Yegoo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2012
- 1,424
- 503
Mtapiga sana ramli mwaka huu. Ila jueni tu Lissu ni mpango wa Mungu hamumuwezi na hamtomuweza kamwe.
[/QUOTE
Mi Kweli Lissu NI Mpago WA MZUNGU, Kama NI Mungu angempa Urais Asubuhi tu
Mtapiga sana ramli mwaka huu. Ila jueni tu Lissu ni mpango wa Mungu hamumuwezi na hamtomuweza kamwe.
[/QUOTE
Mi Kweli Lissu NI Mpago WA MZUNGU, Kama NI Mungu angempa Urais Asubuhi tu
MATAGA mmehamaki baada ya mchezo wenu kuvurugika 🤣🤣🤣
wewe na nani mnaamini huo ugoro?Hivi CCM wamevurugika au NYUMBU wamevurugika.
Wacha tuone hiyo tarehe.
Ila tunaamini Mnyika hana nguvu dhidi ya HALIMA.
Hapo jua mdee yupo upande wa pili ndo maana waupande huo alikoelekea wanaona yuposahihi vinginevyo wangaliendelea kumtukanaLeo Mdee amekua mheshimiwa, siku chache nyuma mlimtukana matusi yote.
Tanabaisha kumuweza kivip?Mtapiga sana ramli mwaka huu. Ila jueni tu Lissu ni mpango wa Mungu hamumuwezi na hamtomuweza kamwe.
Uamuzi wa hekima ni kuwaruhusu akina Halima Mdee kuendelea na Ubunge! Mnyika amejaribu sana kuwa defensive dhidi ya Mbowe ila tu anajaribu kum- tantalize Tundu Lissu.
Hata hivyo Tundu Lissu siyo mwanasiasa makini bali ni mwanaharakati mropokaji tu! Huwezi kuwa unatoa matamko yako binafsi then unataka yawe ndo msimamo wa CHADEMA.
Gharama ya kuwapoteza Tundu Lissu na Mnyika (ajiuzulu) ni ndogo kuliko kuwavua Wanawake hao 19 uanachama na hatimaye kuwataka wapoteze Ubunge wao ambao wamepata kwa mujibu wa sheria za JMT na si hisani.
CHADEMA mkijifanya ujuaji na ulimbukeni wa kuendeshwa na mihemuko ya social media warriors kama akina Kigogo 2014 tambueni imekula kwenu!
Vumbi la mgogoro wenu utatulia 2025 imefika na hamtapata hata Madiwani 10 Nchi nzima achilia Ubunge mtakaousikilizia Redioni tu.
Time is the best Judge let's wait and see!
FK
Namuona Mnyika akikaa pembeni. There is no way atabaki kama ikionekana hao "wabunge" 19 wamepewa baraka ndani ya chama chake huku yeye akizungukwa na kubaki na forms number 8D za NEC mkononi. Mbaya zaidi hiyo kesho ikatokea Mwenyekiti alikua aware na hili picha. Let's stay tuned to see what is gonna happen.Uko sahihi, Kama umemsikiliza vizuri Mnyika alikuwa anaongea na sauti ya kutetemeka hasa akiongelea vitu sensitive maana yake yawezekana yupo against Mbowe.
Kwa elimu ya Mdee na level yake chamani lazima awe na backup fulani kuongoza wamama 19 kuapa. Kihistoria Mnyika hana ubavu wa kumfanya lolote Mdee ndani ya CHADEMA nahisi kuna bomu kubwa linaenda kulipuka ijumaa kuigawa CHADEMA vipande vipande. Muda utaongea.
Nimecheka hadi nimepaliwa. Lissu ni mpango wa nani????????Mtapiga sana ramli mwaka huu. Ila jueni tu Lissu ni mpango wa Mungu hamumuwezi na hamtomuweza kamwe.
Ndivyo alivyokuambia wakati anakutoa minyoo?Ni kweli wengi walimfuata Lissu tu mbowe kauza wabunge wa kike kitumwa Bungeni ili asikose ruzuku sasa kichwa kinamuuma jinsi ya kuwahadaa wanachadema asijulikane kachukua bilion 3 toka CCM peke yake
Kampe wewe unasubiri kitu gani au mpaka yawepo majeshi ya kukodi ya Burundi?Mdee apewe tuzo ya heshima kwa kuwapigania vema wanawake.
Lisu keshamaliza kona,hana jipya tena.
Kuliko ilivyo CCM iliyookolewa na majeshi ya Burundi yaliyokodishwa na kuuwa watu??Chadema ipo ICU na njia pekee ya kuiokoa chadema isifariki ni kuwafukuza wabunge wa kike waliouzwa kitumwa kienyeji kwa Ndungai
Halima the great.Kampe wewe unasubiri kitu gani au mpaka yawepo majeshi ya kukodi ya Burundi?
Huo ushauri wenu peleken TLPTunajaribu kuwapa ushauri makini kwani CHADEMA imejaa watu wenye negative minds.Ni watu ambao hawaangalii mbali kupita pua zao.
Mpango wa Mungu ulidhihaki kumtanguliza MUNGU kwa maombi kipindi Cha Corona, huyo mungu ni Siri yako na TAL
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na MATAGA wewe... Mbowe si wa kumuamini. Huyu pesa kwanza. Upinzani baadae. Kesho watu watakua dissapointed sana. Wanasema yuko Nai sijui kweliKwanza hakuna mtu anayeweza kumvua uanachama wa CHADEMA Mdee kwa sababu ana mizizi ndani ya chama kama alivyo Freeman Mbowe, Lucy Owenya na Grace Kihwelu.
Pili, Mnyika anajaribu kufahamu kinachoendelea lakini hakijui na siku ya Ijumaa ndio atakijua na huenda akajiuzulu.
Mzee Lowassa aliondoka CHADEMA lakini mzimu wake bado unaitafuna na hasa ule uwekezaji wake katika saikolojia ya wanachama wa CHADEMA.
Kiufupi, harakati za Tundu Lissu na amri zake haziendani na utamaduni wa CHADEMA na mabwanyenye wa Ufipa st hawazifurahii kwahiyo lazima waachane naye kisayansi.
Halima Mdee na wenzake wataruhusiwa na kamati kuu kuendelea na Ubunge na ambaye hatafurahishwa ataruhusiwa ama kujiuzulu nafasi za uongozi au kujivua uanachama.
Mungu wabariki wabunge wa CHADEMA.
Maendeleo hayana vyama!
I like HIMHalima the great.
#Ni yeye Halima Mdee the iron lady"binti commando"
I love her,am so lovely Halima"mwaaa"I like HIM
View attachment 1635488
Ndani ya miaka mitano kuwapoteza makatibu wakuu watatu sio Jambo la kufurahiaUko sahihi, Kama umemsikiliza vizuri Mnyika alikuwa anaongea na sauti ya kutetemeka hasa akiongelea vitu sensitive maana yake yawezekana yupo against Mbowe.
Kwa elimu ya Mdee na level yake chamani lazima awe na backup fulani kuongoza wamama 19 kuapa. Kihistoria Mnyika hana ubavu wa kumfanya lolote Mdee ndani ya CHADEMA nahisi kuna bomu kubwa linaenda kulipuka ijumaa kuigawa CHADEMA vipande vipande. Muda utaongea.
Lissu na Mnyika wanasepa na wanachama Sasa sijui CDM itabaki na Nini au ndio mambo ya CUFUamuzi wa hekima ni kuwaruhusu akina Halima Mdee kuendelea na Ubunge! Mnyika amejaribu sana kuwa defensive dhidi ya Mbowe ila tu anajaribu kum- tantalize Tundu Lissu.
Hata hivyo Tundu Lissu siyo mwanasiasa makini bali ni mwanaharakati mropokaji tu! Huwezi kuwa unatoa matamko yako binafsi then unataka yawe ndo msimamo wa CHADEMA.
Gharama ya kuwapoteza Tundu Lissu na Mnyika (ajiuzulu) ni ndogo kuliko kuwavua Wanawake hao 19 uanachama na hatimaye kuwataka wapoteze Ubunge wao ambao wamepata kwa mujibu wa sheria za JMT na si hisani.
CHADEMA mkijifanya ujuaji na ulimbukeni wa kuendeshwa na mihemuko ya social media warriors kama akina Kigogo 2014 tambueni imekula kwenu!
Vumbi la mgogoro wenu utatulia 2025 imefika na hamtapata hata Madiwani 10 Nchi nzima achilia Ubunge mtakaousikilizia Redioni tu.
Time is the best Judge let's wait and see!
FK
Halima the great.
#Ni yeye Halima Mdee the iron lady"binti commando"