CHADEMA wanajenga mnara Babeli,hawatafika mbali - SEHEMU YA KWANZA

lukosi je wote ni wahehe wakate tamaa? kujinyonga sio sifa bro
 
Serikali inabidi ijenge hospitali maalumu ya kutibu mlipuko wa watu kujinyonga na kujirusha kutoka ghorofa ya kwanza kwani makamanda wengi wataka tamaa ya maisha kwa sababu Chadema itashindwa vibaya na DJ atakula kona

Kweli nimeamini alichosema Dr A . Paurine , nimekusamehe ,
 
Maskini ccm wametengeneza tukio la rwakatale kama propaganda na sasa ngoma imegeuka.
Hii kitu imebackfire ccm hawajielewi waanzie wapi.

Yani ninauhakika ccm inajuta sana kumkubalia nchemba kutengeneza ugaidi huu wenye nia ya kuudhofisha chadema kwani tukio hili limegeuka kuwa gunia la misumari kwa kila kada wa ccm.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Issue ni very ugly kwa ccm zaidi ya walivyodhani.na mbaya ni kwamba hawakuweka escape door na hawana break ya kumwekea mwigulu ktk promotion ya hili bomu ambalo wanaliandaa lije wapasukia vibaya sana.mwigulu hana hata tahadhari wakati anajua a ajikuta uso kwa uso na Lissu,Prof safari na wengine ulinzi wa spika,atajikua hakimu akimnyamazisha kwa mamlaka mengine si uprince aliojipa ktk viwanja vingine
 
why dont that libolo share withi your wife at u a bed
.

YAANI WW ndo una degree ya DUCE. NDO KINYAKYUSA AU ENGLISH ???? Kazi kweli kweli . Na kwa taarifa yako NAPE ameshawatumia kama TOILET P-A-P-E-R amenukuliwa kuwa hamna INPUT yoyote kwny chama cha MAGAMBA hivyo safari yenu ya mwisho ilikuwa ile ya MOSHI. mwaka huu hata pesa ya daladala mjini itakushinda na MBOZI ndo subutu. MAKAMASI YAKIZIDI UBONGO NDO MATATIZO YAKE HAYA.
 
habari zenu wana jamii forum,MODS,naomba uzi huu usiunganiswe sababu ni mwendelezo.

Kuibuliwa kwa vidio inayo muonesha kiongozi wa ulinzi na usalama wa chama cha demokrsia na maendekeo bw, W,RWAKATALE imeonesha kuwa chadema hawaheshimiani kiuongozi kutoka juu kwanda chini kimuundo kila mtu ni msemaji wa chama tena kwa matamko yanayotofautiana na vikao vya kamati zinazo undwa ndani ya chama,
chadema wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa baberi miaka mingi kabla ya kristo.

wakristo wanafahamu zaidi kuhusu habari za mji wa baberi na wajenzi wake,habari hii hupatikana ktk biblia kwenye agano la kale mwanzo 11'4 na kuendelea,wajenzi wa baberi walijiamini sana kuwa wako zaidi ya watu wote na kufikia batua kudhani wanalingana na MUNGU,

wajanzi hao nawafananisha naviongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema,kwani wajenzi wale baada ya kujiona wanaendelea vizuri walikufuru na Mungua aliamua kila mmoja kuzungumza lugha yake,nimefikiria hivi baada ya viongozi wa chadema kila mmoja akitolea tamko suala la ugaidi linalowakabili na kuonekana wameshindwa kujinasua, nifafanua:

Dr,w.peter slaa. alikuwa wa kwanza kutoa tamko akiwa ameongozana na viongozi wa makao makuu ya cdm,akatolea tamko nakubainisha kuwa vidio ile siyo harisi na kijana LUDOVICK JOSEPH RWEZAULA anayeshikiliwa pamoja na rwakatale siyo wa chadema jambo lililotoa hisia kali kwa wanamfahamu kuwa anafanya kazi makao makuu na nimmoja ya waasisi wa tawi la cdm pale duse,rejea ufafanuzi wa mwampamba,slaa akabainisha kuwa wao wanausalama wao uliomakini zaidi ya ule wa taifa na hawaogopi chochote

Tundu m lissu, akitofautiana na boss wake slaa Lissu alikubali kuwa vidio ile ni kweli huku akisema watapambana mahakamani na kukili kuwa ludo ni mwana chadema,Lisu aliwataka wanachadema wawe watulivu kuwa watajitahidi kumnasua rwakatale huku akisisitiza kuwa wakomakini ,huku akishindwa kusema lolote kuhusu LUDO ambaye ni mtuhumiwa numberi mbili.

Tumain makene ,
afisa habari wa cdm kama anavyo jitambulisha na yeye, hakuwa kando kwa hili,alitoa taarifa humu ndani kuwa chama kimepanga kumtetea rwakatale hadi mwisho na kuwaomba wanacdm kuwaunga mkono na kuheshimu maazimio ya kamati huku akimtaja lisu kuwa msemaji wa suala hili na kukanusha kile ambacho zzk kutaka kifanyike kupita barua yake kwa slaa iliyovuja na kutufikia humu jf.

Zitto Zuber Kabwe. naibu katibu mkuu cdm ,baada ya kuombwa na wana jf muda mfupi tangu barua yake kwenda kwa slaa kuvuja ,alikuja na kusema ni kweli wazo lake ni kuwa cdm iunde kamati kuchunguza mchango rwakatale ktk hii kadhia na kuonesha kuwa yuko tofauti na maagizo ya kamati kuu ambayo yeye ni mjumbe naalipaswa kulipeleka suala hili kwenye kamati,zitto lidai kuwa ndani ya cdm kuna kirusi ambacho lazima kiondolewe ilichama kibaki salama bila kukitaja hicho kirusi

Freeman A Mbowe, m/kiti wa chama akichagia mchango wake bungeni naye hakukaa kimya wala kuheshimu mamlaka za chini zilizowekwa kwa sheria za cdm na wala kuheshimu kanuni za bunge zinazo kataza kuzungumza jambo,lililopo mahakamani akasema namnukuu''kama mtu anawasiliana na gaidi na yeye ni gaidi akamatwe'' huku akiasahau kuwa na yeye aliwahi kuwasiliana na rwakatare ambaye ni mtuhumiwa namber moja wa ugaidi.
Maneno ya mbowe yalizusha sinto fahamu hasa kesho yake alipojibiwa na mwigulu

Mabere Nyaucho marando ,kada wa cdm,wakili,mfanya kazi wa tiss''huwa hakuna kuacha labda kifo''yeye amekwenda mbali zaidi na kutoa tamko la chama jpili iliyopita huku dunia ikijua kuwa msemaji wa kesi ni lissu,msemaji huyu akawataja wanzake wa tiss kuwa wanahujumu cdm hasa Jack zoka kiongozi wake kuwa anawatumia baadhi ya wana cdm kuhujumu chama na kusahau yake eliyoyafanya akiwa nccr Maguzi na kuihujumu kabla hayaja mtokea puani na kukimbia

MASWALI YA KUJADILI'

1.Kwa nini ofisi ya msemaji wa chama haiheshimiwi?
a,mnyika yupo busy sana?
b.tumaini makene hana sauti kama mnyika hayupo?.
2.kwa nini zitto amundikie baru dk slaa,wakati?
a,wako ofisi moja?
b,walikuwa wote kenye kikao?
c,zitto husema mara kwa mara kuwa hakuna tatizo kati yao?
3.jambo hili hawa kukubaliana kwa kauli moja kikaoni ?
kuhusu nini kifanyike?
4.kama wanavurugana mapema hivi tukiwapa nchi ,itakuwaje?
5.kama zitto na slaa bado wanamatizo kwa nini wasikae pamoja wakamaliza?
6.je ni kweli zitto hajui hicho kirusi ni kipi?
7.chadema wanamuamini vipi marando kutokana na historia yaketujadili pamoja.?
8.kwa nini mbowe alipewa cheo cha kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani huku akiwa hana uzoefu na utata wa elimu yake?
9.nani awafunde viongozi wa chadema?
10.je suala hili ni kete ya mwisho ya kuiua chadema?
TUJADILI......

unataka chadema wafanye kazi kwa mahitaji ya matakwa yako, utangoja sana dadangu.
 
Itafikia hatua mtu anapigana na mkewe ndan then anakuja na analysis yake hapa ili tujadil!
 
unajisikiaje usipolitaja jina la chadema kila siku?
 
Hivi ni lini tutakuwa na utaratibu wa kujibu hoja kwa hoja na si matusi? ni lazima mtu ukoment hata kama huna cha kusema? napendekeza jukwaa hili liwe na forum tatu mpya ikibidi. ... yaani CCM, CHADEMA na NEUTRAL ili kupunguza kashfa na matusi.. utafikiri tuko bungeni bana!!!! c'mon!!!!
 
Peleka toilet papers yaani Uhuru na mzalendo hizi pumba zako watu wakatumie msalani.
 
Hivi ni lini tutakuwa na utaratibu wa kujibu hoja kwa hoja na si matusi? ni lazima mtu ukoment hata kama huna cha kusema? napendekeza jukwaa hili liwe na forum tatu mpya ikibidi. ... yaani CCM, CHADEMA na NEUTRAL ili kupunguza kashfa na matusi.. utafikiri tuko bungeni bana!!!! c'mon!!!!
Mnataka kukimbia jukwaaeh. Njia iko wazi mpotee. Hatutaki pumba kama hizi kutupotezea muda.
 
Nafikiri huyajui matumizi ya "PUMBA kama hizi" na ndo maana unaishia kula ugali wa ung ulokobolewa kisa "MWEUPE"!! tafakari kabla ya kutupia hoja.. hakuna mwenye kutaka kulikimbia jukwaa kama unvyofikiri! tunachotaka ni kuboresha mijadala humu JF, sasa kwa mawazo yangu ni kuwa wakati mwingine badala ya kujadili kwa tija watu wanaleta ushabiki zaidi ya hoja, sie wengine hatuna vyama na mdongo yetu tunatupa tu kwenda CCM au CDM. Itakuwa ni busara wakiwa na ukurasa wao!! naamini umenielewa sana tu na unakubaliana nami ila kwa "aibu" utaamua kujibu au kupotezea!!! sintokudai kulipia somo ni bure tu!! karibu tena! Muarobaini bado upo tu.... napita
 
Back
Top Bottom