CHADEMA wazungumze na Zitto na ACT

CHADEMA wazungumze na Zitto na ACT

Ule waraka wa Mwigamba kwa Zito umewahi kuusoma?Una nini cha kusema kuhusu hilo? Zitto aondoke kwene chama chake juzi halafu leo tena hardly mwezi haujapita wajiunge naye? Hiyo ndiyo itakuwa inconsistency and hypocrisy of the highest order. Principles ni jambo la muhimu sana katika maisha Kimweri. Mmeshajua kwamba Zito anaweza kutorudi bungeni ndio maana mnatafutia namna.

Wewe huo waraka hadi uliwekwa hapa, hakuna cha ajabu mle, ni power struggle kind of document iliyokuwa na nia moja tu, kuchukua madaraka makuu CDM. Sasa ninachoshangaa mie ni MBOWE na SLAA, kufikiria kuwa CHADEMA nzima hakutakiwi kuwa na watu wenye ambitions za kuwa viongozi badala yao. Yani mbowe anaamini kabisa hakuna hata mwana CHADEMA mmoja anayependa kuwa Mwenyekiti?kama anaamini hivyo, basi kuna tatizo.

naona umeruka hoja zangu zooote, umekimbilia kwa m*vi ya kale. Nyie si mlimfukuza Kafulila??si mlimuita SISIMIZI? sasa mbona leo mwafanya nae kazi UKAWA? Nyie si mlimuita Mbatia Agent wa CCM?mbona leo hii mwafanya nae kazi UKAWA?si mliwaita CUF Mash*ga?mkawakejeli kuwa wameolewa na CCM Zanzibar?mbona leo hii mwatolea matamko ya UKAWA kwenye makao makuu yake?

Samahani sana all i see is Hooker principles here.., hakuna cha msimamo wala mjomba wake na msimamo.Mie Zitto kuwepo au kutokuwepo bungeni hakunisaidii chochote, ila kutawapa ahueni CCM, kwani watakuwa na uhakika waserikali yao kutokufuatwa fuatwa na King'ang'anizi Zitto. Kama Mnamtegemea Mnyika a-fill void ya Zitto basi mnaota, Kama vile void ya Slaa ilivyoshindwa kuzibwa kwenye bunge liliokwisha, kama Zitto hatakuwepo Bunge lijalo ni sherehe kwa CCM.

CCM wanashangilia Vita ya ACT na CDM na kwa makusudi kabisa wanajiweka upande wa ACT kwani hata chizi ukimtoa jalalani atakumbuka kauli, "enemy of your enemy is your friend". CCM adui wa CDM lazima a-cozzy up na tishio lolote kwa CDM ili kuwa provoke vichwa moto wa Ufipa. Tumeimba wee, lakini wapi, vile vichwa pale vimepashwa moto na pressure cooker, kupoa shida.
 
Kuna mtu nafanya nae kazi yuko kwenye system ya CHADEMA huwa namwambia ukweli...ambao hauko mbali na huu...

Sawa Zito msaliti...je hatua mliyotumia na nyie si itawamaliza...anabaki ooohhh aaahhhh...

Ndio maana naamini hii timing ya mahakama iko calculated kuwatibua CHADEMA lakini na wao wakaingia kwenye mtego...

Unadhani CCM wanavyofunika kombe mwanaharamu apite ni kwa nini?...wanajua kutimuana kutawamaliza wenyewe...else wangeshamtimua EL long timea go...lakini wanajua ndio itakuwa kihama cha CCM

umeongea busara tupu.

Shida chadema hakuna Leadership quality inayohitajika, na depth ya leadership yao nyembamba sana. mbaya zaidi kwenye leadership wako wachache na ndio alfa na omega.

Yani wanakuwa toyed na CCM kama Mayweather alivyo toy around Pacquiao jana usiku.

Shida CHADEMA hakuna restrain.Zitto conflict in CHADEMA was akin to a mosquito landing on CHADEMA testicles, Violence ( expulsions) was no wise course of action, but well, someone had to show that they were the top dog.The rest is history, Hawakujua Zitto problem was that mosquito in a sensible area that did not need no (violence) expulsion but careful navigation towards neutralizing him. Sasa CHADEMA wamebaki kuugulia wakati choice ilikuwa ya kwao wenyewe.

7e5aa8af57385929a7c7e7fcb6e90a11.png
 
If CDM thinks it's doing alright why would it's leaders disperse to counter ZItto meetings upcountry? To me that is the smell of fear, not confidence.

I honestly do not see substance in UKAWA past the constitution movement. It's biggest agendas now is how to share constituents and who will run for presidency under UKAWA! Like seriously, that's not what Tanzanians needs right now. Another power grabbing group. They need committed leaders who would ease their problems.

This CHADEMA which is busy crushing ZITTO based on past problems is the same party that flatout deny any other political party involvement during Opposition Camp Fiasco for KUB. They called CUF as CCM B, called Kafulila Sisimizi, and Mbatia JK Puppet after JK appointed him MP.

Sometime i just smile at the naivety of some CDM supporters.You compare Mbatia and Zitto and you tell me with a straigt face, who is closer to JK/CCM? a guy who is responsible for bringing down the CCM government multiple times or a dude handed over Parliament Post by JK? Can Mbatia really come out with a straight face and attack Zitto being a CCM puppet?while he is in the parliament by mercy of CCM Chairman?

Again, CUF is practically running the government with CCM in Zanzibar, yet, CHADEMA decided to not see that and Accuse ACT a party that hardly has a political year under it's belt being close to CCM. Have they taken a look at Zanzibar government and notice who is the VP there?

What i see CHADEMA not committed to do, is admitting it had also done mistakes and that a fresh start is needed. This MSALITI nonsense continually makes me lose respect of CDM leaders who i believe should be better than that. Seriously Mnyika and Co, get over this childishness. If Mwalim Seif was wise enough to form a union government with his biggest adversaries for the best of everyone. CDM stubbornness only proves to me they lack leadership qualities one expects from a party looking to lead the nation.

Otherwise if CHADEMA insists in sticking to its useless revenge politics, its time someone remind them of what happened in the past with its collaborators as well. Kafulila, Marando, Mbatia and many others.., they were all labelled traitors and puppets of CCM by the very same CDM noise makers. So the only way i would respect them is if they showed some consistency, then may be i would know CHADEMA is a radicals party. But as of now it's turning into a confused hypocrisy party. One that changes its policy,affiliation and stands faster than a hooker changes customers in a busy night.



First of all CDM members are not out there talking to citizens because of fear of ACT, they are there because of their strategic plans to expand training to their leaders on various issues with regards to election preparations, in fact they are there in attempting to counter CCM’s Kinana and Nape’s previous all country tour.

Again how would you get these committed leaders you are talking about to ease citizen’s problems without an election? Elections needs plans and executions from political parties involved, that’s why even some CCM members now get quite exhausted with the silence from their own party on this issue. You don’t expect UKAWA which is a new union with a unified agenda to just wake up in an election day without preparations and strategic plans.

I tend to ask those who think UKAWA are sharing power that, is there power to be shared among opposition parties? Intending to place one candidate in every constituency for such a new union is not an easy thing, I am unsurprised they haven’t gotten to 100%.

Back to ZZK, it is not about being close to JK or CCM Chairman, it is about working against CDM in favor of them. You see, it is about trust, if you are in organization and many people don’t trust you because they see you are trying to destroy the same organization you worked hard to help build, you leave and prove to them that you are much better than that. ZZK left CDM and he has proven beyond reasonable doubt that, through his own words, that he is not a real fighter against the ruling party.

Hence trying to make the previous issues of CDM against Mbatia or CUF look like is the same thing as what is happening between ZZK and CDM is obscuring the facts. You guys are crushing this union with every weapon you’ve got and every avenue at your disposal, but you are forgetting that this kind of Union is what people of change have been calling for in Tanzania. Now that this union is trying to work its way through the climax it get attacked by people whose memories are short, who don’t have Tanzanians interests at heart. People need not only a change of leadership and party, but a change of vision and path for this country, that’s what this upcoming election is all about.

Lastly, CDM may had weakly handled ZZK saga but ZZK have his own weaknesses. If ZZK wouldn’t have waged a political war against a union of some of the largest opposition parties in Tanzania at this TIME (few months if not weeks before the election), maybe they would be talking about working together. He just need to change his attitude and habit, I cannot be more surer that he will end his political career.
 
Mkuu The Boss, hii ni kitu inayoitwa busara za hali ya juu!, it is very unfortunately, Chadema haina watu wenye busara za level hii, wengi wao wanatawaliwa na chuki dhidi ya Zitto, hawataki kuchukua 'tahadhari yoyote kabla ya hatari', bali wako tayari kwa 'majuto ni mjukuu!'. Maadam umesema kuhusu wenye akili wanafanya nini na wajinga watafanya nini, sisi tukiwaita watu ni wajinga humu, tutashutumiwa tunawatukana!, nasisitiza Watanzania kama hawako tayari kuwaingiza 'wajinga' kwenye ikulu yao!.

Kuliko kuingia ikulu na ujinga wao, bora wakae na ujinga wao huko huko, mpaka watakapo pata akili ndipo tuwakabidhi ikulu yetu!.

Pasco

Pasco, umenena. yaani siku zote huwa nasema tumekuwa wasahaulifu wa mambo, hivi hii ya Zitto na CDM si ni picha ile ile ya CCM na Dr. Slaa! we never learn from history!!!!
 
Mkuu Jasusi, suala Zitto kuamini kuwa anazo, watu wenye uwezo wa kufuatilia 'the anatomy of individual powers', Chadema haina mtu yoyote as powerful as Zitto!, hivyo Zitto kuwa na powers hizo sio suala la kuamini anazo, bali nguvu hizo anazo na zinaokena wazi kwa macho tuu!. Hapo kamwe sijamsikia Zitto akisema jambo lolote against Chadema!, by nature ya position yake ya NKM, lazima ana hold weapons of mass destruction ya Chadema ambazo ameziweka akiba 'saving the best for the last', hivyo tusibiri mshuhudie 2015 ikulu ni CCM tena!.
UKAWA wakishindwa kuingia ikulu kutokana na kugawana kura na ACT, tutawazomea kwa kushindwa kuingia ikulu kwa ujinga wao!. Kwa mnaojua hostilities kati ya CUF na Chadema ile 2010 halafu leo wameweza kukaa meza moja kujadiliana kuachiana majimbo, haya ya ACT ni madogo tuu!. Ukiangalia jinsi Kafulila alivyotimuliwa Chadema hadi kuitwa sisimizi, leo ndio Kafulila huyo huyo anaachiwa jimbo na Chadema, what is ACT compared?!.

Mimi naendelea kusisitiza, kuliko kuingiza wajinga ikulu yetu, ni bora hao wajinga wabaki na ujinga wao huko huko, mpaka watakapoacha ujinga wao, ndipo tuwakabidhi ikulu yetu!.
Pasco
Mkuu Pasco, unamapenzi makubwa sana na Zitto, unamwamini vya kutosha, ni kiongozi bora na wa mfano kwako. kwa mabandiko yako yaliyo mengi humu yamesheheni ushauri, kebehi, elimu kwa mtu mmoja mmoja pia hata kwa vyama vya siasa na wanasiasa wenyewe. Kubwa zaidi msimamo wako kisiasa upo wazi kwa kila member.
Ukweli ni kwamba propaganda za humu kwenye mitandao wengi wenu mnazifanya kama za kule majukwaani viwanjani, kwenye mikutano ya hadhara iliyo jaa ile idadi kubwa ya mtaji wa chama tawala 'WAJINGA', kwa hiyo hawasomi hizi kazi zenu humu, maana hawawezi kuingia pia ni masikini, hata simu ya mchina shida.
Hivyo basi ujumbe wenu unatuhusu hata wenye kaelimu ka chini ya mwembe,nasikitika kukueleza kwamba "MNATUDHARAU WATANZANIA" hata sisi humu mnatuona mazezeta? Ninani asiye mfamu Zitto kisiasa humu jamvini?
 
Mkuu nafikiri hpa ndipo kwenye mkosa ya CHADEMA thinking in terms of 'mke wako'
au 'kijana wako' Janjaweed unajua a lot kuhusu football.....mchezaji hata kama umemtoa sumbawanga aakishakua star
unalazimika kumheshimu kama star.....huongei nae hivi hivi tu..unaongea na wanasheria wake na wakala wake...

Zitto is no longer 'kijana wa CHADEMA' .....now ni 'kiongozi' wa 'taasisi ingine ambayo inaweza kuijeruhi CHADEMA...
smart people talks to avoid any future damages.....

agreed, maybe i gave a wrong example

At this stage ya political transition, with lots of moving parts, and the environment haijasettle, CHADEMA should avoid Zitto kabisa... He cant be trusted

Whether kiongozi wa taasisi nyingine au former chadema executive--- mifano uliyotoa haina hata chembe ya kufanana na unachotaka kitokee. Makaburu na ANC hawakuwahi kuwa kitu kimoja, Morocco, Saharawi etc hawakuwahi kuwa kitu kimoja, they have been far apart historically

Not sure what you are trying to achieve na wito wako, but i know umesoma lots of literature on espionage and "informers" paradise... ZZK is enjoying that informers paradise

Naskia vile vifo vingi vya maafisa usalama viliisha baada ya mwanasiasa mmoja kugundulika kuwa ndiye alikua anarudisha feedback kwa "wakubwa" kuhusu source ya info kwa wapinzani... SIJUI NI KWELI??
 
First of all CDM members are not out there talking to citizens because of fear of ACT, they are there because of their strategic plans to expand training to their leaders on various issues with regards to election preparations, in fact they are there in attempting to counter CCM's Kinana and Nape's previous all country tour.

C'mon Kinana Tour ended a month or so ago, and infact Mnyika was more or so following Zitto's trial..,come back with a batter explanation.Especially as to why, now that Zitto has halted his meetings coincides with CDM halting theirs as well.Worse the Headlines of Mnyika and Mbowe rallies were all about Zitto and ACT. Couldn't they have chosen a far worse coincidence?

Again how would you get these committed leaders you are talking about to ease citizen's problems without an election? Elections needs plans and executions from political parties involved, that's why even some CCM members now get quite exhausted with the silence from their own party on this issue.
UKAWA would have naturally found it's leaders and in the end pick its representative if they had a cohesive message and philosophy, BUT i do not see that. If it's about serving people, why are the headlines we get from UKAWA all about positions for the general elections?
CCM has one of the most robust leadership process among TZ political parties, it's well documented and everything is clear to my understanding. They will have their general meetings where they will nominate their candidates, they did this for several decades, i do not think CCM is worried JK successor, infact they are spoilt with choices.

You don't expect UKAWA which is a new union with a unified agenda to just wake up in an election day without preparations and strategic plans.

This is exactly my problem with UKAWA,what kind of unifying agenda is that?i do not see any unity past them being oppositions, what kind of unity exists in CUF and CDM policies?strategies? IS aid this before, if UKAWA really were united, i would have expected them to form a single party to counter CCM, then i would have taken them seriously, otherwise they are trading with a weak hand. This will not happen because no one in UKAWA wants to be subordinate to the other, similar way ZITTO got tired of being subordinate to Mbowe and Slaa and decided to be the Party leader of his own. Tanzania politicians aren't that sophisticated for a bigger cause. Lets not kid ourselves here.

I tend to ask those who think UKAWA are sharing power that, is there power to be shared among opposition parties? Intending to place one candidate in every constituency for such a new union is not an easy thing, I am unsurprised they haven't gotten to 100%.
There is plenty of power to be shared, between CDM and CUF they control quite a huge chunk of MP seats,and that is the power what no party wants to be caught napping and give up ground.

Back to ZZK, it is not about being close to JK or CCM Chairman, it is about working against CDM in favor of them. You see, it is about trust, if you are in organization and many people don't trust you because they see you are trying to destroy the same organization you worked hard to help build, you leave and prove to them that you are much better than that.
I would appreciate if you explain instances where Zitto worked against CDM while within CHADEMA in aid of CCM,it's easy to throw allegations but hurder to prove them. Anyone can throw allegations few can prove them. Logically all i see in Zitto is an ultra competitive politician who does not like to be kept in the background.

ZZK left CDM and he has proven beyond reasonable doubt that, through his own words, that he is not a real fighter against the ruling party.

Phew, this is quite absurd?Zitto not against the ruling party?isn't this the same dude writing every few sentences "same enemy different fronts" or something like that?so i am expected to take your words against the words of the accused which are very public? It's this kind of cheap rhetoric that makes a lot of us wonder, what happened to the minds in CDM that catapulted it to higher heights circa 2005 elections

Hence trying to make the previous issues of CDM against Mbatia or CUF look like is the same thing as what is happening between ZZK and CDM is obscuring the facts. You guys are crushing this union with every weapon you've got and every avenue at your disposal, but you are forgetting that this kind of Union is what people of change have been calling for in Tanzania.

Not really actually, i am just amazed at selective justice, that granted Mbatia access to UKAWA that Zitto is denied.You do not see that because you are deeply clouded by your love for CHADEMA, which is fine.,since i am no member of either party i see things as they are and am simply baffled.
If a union is made up of hypocritical and selective justice i don't see how it represents Tanzanians in an honest way. The way i See it is very simple. Draw a line and unite all opposition regardless of past grudges to battle against CCM, or be doomed by thinking selectively picking sides when it suites CDM will help it. At the moment y'all are just giving anmo to CCM.


Now that this union is trying to work its way through the climax it get attacked by people whose memories are short, who don't have Tanzanians interests at heart. People need not only a change of leadership and party, but a change of vision and path for this country, that's what this upcoming election is all about.

Unfortunately i do not see any valid change in vision among UKAWA team, seriously, i just see same old same.They need to redefine themselves and tell Tanzanians that. We all see they still obsessively cling onto unnecessary "posho's", Mbowe is using government resources to do campaigning in similar way we complain about CCM using govt resources for themselves. They do not really have anything new democratically,it's all quasi democratic,and don't even get me started on individual qualities of UKAWA leaders.., since i will stop at 10 or may be 20 and run out of any solid respectable, honest leaders. ACT is also in the same charade, its leadership base is ridiculously thin and past a handful of party leaders there isn't much, but at least they can claim they are just a year old. Surprisingly only CUF has the types of leaders that have been tested at the highest levels of leadership. for example if it were my call, i would request UKAWA to appoint Seif as their presidential candidate, since he is the only Leader i know who stands for what he believes and he is extremely capable,and knows when to take compromises when needed.But we all know that will not happen.

It's absurd UKAWA is propping up Slaa and Mbowe while it's clearly they are tiny when placed beside Maalim Seif in each and evry leadership qualities. Maalim is the only person in Ukawa to have served at the highest level of government in Tanzania and with proper leadership qualities. while i see leadership qualities in Dr.Slaa, he really has never been tested as a top leader the way Maalim has.

I personally will only stand behind UKAWA if they are honest with themselves, sio kuleta ujanja ujanja.

Lastly, CDM may had weakly handled ZZK saga but ZZK have his own weaknesses. If ZZK wouldn't have waged a political war against a union of some of the largest opposition parties in Tanzania at this TIME (few months if not weeks before the election), maybe they would be talking about working together. He just need to change his attitude and habit, I cannot be more surer that he will end his political career.

ZZK is the only person in this saga who has publicly apologised. You may want to ignore his apology, but i remember reading he did that when he went to say goodbye to his constituents. He even later clarified that he wants to put the past behind. What did CHADEMA do? cling on to the useless traitor this traitor that, that is now useless since Zitto is no longer in CHADEMA.

How can you say Zitto is waging a war against UKAWA while he applied officially to join the UKAWA?am baffled again. What did CHADEMA bigwigs say in response?that will never happen, as if UKAWA is defacto CDM.

I agree Zitto and CDM both made mistakes, but Zitto apologised Chadema did not.Zitto has put the past quarrel behind him, CHADEMA is still acting like a disgruntled ex.
 
Wewe ni mfuasi wa CCM, ina maana we in mpinzani wa CDM, utakuwaje na mawazo sawa na Mbowe au CDM, wakati lengo lako ni kuvuruga CDM.

Nani kakwambia mimi ni mfuasi wa Ccm! myakayote kura yangu ilikua inaenda CDM, lakini 2015 tukiwa hai kura yangu itaenda ACT.
 
Mtoamada nakupa ogera kwan umeona mbali lk kaa watuwanapuuza wasubiri October,2015.
 
mnazungumzia zitto kujiunga na UKAWA au ACT kujiunga na UKAWA? vinaungana vyama Kwa vyama dhidi ya chama! Ndiyo maana ilikuwa rahisi CHADEMA ambayo ni taasisi kukubali kuungana na cuf na nccr ambazo nazo ni taasisi lakini leo CHADEMA kuishauri taasisi hii itoke ikaongee na mtu mmoja sishauri Kwa kweli! jambo lingine ni kwamba wana chadema wamepoteza imani na Zitto Kabwe hivyo kumruhusu ajiunge na UKAWA watalala macho Kwa sababu hawajui when the snake will become pregnant ni bora kupambana na adui akiwa nje kuliko kumleta adui huyo ndani utalala macho ukihisi anataka kukuchoma kisu
 
Enough with the mission to damage the party bullsh*t, we all read the alleged Mkumbo document. That was nothing but power struggle.It happens everywhere, from tiny organisations to Multi National Corporations. Mbowe and Team were scared dead of Zitto radical ideas and they thought they were better of without him. Now they know they were not quite right.

Mkumbo's was just one doc... the guy is 'uncleanable'.......
 
Your entitled to your thoughts too.....
If in 2010 he caused CHADEMA not to gain constituencies while inside CHADEMA
then in 2015 he can only do more...
but the big word here is 'if'

And that's very big "IF"
 
mnazungumzia zitto kujiunga na UKAWA au ACT kujiunga na UKAWA? vinaungana vyama Kwa vyama dhidi ya chama! Ndiyo maana ilikuwa rahisi CHADEMA ambayo ni taasisi kukubali kuungana na cuf na nccr ambazo nazo ni taasisi lakini leo CHADEMA kuishauri taasisi hii itoke ikaongee na mtu mmoja sishauri Kwa kweli! jambo lingine ni kwamba wana chadema wamepoteza imani na Zitto Kabwe hivyo kumruhusu ajiunge na UKAWA watalala macho Kwa sababu hawajui when the snake will become pregnant ni bora kupambana na adui akiwa nje kuliko kumleta adui huyo ndani utalala macho ukihisi anataka kukuchoma kisu

Ubunge wa mbatia umetokana na chama gani? hivi cuf kule zanzibar wanashirikiana na chama gani? utakuwa ni upuuzi wa hali ya juu ACT kujiunga ukawa, ikomae wimawima tu. Kama wanataka ushirikiano wa kisiasa TCD inatosha.
 
Ubunge wa mbatia umetokana na chama gani? hivi cuf kule zanzibar wanashirikiana na chama gani? utakuwa ni upuuzi wa hali ya juu ACT kujiunga ukawa, ikomae wimawima tu. Kama wanataka ushirikiano wa kisiasa TCD inatosha.

Hayo ya mbatia kuwa mteule wa Rais na cuf kuwemo ndani ya serikali ya mseto Zanzibar yalikuwa vikwazo Kwa CHADEMA Kwa muda mrefu wewe ni ushahidi lakini baada ya CHADEMA kujiridhisha kupitia intelejensia yake kuwa hakuna hatari yoyote ikaamua kuungana na cuf na nccr hivyo basi hii intelejensia ya chama ndiyo iliyomkuta Zitto Kabwe na hii hali ambayo sasa haaminiki Kwa hiyo ni mpaka chama kijiridhishe tena juu ya usalama wake dhidi ya zitto mbali na hapa ni kujlisha upepo haya mambo hayaendi Kwa kelele za jf bali Kwa intelejensia na uchunguzi wa hali ya juu na iko hivyo Kwa chama chochote makini
 
The Boss, you are quite right on this issue. The problem is that quite a good number of people in this arena are not conversant with negotiation. Let me remind them two principles of negotiation which are very relevant in this situation.
Principle number one "The greatest failure in negotiation is failing to negotiate" and principle number two, "Even when two sides are far apart on major issues, there are always things they can agree upon".
I'm fully convinced that both Chadema and ACT agree that CCM has done enough for this country and it needs to retire from Magogoni. For the betterment of our nation lets the two parties not fail to negotiate. Their failure to negotiate is a green right for CCM to personalize Magogoni house.
 
Wanaojua historia ya OAU na Morocco na mgogoro wa Sahara Magharibi watakumbuka alichowaambia Nyerere viongozi wenzie wa OAU wakati ule.

Nchi ya Morocco ilikuwa inakataa kila maazimio ya OAU ikisisitiza Sahara Magharibi ni ardhi yake Viongozi wengi wakasema dawa ni kuifukuza Morocco OAU.

Nyerere alipinga na hoja kubwa ilikuwa ukishaifukuza Morocco then what? utawezaje kuidhibiti wakati
sio member wako tena?si unaipa uhuru wa kufanya lolote? nguvu ya kidhibiti Morocco ni only kama Morocco ni member wa OAU...otherwise akishakuwa sio member hatalazimika tena kuisikiliza OAU.Viongozi hawakusikia the rest is history..mgogoro haujaisha hadi leo..

Ni kama ile hadithi ya mtoto anaekojoa sebuleni halafu unamfukuza anaenda kusimama nje anakojoa mkojo akitokea nje kupitia dirishani unaingia sebuleni tena...hujafanya kitu labda uongee na huyo mtoto ujue analilia nini labda kuna pipi tu karibu akipewa its done...

Kuelekea Uchaguzi 2015 CHADEMA now ndio chama cha upinzani chenye nguvu kuna UKAWA ambapo CHADEMA ndio wenye nguvu zaidi na sauti zaidi...Sasa ingawa CHADEMA wanashikilia msimamo wao ambao ni very 'radical' wa kutoongea na Zitto na kuwaita
ACT 'wasaliti' ukweli ni kwamba njia rahisi ya kuidhibiti ACT ni kuongea nao na kujua hasa 'wanataka nini' na kuwapa masharti ya kujiunga na UKAWA na vinginevyo ACT wanaweza kabisa 'kukojoa kutokea dirishani' na the rest ikawa historia.

ACT ikiwa ndani ya UKAWA ..CHADEMA watakuwa na uhakika wa baadhi ya viti vya ubunge watu kama Tundu Lissu,Mbowe na Halima Mdee watapata 'nafuu' ya kupambana na CCM only kuikataa ACT ni kuwaruhusu ACT waweke wagombea wao wa ubunge kwa Lissu,Mdee,Mbowe na wote wengine

sio lazima hao wagombea washinde..lakini wanaweza kugawa kura...the rest will be history.

Najua wapo watu ndani ya CHADEMA wana obsession ya kummaliza Zitto....tatizo ni kwamba 'no one knows the future' .....watu wenye akili hukubali ku negotiate when they have power and are strong watu wajinga huenda ku negotiate wakiwa wameshashindwa au kujeruhiwa.

CHADEMA now they have power....wasisubiri kujeruhiwa.

Act hawana lolote,hapowalipo hawana mgombea isipokuwa zito tu,na kama ni mbunge watapata zito tu,maeneo mengine hamna kabisa,utasemaje eti kina lissu,mnyika,mdee watakuwa na nafuu?wewe hazimo kabisa.
 
The Boss, you are quite right on this issue. The problem is that quite a good number of people in this arena are not conversant with negotiation. Let me remind them two principles of negotiation which are very relevant in this situation.
Principle number one "The greatest failure in negotiation is failing to negotiate" and principle number two, "Even when two sides are far apart on major issues, there are always things they can agree upon".
I'm fully convinced that both Chadema and ACT agree that CCM has done enough for this country and it needs to retire from Magogoni. For the betterment of our nation lets the two parties not fail to negotiate. Their failure to negotiate is a green right for CCM to personalize Magogoni house.[/QUOT
Moja ya vitu vinavyowazuia CHADEMA kunegotiate na Zitto Kabwe ni ile hali ya yeye Zitto Kabwe kujifanya yupo juu ya CHADEMA na bora zaidi kiasi kwamba anatoa masharti mbalimbali haya aliyatoa alipokuwa ndani ya CHADEMA na anayatoa pia nje ya chama hali hii haiwezi kuvumilika Kwa taasisi yoyote ile na taasisi ni kubwa kuliko mtu, amini nawaambieni tutaingia uchaguzi mkuu CHADEMA hawajaongea na Zitto Kabwe na hapo ndipo itakapojulikana nani bora CHADEMA ipo radhi kupoteza urais kuliko kujishusha Kwa CHADEMA
 
Back
Top Bottom