CHADEMA wanajenga mnara Babeli,hawatafika mbali - SEHEMU YA KWANZA

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
5,913
Reaction score
1,217
habari zenu wana jamii forum,MODS,naomba uzi huu usiunganiswe sababu ni mwendelezo.

Kuibuliwa kwa vidio inayo muonesha kiongozi wa ulinzi na usalama wa chama cha demokrsia na maendekeo bw, W,RWAKATALE imeonesha kuwa chadema hawaheshimiani kiuongozi kutoka juu kwanda chini kimuundo kila mtu ni msemaji wa chama tena kwa matamko yanayotofautiana na vikao vya kamati zinazo undwa ndani ya chama,
chadema wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa baberi miaka mingi kabla ya kristo.

wakristo wanafahamu zaidi kuhusu habari za mji wa baberi na wajenzi wake,habari hii hupatikana ktk biblia kwenye agano la kale mwanzo 11'4 na kuendelea,wajenzi wa baberi walijiamini sana kuwa wako zaidi ya watu wote na kufikia batua kudhani wanalingana na MUNGU,

wajanzi hao nawafananisha naviongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema,kwani wajenzi wale baada ya kujiona wanaendelea vizuri walikufuru na Mungua aliamua kila mmoja kuzungumza lugha yake,nimefikiria hivi baada ya viongozi wa chadema kila mmoja akitolea tamko suala la ugaidi linalowakabili na kuonekana wameshindwa kujinasua, nifafanua:

Dr,w.peter slaa. alikuwa wa kwanza kutoa tamko akiwa ameongozana na viongozi wa makao makuu ya cdm,akatolea tamko nakubainisha kuwa vidio ile siyo harisi na kijana LUDOVICK JOSEPH RWEZAULA anayeshikiliwa pamoja na rwakatale siyo wa chadema jambo lililotoa hisia kali kwa wanamfahamu kuwa anafanya kazi makao makuu na nimmoja ya waasisi wa tawi la cdm pale duse,rejea ufafanuzi wa mwampamba,slaa akabainisha kuwa wao wanausalama wao uliomakini zaidi ya ule wa taifa na hawaogopi chochote

Tundu m lissu, akitofautiana na boss wake slaa Lissu alikubali kuwa vidio ile ni kweli huku akisema watapambana mahakamani na kukili kuwa ludo ni mwana chadema,Lisu aliwataka wanachadema wawe watulivu kuwa watajitahidi kumnasua rwakatale huku akisisitiza kuwa wakomakini ,huku akishindwa kusema lolote kuhusu LUDO ambaye ni mtuhumiwa numberi mbili.

Tumain makene ,
afisa habari wa cdm kama anavyo jitambulisha na yeye, hakuwa kando kwa hili,alitoa taarifa humu ndani kuwa chama kimepanga kumtetea rwakatale hadi mwisho na kuwaomba wanacdm kuwaunga mkono na kuheshimu maazimio ya kamati huku akimtaja lisu kuwa msemaji wa suala hili na kukanusha kile ambacho zzk kutaka kifanyike kupita barua yake kwa slaa iliyovuja na kutufikia humu jf.

Zitto Zuber Kabwe. naibu katibu mkuu cdm ,baada ya kuombwa na wana jf muda mfupi tangu barua yake kwenda kwa slaa kuvuja ,alikuja na kusema ni kweli wazo lake ni kuwa cdm iunde kamati kuchunguza mchango rwakatale ktk hii kadhia na kuonesha kuwa yuko tofauti na maagizo ya kamati kuu ambayo yeye ni mjumbe naalipaswa kulipeleka suala hili kwenye kamati,zitto lidai kuwa ndani ya cdm kuna kirusi ambacho lazima kiondolewe ilichama kibaki salama bila kukitaja hicho kirusi

Freeman A Mbowe, m/kiti wa chama akichagia mchango wake bungeni naye hakukaa kimya wala kuheshimu mamlaka za chini zilizowekwa kwa sheria za cdm na wala kuheshimu kanuni za bunge zinazo kataza kuzungumza jambo,lililopo mahakamani akasema namnukuu''kama mtu anawasiliana na gaidi na yeye ni gaidi akamatwe'' huku akiasahau kuwa na yeye aliwahi kuwasiliana na rwakatare ambaye ni mtuhumiwa namber moja wa ugaidi.
Maneno ya mbowe yalizusha sinto fahamu hasa kesho yake alipojibiwa na mwigulu

Mabere Nyaucho marando ,kada wa cdm,wakili,mfanya kazi wa tiss''huwa hakuna kuacha labda kifo''yeye amekwenda mbali zaidi na kutoa tamko la chama jpili iliyopita huku dunia ikijua kuwa msemaji wa kesi ni lissu,msemaji huyu akawataja wanzake wa tiss kuwa wanahujumu cdm hasa Jack zoka kiongozi wake kuwa anawatumia baadhi ya wana cdm kuhujumu chama na kusahau yake eliyoyafanya akiwa nccr Maguzi na kuihujumu kabla hayaja mtokea puani na kukimbia

MASWALI YA KUJADILI'

1.Kwa nini ofisi ya msemaji wa chama haiheshimiwi?
a,mnyika yupo busy sana?
b.tumaini makene hana sauti kama mnyika hayupo?.
2.kwa nini zitto amundikie baru dk slaa,wakati?
a,wako ofisi moja?
b,walikuwa wote kenye kikao?
c,zitto husema mara kwa mara kuwa hakuna tatizo kati yao?
3.jambo hili hawa kukubaliana kwa kauli moja kikaoni ?
kuhusu nini kifanyike?
4.kama wanavurugana mapema hivi tukiwapa nchi ,itakuwaje?
5.kama zitto na slaa bado wanamatizo kwa nini wasikae pamoja wakamaliza?
6.je ni kweli zitto hajui hicho kirusi ni kipi?
7.chadema wanamuamini vipi marando kutokana na historia yaketujadili pamoja.?
8.kwa nini mbowe alipewa cheo cha kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani huku akiwa hana uzoefu na utata wa elimu yake?
9.nani awafunde viongozi wa chadema?
10.je suala hili ni kete ya mwisho ya kuiua chadema?
TUJADILI......
 
M23 Karibu kwenye mkutano mkubwa wa CHADEMA hapa viwanja vya shule ya mbugani.watakuwepo wabunge wazalendo.
nb. CHADEMA ndio habari ya mujini!
 
Ni moja ya extremely poor analysis. Hivi hicho kitengo cha propaganda cha magamba hawana watu wenye upeo zaidi ya huu mpaka wakutumie wewe mnywa gongo!
 
Kuna wapumbavu ambao hawapati amani bila kuitaja CDM hawapati posho.Ni aibu mtoto wa kiume kuwekwa mjini kwa posho ya elfu 5 kwa siku huku ukiwa na degree ya Ualimu.
 
DEO,
KANGI LUGOLA,
ESTER BULAYA,
MPINA.
Hao ndio wabunge pekee wa ccm wenye uzalendo na wanaojua majukumu yao!!
 
CCM ndio nilwafananisha na wale waliokuwa wajenzi wa mnara wa babeli hapa jamvini siku nyingi tu na kila leo mnathibitisha kuwa sikukosea kuwfananishas na wajenzi wa mnara wa babeli.
 
Kumbe ndiyo sababu yenu ya ku'fabriate hii scam ili muiite MNARA WA BABELI?
CDM itacut accross na kuwatimulia vumbi.

"Fakyuu"...By Peter Serukamba-Kigoma mjini(MP-Ccm)
 
Mbona hukuleta hili kipindi CCM nayo inaongea lugha za kipekee kuhusu stakabali mbali mbali???
 
pumba tu.mnajitutumua kuiponda cdm mmepangiana hadi zamu lakini wap.chezea chama cha mungu.
 
Nikajua leo hujaingia zamu kumbe toka asbuhi ulikua unaandaa ushuzi wako huu,. Haya kachukue buku7 chap
 
Chadema ni shaghala baghala. Ndio maana imedhihirika kuwa hawana uwezo wa kuongoza dola.
 
m23 Karibu kwenye mkutano mkubwa wa chadema hapa viwanja vya shule ya mbugani.watakuwepo wabunge wazalendo.
nb.chadema ndio habari ya mujini!

waiten wanyama.hakuna wakujitolema mhanga hapo
 
Dr Slaa mara ya kwanza alisema video ya Lwakatare ni feki mara ya pili akasema hiyo video ni ya ukweli lakini imetengenezwa na Usalama wa Taifa.

Lissu yeye mapema tu amekiri ni video ya ukweli.

Marando naye akaja na tamko lake likimuhusisha Zitto kuwa namba yake ya simu inauhusika Zitto kaikana hiyo namba.

Ngoja tuone hii picha ya mnara wa Babeli.
 
habari zenu wana jamii forum,MODS,naomba uzi huu usiunganiswe sababu ni mwendelezo.

Kuibuliwa kwa vidio inayo muonesha kiongozi wa ulinzi na usalama wa chama cha demokrsia na maendekeo bw, W,RWAKATALE imeonesha kuwa chadema hawaheshimiani kiuongozi kutoka juu kwanda chini kimuundo kila mtu ni msemaji wa chama tena kwa matamko yanayotofautiana na vikao vya kamati zinazo undwa ndani ya chama,
chadema wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa baberi miaka mingi kabla ya kristo.

wakristo wanafahamu zaidi kuhusu habari za mji wa baberi na wajenzi wake,habari hii hupatikana ktk biblia kwenye agano la kale mwanzo 11'4 na kuendelea,wajenzi wa baberi walijiamini sana kuwa wako zaidi ya watu wote na kufikia batua kudhani wanalingana na MUNGU,

wajanzi hao nawafananisha naviongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema,kwani wajenzi wale baada ya kujiona wanaendelea vizuri walikufuru na Mungua aliamua kila mmoja kuzungumza lugha yake,nimefikiria hivi baada ya viongozi wa chadema kila mmoja akitolea tamko suala la ugaidi linalowakabili na kuonekana wameshindwa kujinasua, nifafanua:

Dr,w.peter slaa. alikuwa wa kwanza kutoa tamko akiwa ameongozana na viongozi wa makao makuu ya cdm,akatolea tamko nakubainisha kuwa vidio ile siyo harisi na kijana LUDOVICK JOSEPH RWEZAULA anayeshikiliwa pamoja na rwakatale siyo wa chadema jambo lililotoa hisia kali kwa wanamfahamu kuwa anafanya kazi makao makuu na nimmoja ya waasisi wa tawi la cdm pale duse,rejea ufafanuzi wa mwampamba,slaa akabainisha kuwa wao wanausalama wao uliomakini zaidi ya ule wa taifa na hawaogopi chochote

Tundu m lissu, akitofautiana na boss wake slaa Lissu alikubali kuwa vidio ile ni kweli huku akisema watapambana mahakamani na kukili kuwa ludo ni mwana chadema,Lisu aliwataka wanachadema wawe watulivu kuwa watajitahidi kumnasua rwakatale huku akisisitiza kuwa wakomakini ,huku akishindwa kusema lolote kuhusu LUDO ambaye ni mtuhumiwa numberi mbili.

Tumain makene ,
afisa habari wa cdm kama anavyo jitambulisha na yeye, hakuwa kando kwa hili,alitoa taarifa humu ndani kuwa chama kimepanga kumtetea rwakatale hadi mwisho na kuwaomba wanacdm kuwaunga mkono na kuheshimu maazimio ya kamati huku akimtaja lisu kuwa msemaji wa suala hili na kukanusha kile ambacho zzk kutaka kifanyike kupita barua yake kwa slaa iliyovuja na kutufikia humu jf.

Zitto Zuber Kabwe. naibu katibu mkuu cdm ,baada ya kuombwa na wana jf muda mfupi tangu barua yake kwenda kwa slaa kuvuja ,alikuja na kusema ni kweli wazo lake ni kuwa cdm iunde kamati kuchunguza mchango rwakatale ktk hii kadhia na kuonesha kuwa yuko tofauti na maagizo ya kamati kuu ambayo yeye ni mjumbe naalipaswa kulipeleka suala hili kwenye kamati,zitto lidai kuwa ndani ya cdm kuna kirusi ambacho lazima kiondolewe ilichama kibaki salama bila kukitaja hicho kirusi

Freeman A Mbowe, m/kiti wa chama akichagia mchango wake bungeni naye hakukaa kimya wala kuheshimu mamlaka za chini zilizowekwa kwa sheria za cdm na wala kuheshimu kanuni za bunge zinazo kataza kuzungumza jambo,lililopo mahakamani akasema namnukuu''kama mtu anawasiliana na gaidi na yeye ni gaidi akamatwe'' huku akiasahau kuwa na yeye aliwahi kuwasiliana na rwakatare ambaye ni mtuhumiwa namber moja wa ugaidi.
Maneno ya mbowe yalizusha sinto fahamu hasa kesho yake alipojibiwa na mwigulu

Mabere Nyaucho marando ,kada wa cdm,wakili,mfanya kazi wa tiss''huwa hakuna kuacha labda kifo''yeye amekwenda mbali zaidi na kutoa tamko la chama jpili iliyopita huku dunia ikijua kuwa msemaji wa kesi ni lissu,msemaji huyu akawataja wanzake wa tiss kuwa wanahujumu cdm hasa Jack zoka kiongozi wake kuwa anawatumia baadhi ya wana cdm kuhujumu chama na kusahau yake eliyoyafanya akiwa nccr Maguzi na kuihujumu kabla hayaja mtokea puani na kukimbia

MASWALI YA KUJADILI'

1.Kwa nini ofisi ya msemaji wa chama haiheshimiwi?
a,mnyika yupo busy sana?
b.tumaini makene hana sauti kama mnyika hayupo?.
2.kwa nini zitto amundikie baru dk slaa,wakati?
a,wako ofisi moja?
b,walikuwa wote kenye kikao?
c,zitto husema mara kwa mara kuwa hakuna tatizo kati yao?
3.jambo hili hawa kukubaliana kwa kauli moja kikaoni ?
kuhusu nini kifanyike?
4.kama wanavurugana mapema hivi tukiwapa nchi ,itakuwaje?
5.kama zitto na slaa bado wanamatizo kwa nini wasikae pamoja wakamaliza?
6.je ni kweli zitto hajui hicho kirusi ni kipi?
7.chadema wanamuamini vipi marando kutokana na historia yaketujadili pamoja.?
8.kwa nini mbowe alipewa cheo cha kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani huku akiwa hana uzoefu na utata wa elimu yake?
9.nani awafunde viongozi wa chadema?
10.je suala hili ni kete ya mwisho ya kuiua chadema?
TUJADILI......

Huwa unachekesha sana. Maana unatoa hoja mwenyewe na kuzijibu hoja zako mwenyewe. Mwishowe unasema tujadili. Hivi tunajadili nini wakati umesha zijibu mwenyewe? Au unataka wa kukubishia ndio ufurahi? Au ukishabishana ndio POSHO toka Lumumba inatoka?

Wewe kawaambia kwamba tayari nilisha mwaga ----- wangu jamvini hivyo nipatieni changu. Ile ni haki yako maana wamezifisadi.
 
Kuna wapumbavu ambao hawapati amani bila kuitaja CDM hawapati posho.Ni aibu mtoto wa kiume kuwekwa mjini kwa posho ya elfu 5 kwa siku huku ukiwa na degree ya Ualimu.

mm sio mwalimu ila naupenda ualimu
 
CCM ndio nilwafananisha na wale waliokuwa wajenzi wa mnara wa babeli hapa jamvini siku nyingi tu na kila leo mnathibitisha kuwa sikukosea kuwaita wajenzi wa mnara wa babeli.

leo imekurudia mkuu na subiri part 2
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom