Skillionare
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 1,190
- 528
poor thread ever
Soma vizuri sijasema atamuweka mtu ashinde
nimesema kura za upinzani zinaweza kupungua jimbo likapotea
kurudi CCM.....
Hapo ndo utajua kuwa ACT iliratibiwa na CCM, maana
Wanajitahidi kutumia vijana wao kuanzisha mijadara. Kama Hii
Ili kupima upepo Kabla hawajaanza kumtuma Tena Yuda.
Nasema hivi, siku hata kama nikisikia tu tetesi
Ya Ukawa kutaka majadiriano na Yuda nachoma
Moto card yangu ya chama
Kufa kufaana? Kisa cha fisi na mkono wa binadamu...!6 Januari said:Waziri Steven Wassira amewaacha hoi Waandishi wa Habari baada ya kusisitiza tena kuwa CHADEMA itakufa Baada ya Pasaka! Mhe. Steven Wassira ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bunda huko Mara amesema hivyo leo asubuhi majira ya saa mbili asubuhi alipokuwa akihojiwa juu masuala kadha wa kadha ya Kitaifa. Pamoja na mambo mengine, Waziri Wassira ametetea kauli yake aliyoitoa mwaka jana kuhusu kifo cha CHADEMA kabla ya January 2014 mwaka jana na kudai kuna makosa yalijitokeza lakini akatamka "Safari hii Chadema haitafika Pasaka, subirini mtaona...".
Mkuu angalau wewe umeona kitu ambacho watu wa CHADEMA hawataki kuona
kama Zitto anawahitaji UKAWA now kuliko wao wanavyomuhitaji basi ndio wakati wa kuzungumza nae
kumpa masharti ya kushirikiana....wasisubiri ifike siku wao UKAWA wakawa wanamuhitaji Zitto
kilichopo hapa ni 'assumptions' tu kwamba Zitto atamalizika kisiasa....
what if hii assumptions ni very wrong?
what if akiweza kupata viti viwili vitatu na CHADEMA wakapoteza watu muhimu kama Lissu?
kutazama future kwa mahaba na vyama sio sahihi....
Mkuu kuna vitu unapaswa kuviweka maanani pia
Zitto kama binadamu ana makosa yake....na ni binadamu mwenye emotions pia
anaamini sana kuwa ana mchango mkubwa kwa 'kukua kwa CHADEMA'
na yeye anaamini CHADEMA 'wamemsaliti' kwa hiyo kuwa na hasira nao kibinaadamu ni very obvious
kuhusu kuungwa mkono na CCM.....Zitto anaweza kuamini kuwa 'anawatumia' CCM to his advantages
ndo maana nasema in politics hakuna 'black or white' kuna so many colors
Kwa kukumbusha tu...
Kufa kufaana? Kisa cha fisi na mkono wa binadamu...!
Mkuu utaona sijasema akaribishwe moja kwa moja UKAWA
nimesema tu CHADEMA waanze kuzungumza nae...labda anataka majimbo mawili tu au matatu
aachiwe na UKAWA au jimbo lake tu moja....na wao wana UKAWA in return wanaweza kumpa masharti
labda ACT wasisimamishe mgombea kwa Lissu na Mdee....na hapo labda ukawa 'mwanzo mpya'
Wanasema in Politics there are no permanent enemies nor permanent friends....
Umetumwa na zzk?kamwambie kuwa hatakiwi hata kuonekana kabisa msaliti huyoACT-Wazalendo imeundwa kwa misingi ya kuwa anti-Chadema. Sasa utawashirikishaje kwenye UKAWA ambapo Chadema ndicho chama kikuu? Kajipange upya.
Wanaojua historia ya OAU na Morocco na mgogoro wa Sahara Magharibi watakumbuka alichowaambia Nyerere viongozi wenzie wa OAU wakati ule.
Nchi ya Morocco ilikuwa inakataa kila maazimio ya OAU ikisisitiza Sahara Magharibi ni ardhi yake Viongozi wengi wakasema dawa ni kuifukuza Morocco OAU.
Nyerere alipinga na hoja kubwa ilikuwa ukishaifukuza Morocco then what? utawezaje kuidhibiti wakati
sio member wako tena?si unaipa uhuru wa kufanya lolote? nguvu ya kidhibiti Morocco ni only kama Morocco ni member wa OAU...otherwise akishakuwa sio member hatalazimika tena kuisikiliza OAU.Viongozi hawakusikia the rest is history..mgogoro haujaisha hadi leo..
Ni kama ile hadithi ya mtoto anaekojoa sebuleni halafu unamfukuza anaenda kusimama nje anakojoa mkojo akitokea nje kupitia dirishani unaingia sebuleni tena...hujafanya kitu labda uongee na huyo mtoto ujue analilia nini labda kuna pipi tu karibu akipewa its done...
Kuelekea Uchaguzi 2015 CHADEMA now ndio chama cha upinzani chenye nguvu kuna UKAWA ambapo CHADEMA ndio wenye nguvu zaidi na sauti zaidi...Sasa ingawa CHADEMA wanashikilia msimamo wao ambao ni very 'radical' wa kutoongea na Zitto na kuwaita
ACT 'wasaliti' ukweli ni kwamba njia rahisi ya kuidhibiti ACT ni kuongea nao na kujua hasa 'wanataka nini' na kuwapa masharti ya kujiunga na UKAWA na vinginevyo ACT wanaweza kabisa 'kukojoa kutokea dirishani' na the rest ikawa historia.
ACT ikiwa ndani ya UKAWA ..CHADEMA watakuwa na uhakika wa baadhi ya viti vya ubunge watu kama Tundu Lissu,Mbowe na Halima Mdee watapata 'nafuu' ya kupambana na CCM only kuikataa ACT ni kuwaruhusu ACT waweke wagombea wao wa ubunge kwa Lissu,Mdee,Mbowe na wote wengine
sio lazima hao wagombea washinde..lakini wanaweza kugawa kura...the rest will be history.
Najua wapo watu ndani ya CHADEMA wana obsession ya kummaliza Zitto....tatizo ni kwamba 'no one knows the future' .....watu wenye akili hukubali ku negotiate when they have power and are strong watu wajinga huenda ku negotiate wakiwa wameshashindwa au kujeruhiwa.
CHADEMA now they have power....wasisubiri kujeruhiwa.
Ni kama unasema hadi Zitto apate nguvu ya kuijeruhi na kuiumiza CHADEMA ndo wakae nae kujadili
kama CHADEMA wanaamini Zitto is out to destroy CHADEMA that is a more reason to negotiate with him..
Zitto sio stupid anauwezo wa ku reason....ACT haiwezi moja kwa moja kuwa as big as CHADEMA overnight
it will take time...now kwa sasa watafute 'suluhu' ili wapeane space badala ya kutumia nguvu kubwa kujeruhiana...
mkuu The Boss unataka zitto aijerui cdm mara ngapi ndio ulizike........hate him but he is no fool....akiamua kuijeruhi CHADEMA anaweza...