yero
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 471
- 425
Chadema imebakia kilimanjaro tuh
Chama cha kikabila.
Unaweza kuweka ushahidi wa hitimisho la utafiti wako huo au unasema kwa kwa sababu umesikia watu wanasema.
Chadema imebakia kilimanjaro tuh
Chama cha kikabila.
Mkuu utaona sijasema akaribishwe moja kwa moja UKAWA
nimesema tu CHADEMA waanze kuzungumza nae...labda anataka majimbo mawili tu au matatu
aachiwe na UKAWA au jimbo lake tu moja....na wao wana UKAWA in return wanaweza kumpa masharti
labda ACT wasisimamishe mgombea kwa Lissu na Mdee....na hapo labda ukawa 'mwanzo mpya'
Wanasema in Politics there are no permanent enemies nor permanent friends....
Lissu na Mdee kwangu ni watu muhimu bungeni
kama wewe ni mwana CHADEMA na unafikiri hao wako equal na wagombea wote wa CHADEMA kina
Shibuda na Msigwa basi hata wewe ni kazi bure kukuelewesha
sio Lissu na Mdee hata Mnyika anapaswa kupewa free pass na upinzani wote
Tunapingana na hiyo sense unayoizungumzia. Kwako sense ni UKAWA au Chadema kukaribisha ACT-Wazalendo, chama kilichofadhiliwa na CCM. Kwetu sisi sense ni kuachana na wale ambao walikuwa wakivujisha siri za chama kwa CCM na usalama wa taifa eti wanaona ni tija kuwa na uhusiano na maafisa wakuu wa usalama wa taifa. Uhusiano gani? Obama katika kampeni zake hakuona umuhimu wa kuwa na uhusiano na CIA kwa sababu alijua CIA ni chombo cha serikali kinachopaswa kumtii yeyote atakayechaguliwa na Wamarekani kuwa kiongozi wao.l Kwa hiyo kama viongozi wa Chadema hawana sense mimi nataka waendelee hivyo hivyo.Mkuu The Boss, ili kuweza kufanya kitu kinachomake sense, kwanza, ni hao wahusika wawe na uwezo 'ability' to see that sense!, ndipo then wafanye maamuzi yanayomake that sense!, hao wenye uwezo wa kuona hiyo sense huko Chadema wapo?!. I don't think!.
Pasco.
Tuko kwenye kipindi cha demokrasia Zitto na ACT wanahaki ya kusimamisha wagombea mahali popote palipo na wagombea wa CHADEMA ili mladi hawako ndani ya UKAWA hata kama watasimamisha wagombea watatu watatu kwa mgombea mmoja wa CHADEMA poa tu,kwani lengo lao siyo kushinda bali ni kutaka kuidhofisha CHADEMA.
Kuna kitu naona unakisahau
Enzi za TANU na Mtevu angala chaguzi zilikuwa fair..
enzi hizi chaguzi zina 'all dirty tricks'
Mtemvu hakuwahikushinda lolote before,Zitto kashinda twice uchaguzi
enzi hizi zenye 'all dirty tricks' na kashiriki mipango mingi ya CHADEMA iliyopelekea CHADEMA kushinda
majimbo......hate him but he is no fool....akiamua kuijeruhi CHADEMA anaweza...kuzungumza nae
kunaweza saidia sana tu.....hasa kama atapata 'a little respect' from CHADEMA...nafikiri
ni Abraham Lincoln aliwahi sema 'i destroy my enemies by making them my friends'
Ushauri wangu kwa Zitto nimeutoa humu
kuna thread nimesema Zitto ajifunze kusema 'we' na 'sisi'
kama anataka 'bright future'ya kisiasa..ukisoma between the line ni ushauri mkubwa
Kuhusu hiyo ya mimi kuamini wenye Obession...well you can ignore me
kumbuka CHADEMA hawa deal na mimi hapa......but Zitto is out there kuendelea kumuita msaliti na kum ignore
na the fact yeye Zitto ana 'machungu' yake binafsi na individuals ndani ya CHADEMA kutapekelea asiwe
na kizuizi cha kuweka wagombea kwenye majimbo ambayo tunapenda kuona wabunge wake wakirudi bungeni
hivi Suppose ACT waweke mgombea kwa Tundu Lissu achukue kura za kutosha hadi Lissu ashindwe
unafikiri hilo ni jeraha dogo?
the way kuzuia hilo ni ku negotiate na Zitto baasi
Mkuu The Boss, hii ni kitu inayoitwa busara za hali ya juu!, it is very unfortunately, Chadema haina watu wenye busara za level hii, wengi wao wanatawaliwa na chuki dhidi ya Zitto, hawataki kuchukua 'tahadhari yoyote kabla ya hatari', bali wako tayari kwa 'majuto ni mjukuu!'. Maadam umesema kuhusu wenye akili wanafanya nini na wajinga watafanya nini, sisi tukiwaita watu ni wajinga humu, tutashutumiwa tunawatukana!, nasisitiza Watanzania kama hawako tayari kuwaingiza 'wajinga' kwenye ikulu yao!.
Kuliko kuingia ikulu na ujinga wao, bora wakae na ujinga wao huko huko, mpaka watakapo pata akili ndipo tuwakabidhi ikulu yetu!.
Pasco
Mkuu The Boss yaani nimekudharau kabisa unaposema eti Zitto anaweza weka mtu jimboni kwa Lissu eti akamshinda Lissu....dude what are u drinking?
Yaani kwa utashi wako unaona kuna mtu yeyote,narudia yeyote,anaeweza kuchukua jimbo la Lissu Tanzania ya leo hii??Stop smoking man!
Pointless.
Soma vizuri sijasema atamuweka mtu ashinde
nimesema kura za upinzani zinaweza kupungua jimbo likapotea
kurudi CCM.....
Mkuu The Boss, hii ni kitu inayoitwa busara za hali ya juu!, it is very unfortunately, Chadema haina watu wenye busara za level hii, wengi wao wanatawaliwa na chuki dhidi ya Zitto, hawataki kuchukua 'tahadhari yoyote kabla ya hatari', bali wako tayari kwa 'majuto ni mjukuu!'. Maadam umesema kuhusu wenye akili wanafanya nini na wajinga watafanya nini, sisi tukiwaita watu ni wajinga humu, tutashutumiwa tunawatukana!, nasisitiza Watanzania kama hawako tayari kuwaingiza 'wajinga' kwenye ikulu yao!.
Kuliko kuingia ikulu na ujinga wao, bora wakae na ujinga wao huko huko, mpaka watakapo pata akili ndipo tuwakabidhi ikulu yetu!.
Pasco
kwa ushawishi gani alionao zitto ambaye nchi nzima inafahamu kuhusu usaliti wake ? hii mikutano anayofanya haitofautianiSoma vizuri sijasema atamuweka mtu ashinde
nimesema kura za upinzani zinaweza kupungua jimbo likapotea
kurudi CCM.....