CHADEMA wazungumze na Zitto na ACT

CHADEMA wazungumze na Zitto na ACT

nyie mnaopiga kelele msaliti kaisha kisiasa yote ni mafikilio dhaniwa tu lkn kumbuken kuwa ukawa nzima ili sambaa mikoani kutuliaa upepo kila aliko pita kwa hofu ya watanzania kubadili upepo kina mbowe mnyika lipumba na wngne wote matako yaliota moto kwa masaa machache tu aliyokuwa akitumia zito kuongea na wananchi na tulio hudhulia mikutano yk tumeona zito anaushawishi mkubwa na watanzania hawaja poteza imami nae na mbaya zaidi wanapata hasira ya kuiazibu ukawa maana zito anafact hakuna kiongozi yeyote hukawa anaweza kumfikia jukwaani lbd mpk mjiunge zaidi ya wa tatu kila jukwaa nakitu kingine ata huo ukawa wnyw watu kama kina kafulila machali chadema iliwafukuza na kuwaita wasaliti na hatarishi leo wamo kwny kund moja nani dhaili watu kama hao zito aliwasapot walipo timuliwa had wakarud bungen ss mnadhan bom la hapo ni lip?

We unamwaga mapovu na data zenye ushabiki zisizo na ushahidi.
 
Enough with the mission to damage the party bullsh*t, we all read the alleged Mkumbo document. That was nothing but power struggle.It happens everywhere, from tiny organisations to Multi National Corporations. Mbowe and Team were scared dead of Zitto radical ideas and they thought they were better of without him. Now they know they were not quite right.

If they know they were not quite right, they would accept his team's proposal to join UKAWA. It is because of him that his party can't join UKAWA, it is because of him that the CDM party was in a brink of disintegration in favour of CCM. I think CDM are right in keeping the team's spirit than keeping the team splitters.
 
Mkuu The Boss . Ndio yaweza kuwa assumptions ila huwezi ukaacha chama kiende mrama kwa kumkaribisha zzk kwenye ukawa , wakati unafahamu kuwa Act wataweka nguvu zao kwenye majimbo muhimu ya Chadema. Huku wakijisahau ktk majimbo mengine ambayo cChadema (ukawa) watagombea na kuongeza idadi. Hivyo basi tuassume lissu amenguka then upande wa pili chadema wameongeza idadi ya wabunge je kuna ubaya wowote kwa lissu akawa mmoja kati ya wabunge wa kuteuliwa? Na akawa karejea bungeni kwa kutumia njia hii?
 
HOJA ANALETA The Boss ( Siku zote Anti Chadema) soma thread zake hapa chini

HOJA ZAKE ZINAKUWA SUPPORTED NA CCM NA VIBARAKA WAKE
Pasco (CCM inblood) Mahesabu (CCM) mtoto wa mjini (CCM) AlP0L0 (CCM Waberoya (ACT K.)mkuu MOTOCHINI(ACT) mkuu mbikagani (ACT mkuu) ID NYINGI Ritz (CCM & ACT)
Mkuu The Saver, tuna makundi matatu ya watu, Great Mind ambao wana discuss ideas , Ordinary Mind ambao wana discuss events na simple mind ambao hawa hu discuss people!.

jf was supposed to be the home to Great Thinkers, au ukumbi wa ma Great Mind, ambao ndio tunawaita ma GT!, miongoni ma ma GT wa ukweli humu jf ni pamoja na The Boss na Waberoya!.

Lakini kiukweli ma GT wa ukweli humu ndani ni wachache, wengi wetu ni watu wa kawaida tuu kama akina sisi, nikiwemo mimi Pasco wa jf. Hawa nawaita ni ma Ordinary Thinkers, OT, tuna discuss events, na tunauwezo wa kuwasoma ma GT na kuwaelewa!.

Lakini humu jf, licha ya kuwa na ma GT na sisi watu wa kawaida, pia tuna ma Simple Mind wengi tuu, mimi nawaida ma ST (Small Thinkers), hawa kazi yao ni ku discuss watu, wao wakiingia kwenye thread za ma great thinkers zenye kudiscuss ideas, hawana uwezo wa kuwaelewa ma GT, hawawezi kuchangia chochote kwenye subject iliyo mezani, wao kazi yao ni kumdisscuss mleta mada, au kuzungumza kuhusu watu, kama hivi unavyofanya wewe!.

Kuwa GT, OT na ST ni powers of the brain, ni mambo ya IQ, ikiwa ni ndogo, i just say sorry because I can't help you!.

Pole!.

Pasco
 
Tatizo la CDM hampendi ukweli! Na kila mwenye mawazo tofauti na Mbowe basi huyo ni CCM au Msaliti.

Wewe ni mfuasi wa CCM, ina maana we in mpinzani wa CDM, utakuwaje na mawazo sawa na Mbowe au CDM, wakati lengo lako ni kuvuruga CDM.
 
Wakuu . Tukumbuke kuwa wakati mwingine its principle. Tukumbuke mfano tu kipindi cha uhai wa kanumba , Ray alioneka kwenye chati ila ioikuwa ni kwa kivuli cha kanumba. ( kwa Ray kujipambanisha na Kanumba) chati yake ilipanda na kuonekana . Leo kanumba hayupo where is Ray? Hivyo kwa Zzk ataoneka kwa kuwa anajipambanisha na Cdm. Na hatokubali kuipoteza nafasi hii. Kwani ndio inayomsaidia kuonekana na kubaki kwenye chati. Fikiria iwapo Zzk asingekuwa na msimamo mkali dhidi ya Cdm umaarufu wake ungekuwa chini kiasi gani?
 
HOJA ANALETA The Boss ( Siku zote Anti Chadema) soma thread zake hapa chiniHOJA ZAKE ZINAKUWA SUPPORTED NA CCM NA VIBARAKA WAKE Pasco (CCM inblood) Mahesabu (CCM) mtoto wa mjini (CCM) AlP0L0 (CCM Waberoya (ACT K.)mkuu MOTOCHINI(ACT) mkuu mbikagani (ACT mkuu) ID NYINGI Ritz (CCM & ACT)
Hahaa ndugu unakwenda mbari lakini sisituna changia maoni, sidhani kama kuna thread itakayo anzishwa kuhusu chadema na mipango yake uache kui sapoti, mimi ni ACT kweli ila sipo kiugomvi tuelimishane maana wote tunatetea Tanzania yetu.
 
Last edited by a moderator:
Cue matusi, kejeli, na upuuzi mwengine mwiiingi kutoka kwa watu wasiojua kujadili hoja.

Umeongea la maana, tuliwaambia CHADEMA wasimfukuze Zitto toka akiwa bado CDM hawakusikia. Sasa ni Kiongozi Mkuu wa ACT with free roam to do what he wants and we have already seen what he can do with just a few meetings. Entire CHADEMA leadership had to get out of the office to cool down whenever he passed. Zitto is an unstoppable political force, that needed cooler heads to handle. It's one of those situation, where you would not want a certain figure to be on the opposing side.

Similar way to Liverpool not willing to sell Sterling to Arsenal. They would rather have him rundown his contract and let him walk free.

CHADEMA should have kept Zitto in CDM and tolerate his rebellious nature and even learn a few things from that.But they did not. 2015 Elections will tell a very different story.let's all wait and see how that plays out
Mkuu Kimweri, umeongea jambo la maana sana!. Siku zote tumewashauri Chadema, Zitto should have been contained than let loose kwa kanuni ya "keep your friends close but your enemies closer!"
Nisome hapa,
[h=3]Sasa ni Dhahiri: CHADEMA Walikosea Kumfukuza Zitto![/h]
Mkuu umeusema ukweli fulani mchungu sana kumeza kuhusu ZZK!. Ni mtu mpumbavu tuu ndie asiyeelewa uwezo wa ZZK katika kujenga hoja zenye maslahi kwa taifa!. Kiukweli Chadema wakubali wakatae, ZZK has an impact!.

Wewe haya unayoyasema leo, mimi niliyaona siku nyingi na nikatoa ushauri wa bure kabisa kwa Chadema kuwa hata kama ZZK kwao ni adui, they should have had to "keep your friends close, and your enemies closer!", nilisema humu ZZK should be contained in order to be checked!. Soma ushauri huu niliowapa!.
Ushauri wa Bure kwa CHADEMA: Heri Nusu Shari Kuliko ...

Kwa sasa it is not too late, kwenye siasa somemetimes unaweza kujikuta unalazimika kushirikiana na mtu ambaye mlikuwa hampatani against a comon enemy!. UKAWA have only one option, kuikaribisha ACT ndani ya UKAWA, vinginevyo ACT ikiachwa ikiendelea kwa mwendo huu, then hivi vitakuwa ni vita vya panzi, furaha kwa kunguru CCM!.
Pasco

Pasco

If they know they were not quite right, they would accept his team's proposal to join UKAWA. It is because of him that his party can't join UKAWA, it is because of him that the CDM party was in a brink of disintegration in favour of CCM. I think CDM are right in keeping the team's spirit than keeping the team splitters.

If CDM thinks it's doing alright why would it's leaders disperse to counter ZItto meetings upcountry? To me that is the smell of fear, not confidence.

I honestly do not see substance in UKAWA past the constitution movement. It's biggest agendas now is how to share constituents and who will run for presidency under UKAWA! Like seriously, that's not what Tanzanians needs right now. Another power grabbing group. They need committed leaders who would ease their problems.

This CHADEMA which is busy crushing ZITTO based on past problems is the same party that flatout deny any other political party involvement during Opposition Camp Fiasco for KUB. They called CUF as CCM B, called Kafulila Sisimizi, and Mbatia JK Puppet after JK appointed him MP.

Sometime i just smile at the naivety of some CDM supporters.You compare Mbatia and Zitto and you tell me with a straigt face, who is closer to JK/CCM? a guy who is responsible for bringing down the CCM government multiple times or a dude handed over Parliament Post by JK? Can Mbatia really come out with a straight face and attack Zitto being a CCM puppet?while he is in the parliament by mercy of CCM Chairman?

Again, CUF is practically running the government with CCM in Zanzibar, yet, CHADEMA decided to not see that and Accuse ACT a party that hardly has a political year under it's belt being close to CCM. Have they taken a look at Zanzibar government and notice who is the VP there?

What i see CHADEMA not committed to do, is admitting it had also done mistakes and that a fresh start is needed. This MSALITI nonsense continually makes me lose respect of CDM leaders who i believe should be better than that. Seriously Mnyika and Co, get over this childishness. If Mwalim Seif was wise enough to form a union government with his biggest adversaries for the best of everyone. CDM stubbornness only proves to me they lack leadership qualities one expects from a party looking to lead the nation.

Otherwise if CHADEMA insists in sticking to its useless revenge politics, its time someone remind them of what happened in the past with its collaborators as well. Kafulila, Marando, Mbatia and many others.., they were all labelled traitors and puppets of CCM by the very same CDM noise makers. So the only way i would respect them is if they showed some consistency, then may be i would know CHADEMA is a radicals party. But as of now it's turning into a confused hypocrisy party. One that changes its policy,affiliation and stands faster than a hooker changes customers in a busy night.
 
Suala kupiga magoti kwa MTU wa Kigoma hilo huwa halipo ndugu, sisi in wabishi by nature, so usitegemee Zitto kuja kupiga magoti kwa watu anaowafaham kuwa ni viongozi mabom tena wasiofaa. isitoshe yeye siyo wa kwanza kuhitirafiana na maviongoz mabovu ya chadema, wapo akina Kafulila, Mkosamali, Mozese Machali na hao wote walihama chadema lkn hawakupotea kisiasa kutokana na uwezo wao

Katika hao wote na hata Kaburu (ambaye hujamtaja) hakuna aliyewahi kuwa msaliti kwa chama. Ndio maana hata leo hii CHADEMA wako huru kuzungumza nao lakini sio Zitto mwenye sifa ya usaliti na usangoma, ndumila kuwili. Alianza na kuanzisha CHAUMA akanaswa, akatishia kuua watu na koo zao kichawi akashindwa. Kwa sasa yupo busy na magamba. Mwigulu anamtumia hovyohovyo kama zuzu mara kwenye ugaidi na sasa kumuandalia makao EL. Anajiita mjamaa, wanaompa pesa ni wale wanaojulikana TZ nzima kwa ufisadi. EL, Rost-tamu. Akaungane na wasaliti wenzake ADC.
 
Hahaa mkuu tuheshimiane mkuu
yule ni mtu mwingine tuna share avatar tu
nilitaka kuibdili but hii imezoeleka na nilianza kuitumia kabla yake
pole kwa mix up

Niliona mpaka mwandiko mnafanana nikashtuka..

Heshima kwako mkuu..
 
Hata Makaburu walizungumza na ANC licha ya kuwafunga na kuwaua
kuzungumza sio lazima mkubaliane...CHADEMA wanaweza kutoa 'masharti' ya kuikubali ACT ndani ya UKAWA
ikabaki kazi ya ACT kukubali au kukataa masharti

Kwa hiyo ACT wakijiunga UKAWA ndio UKAA wakae upya wapangue majimbo au? Mboa km ACT walishachelwa? Je mission yao ACT na Zitto unaijua?
 
Mtoa mada tumekuelewa sana ila viongoz Wa ukawa huwa hawafikirii Kwa kina wana maamuz ya kukurupuka
 
If CDM thinks it's doing alright why would it's leaders disperse to counter ZItto meetings upcountry? To me that is the smell of fear, not confidence.

I honestly do not see substance in UKAWA past the constitution movement. It's biggest agendas now is how to share constituents and who will run for presidency under UKAWA! Like seriously, that's not what Tanzanians needs right now. Another power grabbing group. They need committed leaders who would ease their problems.

This CHADEMA which is busy crushing ZITTO based on past problems is the same party that flatout deny any other political party involvement during Opposition Camp Fiasco for KUB. They called CUF as CCM B, called Kafulila Sisimizi, and Mbatia JK Puppet after JK appointed him MP.

Sometime i just smile at the naivety of some CDM supporters.You compare Mbatia and Zitto and you tell me with a straigt face, who is closer to JK/CCM? a guy who is responsible for bringing down the CCM government multiple times or a dude handed over Parliament Post by JK? Can Mbatia really come out with a straight face and attack Zitto being a CCM puppet?while he is in the parliament by mercy of CCM Chairman?

Again, CUF is practically running the government with CCM in Zanzibar, yet, CHADEMA decided to not see that and Accuse ACT a party that hardly has a political year under it's belt being close to CCM. Have they taken a look at Zanzibar government and notice who is the VP there?

What i see CHADEMA not committed to do, is admitting it had also done mistakes and that a fresh start is needed. This MSALITI nonsense continually makes me lose respect of CDM leaders who i believe should be better than that. Seriously Mnyika and Co, get over this childishness. If Mwalim Seif was wise enough to form a union government with his biggest adversaries for the best of everyone. CDM stubbornness only proves to me they lack leadership qualities one expects from a party looking to lead the nation.

Otherwise if CHADEMA insists in sticking to its useless revenge politics, its time someone remind them of what happened in the past with its collaborators as well. Kafulila, Marando, Mbatia and many others.., they were all labelled traitors and puppets of CCM by the very same CDM noise makers. So the only way i would respect them is if they showed some consistency, then may be i would know CHADEMA is a radicals party. But as of now it's turning into a confused hypocrisy party. One that changes its policy,affiliation and stands faster than a hooker changes customers in a busy night.

Ule waraka wa Mwigamba kwa Zito umewahi kuusoma?Una nini cha kusema kuhusu hilo? Zitto aondoke kwene chama chake juzi halafu leo tena hardly mwezi haujapita wajiunge naye? Hiyo ndiyo itakuwa inconsistency and hypocrisy of the highest order. Principles ni jambo la muhimu sana katika maisha Kimweri. Mmeshajua kwamba Zito anaweza kutorudi bungeni ndio maana mnatafutia namna.
 
Watz kwanini hatutaki kuelewa, ZZK si wakuongelea huyu, HAFAI!
 
Kuna mtu nafanya nae kazi yuko kwenye system ya CHADEMA huwa namwambia ukweli...ambao hauko mbali na huu...

Sawa Zito msaliti...je hatua mliyotumia na nyie si itawamaliza...anabaki ooohhh aaahhhh...

Ndio maana naamini hii timing ya mahakama iko calculated kuwatibua CHADEMA lakini na wao wakaingia kwenye mtego...

Unadhani CCM wanavyofunika kombe mwanaharamu apite ni kwa nini?...wanajua kutimuana kutawamaliza wenyewe...else wangeshamtimua EL long timea go...lakini wanajua ndio itakuwa kihama cha CCM
 
Mnazungumza kihisia au halafu mkidanganywa na viongozi wa CDM mnaamini
walimtuhumu kuwa alizungumza na Nimrod Mkono kumuachia jimbo for price
ukifuatilia zile tuhuma Zitto alikuwa ana report kwa mtu ndani ya CHADEMA
hakua na final say.....kote ambako CHADEMA hawakusimamisha wagombea Zitto hakua na final say
lakini in the end 'msaliti' ni Zitto but aliokuwa ana report kwao wenye final say sio wasaliti
bottomline maamuzi yote ya majimbo yapi CHADEMA waweke mgombea au la..Zitto hakua na final say..
kumuita msaliti kwa hilo ni kichekesho......kulikuwepo na mtu au watu wenye final say...je hawakupokea chochote?

Ati hisia? Mahaba niue ndo hayo sasa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom