Watu makini hujadili hoja, watu wapumbavu hujadili watuwewe sio nape unaebadilisha ID kila mara hapa JF pole kwa hilo!!!
Kakojoe ulale. Waachie wakubwa wajadilieNi moja ya extremely poor analysis. Hivi hicho kitengo cha propaganda cha magamba hawana watu wenye upeo zaidi ya huu mpaka wakutumie wewe mnywa gongo!
Wamefarakana hawa cdm mkuu. Mwisho wa siku wote watarudi ccm ambako kumejengwa ukuta wa berlin na koreaDr Slaa mara ya kwanza alisema video ya Lwakatare ni feki mara ya pili akasema hiyo video ni ya ukweli lakini imetengenezwa na Usalama wa Taifa.
Lissu yeye mapema tu amekiri ni video ya ukweli.
Marando naye akaja na tamko lake likimuhusisha Zitto kuwa namba yake ya simu inauhusika Zitto kaikana hiyo namba.
Ngoja tuone hii picha ya mnara wa Babeli.
mkuu, bulaya kidogo ana afadhali, lakini hapo pa deo, lugola na mpina umechemka kabisa. Hawa jamaa vilaza kweli na hawajui wapi wanaelekea. Yanawatoka mapovu tu kwa vile walitegemea kuwa watakuwa miongoni mwa watakaopewa nafasi ya uwaziriDEO,
KANGI LUGOLA,
ESTER BULAYA,
MPINA.
Hao ndio wabunge pekee wa ccm wenye uzalendo na wanaojua majukumu yao!!
m23 ni kikunzi cha waasi kule DRC inaonyesha shauku yenu kuanzisha uasi hapaTZ
m23 ni kikunzi cha waasi kule DRC inaonyesha shauku yenu kuanzisha uasi hapaTZ
Mkuu watakutukana sana katika hili lakini umetimiza wajibu wako wa kuweka ukweli bayana wanajf wajadili.mimi nilizaliwa may 23 mkuu wale wanaita march 23.hujui tofauti ya kitambi na mimba
Hata kuandika tu taabu, Mulugo ametuharibia vijana
Ni kwa sababu ule ulikuwa ni mpango mkakati wa chama chini ya uratibu wa katibu mkuu, dr slaaKwanza chadema walikuwa na sababu gani kuikumbatia kesi binafsi ya Lwakatare na kuifanya ya chama?
habari zenu wana jamii forum,
MODS,naomba uzi huu usiunganiswe sababu ni mwendelezo.
Naona umeomba upendelo,kwa sababu unajua hauna hoja!
MASWALI YA KUJADILI'
1.Kwa nini ofisi ya msemaji wa chama haiheshimiwi?
a,mnyika yupo busy sana?
b.tumaini makene hana sauti kama mnyika hayupo?.
2.kwa nini zitto amundikie baru dk slaa,wakati?
a,wako ofisi moja?
b,walikuwa wote kenye kikao?
c,zitto husema mara kwa mara kuwa hakuna tatizo kati yao?
3.jambo hili hawa kukubaliana kwa kauli moja kikaoni ?
kuhusu nini kifanyike?
4.kama wanavurugana mapema hivi tukiwapa nchi ,itakuwaje?
5.kama zitto na slaa bado wanamatizo kwa nini wasikae pamoja wakamaliza?
6.je ni kweli zitto hajui hicho kirusi ni kipi?
7.chadema wanamuamini vipi marando kutokana na historia yaketujadili pamoja.?
8.kwa nini mbowe alipewa cheo cha kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani huku akiwa hana uzoefu na utata wa elimu yake?
9.nani awafunde viongozi wa chadema?
10.je suala hili ni kete ya mwisho ya kuiua chadema?
TUJADILI.....
Ungejadili na wenzako wa Lumumba alafu uelete matokeo nasi tukusahihishe.
Du, mlitoka na buku5 na sasa mnakuja na buku7 . Kazi ipo. Watu wanaoongozwa kutenda kazi kwa matamanio ya fedha badala ya uzalendo utawajua tu kwa post zaoNikajua leo hujaingia zamu kumbe toka asbuhi ulikua unaandaa ushuzi wako huu,. Haya kachukue buku7 chap
Mkuu umeweza kuyaona haya yote kazi ipo ndani ya cdm