa,na mkuu wa chama ndugu ZITTO hajawahi kutoa tamko la kukemea hili swala hata mwenyekiti wake alivyotoa tamko la kuzuia wanachama wake kushirikiana na UKAWA amekaa kimya,napata kigugumizi hapa kukubali akaribishwe UKAWA,tusubiri kwanza.
 
Ila The Boss ukweli ni kwamba for the time being zzk needs ukawa more than the vice-verse. In fact, kwa tabia za zzk akiingia ndani ya ukawa ana madhara zaidi kuliko akiwa nje ya ukawa. Nje ya ukawa anachokifanya ni kuonyesha kuwa anaweza kugawa kura ukawa wakakosa wabunge wengi, ila ukweli ni kwamba hata huko kugawa kura anakotamba nako hata yeye mwenyewe hakumsaidii yeye kama yeye au yeye kama chama. Akiingia ukawa ana uhakika wa kupata wabunge angalau mmoja, wawili au watatu (coz kuna majimbo hasa ya kigoma anaweza kuachiwa), lakini nje ya ukawa hana uhakika wa kupata hata jimbo moja. Huu ndo ukweli mchungu ambao zzk na chama chake wanaujua wazi wazi. Ni kwa hali hii ndo maana political analysts wanatabiri zzk kupotea kisiasa baada ya uchaguzi iwapo ukawa wataendelea kushikiria msimamo wao wa kutomkaribisha kundini cc Pasco, Yeriko Nyerere, BAK na wengine
Unadhani huyu ni kwanza ktk watanzania kushauri matope...ktk makampuni mengi tuu yenye maboss wazungu..tukiwa ktk board huwa tulikuwa tunacheka sana wakipewa nafsi na mzungu kutoa maamuzi yao...ilikuwa bahati sana wazungu huwa hawana majibu mabaya..walikuwa wakisuggest matope...ila muda mwingi hawakuwa na alternative..walikuwa wakiongozana kuongea negative views zao..kupitia maswali..maswali mengine km director ndio ana majibu yote...hata ktk fani zao...huyu nae Anaishauri CDM km ndio iliyoshikilia serikali...
 
Kama ilishindikana kukaa na kumaliza mgogoro wakati wakiwa pamoja (Zitto na CHADEMA) Sioni umuhimu/nafasi hiyo kufanyika sasa wakati kila upande unajipiga kifua kuwa unauwezo wa kusonga na kukua zaidi pasipo mkono wa mwingine.

Chadema watakuwa wamepotrza sana kama wakikubali hilo. Hii itakuwa na maana kwanba;
1. ACT kupitia Zitto wananguvu kali za ushawishi kwa wananchi ambao CHADEMA wataona bila kuungana nao watapoteza nafasi yao ya kuchukua dola au kuwa chama kikuu cha uponzani.

2.ITatafsiriwa kwamba UROHO wa madaraka na UMANGI MEZA ndio reasons behind vio goz wa chadema kumfukuza Zitto, ilhali si kweli ni kutokana na "mienendo isiyoridhisha" ya aliyekuwa naibu katibu mkuu bara Mr. Zitto.

3. Kiitikadi CHADEMA watashindwa kueleweka kwa wanazi wao wanasimamia katika nini? Je nikatika Liberal democracy au ujamaa maendeleo unaosimamiwa na ACT? hii ni mifumo miwili kinzani ambayo sioni kwa namna gani itawaweka pamoja jamaa hawa.

Naamini ni vema ACT waendelee na harakati zao wasijifungamanishe na UKAWA, ili UKAWA /CHADEMA nao waendee kujiimarisha katika maeneo yao.

Politics is like disco, you keep dancing no matter what, when the muziki/songs changes yu kiip dancing!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom