CHADEMA wazungumze na Zitto na ACT

CHADEMA wazungumze na Zitto na ACT

Mkuu The Boss, ili kuweza kufanya kitu kinachomake sense, kwanza, ni hao wahusika wawe na uwezo 'ability' to see that sense!, ndipo then wafanye maamuzi yanayomake that sense!, hao wenye uwezo wa kuona hiyo sense huko Chadema wapo?!. I don't think!.

Pasco.

we mkuu unajifanya unajua sana then kibaya unadharau sana
 
Mkuu The Boss, hii ni kitu inayoitwa busara za hali ya juu!, it is very unfortunately, Chadema haina watu wenye busara za level hii, wengi wao wanatawaliwa na chuki dhidi ya Zitto, hawataki kuchukua 'tahadhari yoyote kabla ya hatari', bali wako tayari kwa 'majuto ni mjukuu!'. Maadam umesema kuhusu wenye akili wanafanya nini na wajinga watafanya nini, sisi tukiwaita watu ni wajinga humu, tutashutumiwa tunawatukana!, nasisitiza Watanzania kama hawako tayari kuwaingiza 'wajinga' kwenye ikulu yao!.

Kuliko kuingia ikulu na ujinga wao, bora wakae na ujinga wao huko huko, mpaka watakapo pata akili ndipo tuwakabidhi ikulu yetu!.

Pasco

Mtarudisha hivyo viposho vyenu mlivyochukua kwa zzk na ccm ili kumtafutia nafasi ndani ya ukawa ili akasambaratishe umoja huo.
 
Boss na wengine,

Mwenye Mbwa na Mbwa wakikufukuza na baadaye anamuachia Mbwa akufukuze huku yeye akija kwa nyuma, utafanya makosa makubwa mno kudhani unaweza kukaa na huyo Mbwa na mkaongea ili asikuume.

Ni rahisi sana kukaa na Mwenye Mbwa na kumwambia amkamate mbwa wake na kumfunga kamba/kumziba mdomo ili asikuume tena. Kwangu mimi, ni busara kukaa na CCM na kuwaambia wasichezeane rafu tena wakati wa uchaguzi.
Hii itakuwa na busara zaidi kuliko kukaa na ki-Maga Dog chao ingawa ni kweli hicho ki-Maga Dog ni kama Kishoka kidogo chenye uwezo wa kukata mti mkubwa. Ila sasa utakaaje na shoka kuiambia tujadiliane usinikate?

Pamoja na unyama wote wa CCM, ni heri ukae uongee nao, huyu Dog wao, anatisha si kawaida.

wendy-whippet-arnold-schwarzenegger-441x315.jpg
 
Mkuu angalau wewe umeona kitu ambacho watu wa CHADEMA hawataki kuona
kama Zitto anawahitaji UKAWA now kuliko wao wanavyomuhitaji basi ndio wakati wa kuzungumza nae
kumpa masharti ya kushirikiana....wasisubiri ifike siku wao UKAWA wakawa wanamuhitaji Zitto

kilichopo hapa ni 'assumptions' tu kwamba Zitto atamalizika kisiasa....
what if hii assumptions ni very wrong?
what if akiweza kupata viti viwili vitatu na CHADEMA wakapoteza watu muhimu kama Lissu?
kutazama future kwa mahaba na vyama sio sahihi....

mkuu unahaki ya kuwa mtabiri lakini utabiri mwingine ni kuleta mzaha...jenga hoja yako kwa kutolea mifano mingine....ni utani kusema lissu atapoteza jimbo eti kisa act
 
Soma vizuri sijasema atamuweka mtu ashinde
nimesema kura za upinzani zinaweza kupungua jimbo likapotea
kurudi CCM.....

mkuu usiendelee kujichanya toa mifano mingine.....kwa kipindi hiki utake usitake lissu hawezi poteza jimbo kizembe hivyo....hata ccm wanajua...ni rahisi kumng'oa mbowe hai kuliko lissu huko kwao singida
 
Mkuu The Boss yaani nimekudharau kabisa unaposema eti Zitto anaweza weka mtu jimboni kwa Lissu eti akamshinda Lissu....dude what are u drinking?

Yaani kwa utashi wako unaona kuna mtu yeyote,narudia yeyote,anaeweza kuchukua jimbo la Lissu Tanzania ya leo hii??Stop smoking man!

Mkuu, huyu jamaa nilikuwa namuheshimu sana humu jukwaani.. Ila tangia nimkute akibishana na watoto wa kike kwenye blog ya wanawake (ile ya Mange Kimambi) nimetokea kumdharau sana..
 
Wanaojua historia ya OAU na Morocco na mgogoro wa Sahara Magharibi watakumbuka alichowaambia Nyerere viongozi wenzie wa OAU wakati ule.

Nchi ya Morocco ilikuwa inakataa kila maazimio ya OAU ikisisitiza Sahara Magharibi ni ardhi yake Viongozi wengi wakasema dawa ni kuifukuza Morocco OAU.

Nyerere alipinga na hoja kubwa ilikuwa ukishaifukuza Morocco then what? utawezaje kuidhibiti wakati
sio member wako tena?si unaipa uhuru wa kufanya lolote? nguvu ya kidhibiti Morocco ni only kama Morocco ni member wa OAU...otherwise akishakuwa sio member hatalazimika tena kuisikiliza OAU.Viongozi hawakusikia the rest is history..mgogoro haujaisha hadi leo..

Ni kama ile hadithi ya mtoto anaekojoa sebuleni halafu unamfukuza anaenda kusimama nje anakojoa mkojo akitokea nje kupitia dirishani unaingia sebuleni tena...hujafanya kitu labda uongee na huyo mtoto ujue analilia nini labda kuna pipi tu karibu akipewa its done...

Kuelekea Uchaguzi 2015 CHADEMA now ndio chama cha upinzani chenye nguvu kuna UKAWA ambapo CHADEMA ndio wenye nguvu zaidi na sauti zaidi...Sasa ingawa CHADEMA wanashikilia msimamo wao ambao ni very 'radical' wa kutoongea na Zitto na kuwaita
ACT 'wasaliti' ukweli ni kwamba njia rahisi ya kuidhibiti ACT ni kuongea nao na kujua hasa 'wanataka nini' na kuwapa masharti ya kujiunga na UKAWA na vinginevyo ACT wanaweza kabisa 'kukojoa kutokea dirishani' na the rest ikawa historia.

ACT ikiwa ndani ya UKAWA ..CHADEMA watakuwa na uhakika wa baadhi ya viti vya ubunge watu kama Tundu Lissu,Mbowe na Halima Mdee watapata 'nafuu' ya kupambana na CCM only kuikataa ACT ni kuwaruhusu ACT waweke wagombea wao wa ubunge kwa Lissu,Mdee,Mbowe na wote wengine

sio lazima hao wagombea washinde..lakini wanaweza kugawa kura...the rest will be history.

Najua wapo watu ndani ya CHADEMA wana obsession ya kummaliza Zitto....tatizo ni kwamba 'no one knows the future' .....watu wenye akili hukubali ku negotiate when they have power and are strong watu wajinga huenda ku negotiate wakiwa wameshashindwa au kujeruhiwa.

CHADEMA now they have power....wasisubiri kujeruhiwa.

Cue matusi, kejeli, na upuuzi mwengine mwiiingi kutoka kwa watu wasiojua kujadili hoja.

Umeongea la maana, tuliwaambia CHADEMA wasimfukuze Zitto toka akiwa bado CDM hawakusikia. Sasa ni Kiongozi Mkuu wa ACT with free roam to do what he wants and we have already seen what he can do with just a few meetings. Entire CHADEMA leadership had to get out of the office to cool down whenever he passed. Zitto is an unstoppable political force, that needed cooler heads to handle. It's one of those situation, where you would not want a certain figure to be on the opposing side.

Similar way to Liverpool not willing to sell Sterling to Arsenal. They would rather have him rundown his contract and let him walk free.

CHADEMA should have kept Zitto in CDM and tolerate his rebellious nature and even learn a few things from that.But they did not. 2015 Elections will tell a very different story.let's all wait and see how that plays out
 
It is too early for these two parties to discuss anything... hao unaorefer wewe walijifunza kuhusu mwenzake, they learn through "generations" of lessons learnt and had different context...

In the modern political situation ya hapa nyumbani, na hasa "corrupt political environment" spiced up by super hypocritical culture and unfair platform ya kisiasa tuache zitto ajifunze kwamba kuna vitu hutakiwi kufanya kama kufungua chama ndani ya chama, na wacha chadema wajifunze pia kwamba wana system iliyo kua centered to people and not principles

In a short run tutapata rainbows kama za kenya, and surely utaona Zitto anajoin CCM

Sera zake na appraoch zake zimekaa kiCCM kuliko upinzani
 
Cue matusi, kejeli, na upuuzi mwengine mwiiingi kutoka kwa watu wasiojua kujadili hoja.

Umeongea la maana, tuliwaambia CHADEMA wasimfukuze Zitto toka akiwa bado CDM hawakusikia. Sasa ni Kiongozi Mkuu wa ACT with free roam to do what he wants and we have already seen what he can do with just a few meetings. Entire CHADEMA leadership had to get out of the office to cool down whenever he passed. Zitto is an unstoppable political force, that needed cooler heads to handle. It's one of those situation, where you would not want a certain figure to be on the opposing side.

Similar way to Liverpool not willing to sell Sterling to Arsenal. They would rather have him rundown his contract and let him walk free.

CHADEMA should have kept Zitto in CDM and tolerate his rebellious nature and even learn a few things from that.But they did not. 2015 Elections will tell a very different story.let's all wait and see how that plays out

wewe na nani??

Utaacha mke wako aandae ndoa na mume mwingine akiwa nyumbani kwako??
 
ZZK ana jeuri, labda aje CHADEMA apige magoti aombe msamaha, lakini pia katika dakika hizi za lala salama CHADEMA hawawezi kushirikiana nae. Tofauti na mnavyofikiri wanachama na wafuasi wengi wa CDM hawamuhitaji, yeye kashaanzisha safari yake kwa dharau kibao kwa CDM. Pengine ZZK ana influence lakini Jeshi la mtu mmoja haliwezi kuangusha Jeshi la Kubwa kama CDM. ZZK ana chuki binafsi na Mbowe, hawawezi kuwa sehem moja kwa sasa labda baadae sana. Tumia 'common sense' usitumie 'wisdow without intelligence'

Suala kupiga magoti kwa MTU wa Kigoma hilo huwa halipo ndugu, sisi in wabishi by nature, so usitegemee Zitto kuja kupiga magoti kwa watu anaowafaham kuwa ni viongozi mabom tena wasiofaa. isitoshe yeye siyo wa kwanza kuhitirafiana na maviongoz mabovu ya chadema, wapo akina Kafulila, Mkosamali, Mozese Machali na hao wote walihama chadema lkn hawakupotea kisiasa kutokana na uwezo wao
 
nyie mnaopiga kelele msaliti kaisha kisiasa yote ni mafikilio dhaniwa tu lkn kumbuken kuwa ukawa nzima ili sambaa mikoani kutuliaa upepo kila aliko pita kwa hofu ya watanzania kubadili upepo kina mbowe mnyika lipumba na wngne wote matako yaliota moto kwa masaa machache tu aliyokuwa akitumia zito kuongea na wananchi na tulio hudhulia mikutano yk tumeona zito anaushawishi mkubwa na watanzania hawaja poteza imami nae na mbaya zaidi wanapata hasira ya kuiazibu ukawa maana zito anafact hakuna kiongozi yeyote hukawa anaweza kumfikia jukwaani lbd mpk mjiunge zaidi ya wa tatu kila jukwaa nakitu kingine ata huo ukawa wnyw watu kama kina kafulila machali chadema iliwafukuza na kuwaita wasaliti na hatarishi leo wamo kwny kund moja nani dhaili watu kama hao zito aliwasapot walipo timuliwa had wakarud bungen ss mnadhan bom la hapo ni lip?
 
Unachokishauri sasa ni sawa na kukunja ngumi wakati ugomvi umeisha. CHADEMA ilishafanya majaribio kadhaa ya kuzungumza na huyo jamaa, badobjamaa akawa haaambiliki , ikafikia hatua wakaatumia busara zaidi kwa kuliondoa duala lake nje vikao na kumkabidhi kwa Orif. Baregu na mama wa huyo jamaa, busara hii nayo ikashindwa.
Sasa unaposhauri sijui unashauri CHADEMA ifanye kipi kingine ambacho haijafanya!!

ebu waambie mkuu,watu kwa kujitoa ufahamu hawajambo
 
Mkuu The Boss, hii ni kitu inayoitwa busara za hali ya juu!, it is very unfortunately, Chadema haina watu wenye busara za level hii, wengi wao wanatawaliwa na chuki dhidi ya Zitto, hawataki kuchukua 'tahadhari yoyote kabla ya hatari', bali wako tayari kwa 'majuto ni mjukuu!'. Maadam umesema kuhusu wenye akili wanafanya nini na wajinga watafanya nini, sisi tukiwaita watu ni wajinga humu, tutashutumiwa tunawatukana!, nasisitiza Watanzania kama hawako tayari kuwaingiza 'wajinga' kwenye ikulu yao!.

Kuliko kuingia ikulu na ujinga wao, bora wakae na ujinga wao huko huko, mpaka watakapo pata akili ndipo tuwakabidhi ikulu yetu!.

Pasco

Sawa bora tusiingie ikulu milele kuliko kukaa na msaliti na kuzungumza naye..never
 
MOTOCHINI &@The Boss mkae mkijua MaCCM wameninginiza kaloti ZZK na ACT yake ili UKAWA waimeze kujimaliza!!Walijaribu tokea ndani ZZK akatemwa, wametegeshea kwa njeUKAWA msijaribu sumu inauwa, Zito ni sumu kazi kwisha!!
Ndugu hiyo dhana ya kufikiria kwa sasa haina nafasi, hapa tunaangalia wafuasi kwa hio wafuasi lazima waichague ukawa kwakuwa itakuwa mjumuiko na ACT
 
Last edited by a moderator:
Mkuu The Boss, hii ni kitu inayoitwa busara za hali ya juu!, it is very unfortunately, Chadema haina watu wenye busara za level hii, wengi wao wanatawaliwa na chuki dhidi ya Zitto, hawataki kuchukua 'tahadhari yoyote kabla ya hatari', bali wako tayari kwa 'majuto ni mjukuu!'. Maadam umesema kuhusu wenye akili wanafanya nini na wajinga watafanya nini, sisi tukiwaita watu ni wajinga humu, tutashutumiwa tunawatukana!, nasisitiza Watanzania kama hawako tayari kuwaingiza 'wajinga' kwenye ikulu yao!.

Kuliko kuingia ikulu na ujinga wao, bora wakae na ujinga wao huko huko, mpaka watakapo pata akili ndipo tuwakabidhi ikulu yetu!.

Pasco

PASCO ebu jiweke kwenye nafasi ya juu kabisa kama kiongozi wa kitaifa wa chama cha siasa kama CDM...
Je; yote maovu aliyofanya Zitto akiwa CDM pamoja na washirika wake wewe ungechukua uamuzi gani...??

Nchi nyingine kama Russia, China, Kenya, Uganda, n.k ukijaribu kufanya ujinga alioufanya Zitto mara moja unapotezwa kwenye ramani ya dunia..!!

By the way; soma signature yangu hapa chini...
 
Unaongeaje na Zitto mtu aliyekitelekeza chama wakati wenzake wakizunguka mikoa na mikoa kukiimarisha chama?.

Unaongeaje na Zitto mtu aliyeanza kukihujum chama kipindi nyeti kabisa, ambacho chama kilitakiwa kutulia na kufanya maandalizi namna ya kuitoa CCM madarakani?.

Pamoja na kwamba Ztto alijua kuwa chama kinatakiwa kutulia na kujipanga vizuri kuing'oa CCM madarakani, lakini yeye aliona ndio wakati muafaka wakukisambaratisha chama badala kukisaidia.

Kuongea na Zitto akiwa kwenye chama chake ama kumrudisha CHADEMA ni sawa na kumpa nafasi ya kujitafakari upya na kurekebisha makosa yaliyomfanya akashindwa kuisambaratisha CHADEMA.

Kitakachofuata baada ya Zitto kujipanga upya baada ya kusahihisha makosa, kama alitumia mzinga wa kawaida ulioshindwa kuisambaratisha CHADEMA,safari hii atatumia kombola la nyukilia na hakuna kitakacho salia.
 
Mbowe sio kila kitu CDM, sio Kiongozi wa Chama mwenye mamlaka kama Zitto. Lakini pia CDM ilikuwa na wenyeviti kabla ya Mbowe, kwa sababu ilianza zamani. Kelele zote za Zitto ni baada ya kutochaguliwa kuwa Mwwnyekiti wa CDM, anapenda madaraka huyo jamaa. Watu wangapi wapo CDM vichwa lakini hawajaenda kuanzisha vyama vyao, ingekuwa hivyo tungekuwa na vyama vya siasa kama MIA. Kiukweli inaonekana hujasikia Afande Sele anavyoongelea CDM kwenye mikutano ya ACT
Sasa kumbe umeona mwenyewe nshu ni uenyekiti, sasa je uenyekiti tatizo? haya kashaondoka cdm kwanin muendeleze chuki? mnataka haki kwann katibayenu haitambui mahakama inamaana cdm inaongozwa na miungumtu ambao hawatakuja kukosea?
 
Back
Top Bottom