CHADEMA wanajenga mnara Babeli,hawatafika mbali - SEHEMU YA KWANZA

CHADEMA wanajenga mnara Babeli,hawatafika mbali - SEHEMU YA KWANZA

Kuna wapumbavu ambao hawapati amani bila kuitaja CDM hawapati posho.Ni aibu mtoto wa kiume kuwekwa mjini kwa posho ya elfu 5 kwa siku huku ukiwa na degree ya Ualimu.

Endeleeni hivyo hivyo kujifanya hamuoni wala hamsikii, lakini bila kufanyiwa kazi kwa baadhi ya haya mambo chadema byebye kweli 2014.
 
Watanzania wa leo wako makini wanajua pumba na mchele na walishajua siasa za kweli na za uongo hivyo hawatadanganyika vurugu na mandamano si mahala pake.
 
mm sio mwalimu ila naupenda ualimu
Tunasubiria hiyo 2015 tuone utakavyogombea kiti cha ubunge pale Mbozi kwa tiketi ya chama cha kitunguu swaumu.

Je, mama ako bado ni diwani wa CDM au naye amekufuata huko magambani?
 
Watanzania wa leo wako makini wanajua pumba na mchele na walishajua siasa za kweli na za uongo hivyo hawatadanganyika vurugu na mandamano si mahala pake.

kweli kabisa, wanpakana mafuta kwa mgongo wa chupa kuwa wako makini kumbe kama paka na panya
 
Tunasubiria hiyo 2015 tuone utakavyogombea kiti cha ubunge pale Mbozi kwa tiketi ya chama cha kitunguu swaumu.

Je, mama ako bado ni diwani wa CDM au naye amekufuata huko magambani?
huyu bila shaka atakuwa lissu, kwa ufyatu huu!
 
Watu makini hujadili hoja, watu wapumbavu hujadili watu

Hakuna hoja hapo , Huyo mfuasi wa Bosco Ntaganda , ndugu M23 amejipambanua hapa Jf kama mwenye Mahaba ya kufa na kuzikana na CCM na kila mtu kwenye jukwaa hili anajua , sasa kinachomhangaisha CDM ni kitu gani ? Si aiache ijifie yenyewe , ili wao waendelee na Biashara za pembe za ndovu bila kelele za Msigwa & co , au Ameanzisha uzi ili kuongeza Posho ?
 
Hakuna hoja hapo , Huyo mfuasi wa Bosco Ntaganda , ndugu M23 amejipambanua hapa Jf kama mwenye Mahaba ya kufa na kuzikana na CCM na kila mtu kwenye jukwaa hili anajua , sasa kinachomhangaisha CDM ni kitu gani ? Si aiache ijifie yenyewe , ili wao waendelee na Biashara za pembe za ndovu bila kelele za Msigwa & co , au Ameanzisha uzi ili kuongeza Posho ?

Umeishiwa, karibu utaanza kutukana
 
Du, mlitoka na buku5 na sasa mnakuja na buku7 . Kazi ipo. Watu wanaoongozwa kutenda kazi kwa matamanio ya fedha badala ya uzalendo utawajua tu kwa post zao

Mitazamo ya CHADEMA imekaa kifedha fedha, hemu lirudieni azimio la Arusha, ambalo muasisi wake ni mwl. Nyerere.

Hakuna chama nchini Tanzania chenye wanachama wanaojitolea kwa hali na mali zaidi ya CCM, na ni kwa ngazi zote hadi ngazi za shina wanachama wanajitolea, hatupo ndani ya CCM kupata ulaji, tupo ndani ya CCM kuijenga nchi.

Kabla sijakuacha uendelee kutapatapa, acha nikupe zoezi dogo tu, waulize vijana wa CHADEMA swali dogo tu, wapo ndani ya CHADEMA kufanya nini? baadhi tu ya majibu niliyokutana nayo katika tafiti yangu ni haya;

i) Tupo hapa tukiamini kupata madaraka kama vile udiwani na ubunge.

ii)Tupo hapa kupata umaarufu ili taifa litujue kuwa tuna nia ya dhati ya kubadili maisha ya watanzania.

iii)Kuna uwezekano wa kupata mkopo ukiwa ndani ya CHADEMA kuliko kuwa chama kingine chochote hapa nchini.
CHADEMA = SACCOS. Kwa wale wanaohitaji mkopo, chadema ipo kwa ajili yenu jama.

Unaweza kujionea tu wewe mwenyewe mambo makuu yanayotegemewa na watu wanapokuwa CHADEMA. Ndio hayo sasa.
 
Chama kilichoshindwa kujiongoza bila shaka hakiwezi kuwaongoza wengine.
Chama kushika dola si jambo la mzaha bali linaitaji chama hicho kuonyesha na kuwadhihirishia watu/wananchi kwa matendo na si maneno.
Tumeshashuhudia udhaifu mkubwa wa chama kikuu cha upinzani kinavyoendesha mambo yake unsystematical hali inayopunguza uaminifu kwa watu kuwa kitaweza kweli presha ya kitaifa kama ya ndani imeshindwa.
Hakuna Coordination kati ya kiongozi mmoja na mwengine mfano huyu anakana clip ya Rwakatale ya ugaidi mwingine anakubali (Slaa&Lema), Namba ya simu ya N/katibu inaonekana katika orodha ya watuhumiwa wa kutengeneza move huku muawasilishaji akiwa Mwanasheria wa chama ( Zitto&Marando), M/kiti na N/katibu wanaamua kumbebesha Rwakatale mzigo wake wa tuhuma mwingine anasema tutambana kumtetea (Mbowe na Zitto& Viongozi wengine) n.k
Tuhuma zinazoelekezwa ndani ya chama hazitolewi majibu ya kueleweka ila utasikia ni hujuma za Ccm mara TISS na hii ni scapegot ya tuhuma nyingi zilizoelekezwa cdm.
 
Tunasubiria hiyo 2015 tuone utakavyogombea kiti cha ubunge pale Mbozi kwa tiketi ya chama cha kitunguu swaumu.

Je, mama ako bado ni diwani wa CDM au naye amekufuata huko magambani?

mimi muha wa kigoma
 
habari zenu wana jamii forum,MODS,naomba uzi huu usiunganiswe sababu ni mwendelezo.

Kuibuliwa kwa vidio inayo muonesha kiongozi wa ulinzi na usalama wa chama cha demokrsia na maendekeo bw, W,RWAKATALE imeonesha kuwa chadema hawaheshimiani kiuongozi kutoka juu kwanda chini kimuundo kila mtu ni msemaji wa chama tena kwa matamko yanayotofautiana na vikao vya kamati zinazo undwa ndani ya chama,
chadema wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa baberi miaka mingi kabla ya kristo.

wakristo wanafahamu zaidi kuhusu habari za mji wa baberi na wajenzi wake,habari hii hupatikana ktk biblia kwenye agano la kale mwanzo 11'4 na kuendelea,wajenzi wa baberi walijiamini sana kuwa wako zaidi ya watu wote na kufikia batua kudhani wanalingana na MUNGU,

wajanzi hao nawafananisha naviongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema,kwani wajenzi wale baada ya kujiona wanaendelea vizuri walikufuru na Mungua aliamua kila mmoja kuzungumza lugha yake,nimefikiria hivi baada ya viongozi wa chadema kila mmoja akitolea tamko suala la ugaidi linalowakabili na kuonekana wameshindwa kujinasua, nifafanua:

Dr,w.peter slaa. alikuwa wa kwanza kutoa tamko akiwa ameongozana na viongozi wa makao makuu ya cdm,akatolea tamko nakubainisha kuwa vidio ile siyo harisi na kijana LUDOVICK JOSEPH RWEZAULA anayeshikiliwa pamoja na rwakatale siyo wa chadema jambo lililotoa hisia kali kwa wanamfahamu kuwa anafanya kazi makao makuu na nimmoja ya waasisi wa tawi la cdm pale duse,rejea ufafanuzi wa mwampamba,slaa akabainisha kuwa wao wanausalama wao uliomakini zaidi ya ule wa taifa na hawaogopi chochote

Tundu m lissu, akitofautiana na boss wake slaa Lissu alikubali kuwa vidio ile ni kweli huku akisema watapambana mahakamani na kukili kuwa ludo ni mwana chadema,Lisu aliwataka wanachadema wawe watulivu kuwa watajitahidi kumnasua rwakatale huku akisisitiza kuwa wakomakini ,huku akishindwa kusema lolote kuhusu LUDO ambaye ni mtuhumiwa numberi mbili.

Tumain makene ,
afisa habari wa cdm kama anavyo jitambulisha na yeye, hakuwa kando kwa hili,alitoa taarifa humu ndani kuwa chama kimepanga kumtetea rwakatale hadi mwisho na kuwaomba wanacdm kuwaunga mkono na kuheshimu maazimio ya kamati huku akimtaja lisu kuwa msemaji wa suala hili na kukanusha kile ambacho zzk kutaka kifanyike kupita barua yake kwa slaa iliyovuja na kutufikia humu jf.

Zitto Zuber Kabwe. naibu katibu mkuu cdm ,baada ya kuombwa na wana jf muda mfupi tangu barua yake kwenda kwa slaa kuvuja ,alikuja na kusema ni kweli wazo lake ni kuwa cdm iunde kamati kuchunguza mchango rwakatale ktk hii kadhia na kuonesha kuwa yuko tofauti na maagizo ya kamati kuu ambayo yeye ni mjumbe naalipaswa kulipeleka suala hili kwenye kamati,zitto lidai kuwa ndani ya cdm kuna kirusi ambacho lazima kiondolewe ilichama kibaki salama bila kukitaja hicho kirusi

Freeman A Mbowe, m/kiti wa chama akichagia mchango wake bungeni naye hakukaa kimya wala kuheshimu mamlaka za chini zilizowekwa kwa sheria za cdm na wala kuheshimu kanuni za bunge zinazo kataza kuzungumza jambo,lililopo mahakamani akasema namnukuu''kama mtu anawasiliana na gaidi na yeye ni gaidi akamatwe'' huku akiasahau kuwa na yeye aliwahi kuwasiliana na rwakatare ambaye ni mtuhumiwa namber moja wa ugaidi.
Maneno ya mbowe yalizusha sinto fahamu hasa kesho yake alipojibiwa na mwigulu

Mabere Nyaucho marando ,kada wa cdm,wakili,mfanya kazi wa tiss''huwa hakuna kuacha labda kifo''yeye amekwenda mbali zaidi na kutoa tamko la chama jpili iliyopita huku dunia ikijua kuwa msemaji wa kesi ni lissu,msemaji huyu akawataja wanzake wa tiss kuwa wanahujumu cdm hasa Jack zoka kiongozi wake kuwa anawatumia baadhi ya wana cdm kuhujumu chama na kusahau yake eliyoyafanya akiwa nccr Maguzi na kuihujumu kabla hayaja mtokea puani na kukimbia

MASWALI YA KUJADILI'

1.Kwa nini ofisi ya msemaji wa chama haiheshimiwi?
a,mnyika yupo busy sana?
b.tumaini makene hana sauti kama mnyika hayupo?.
2.kwa nini zitto amundikie baru dk slaa,wakati?
a,wako ofisi moja?
b,walikuwa wote kenye kikao?
c,zitto husema mara kwa mara kuwa hakuna tatizo kati yao?
3.jambo hili hawa kukubaliana kwa kauli moja kikaoni ?
kuhusu nini kifanyike?
4.kama wanavurugana mapema hivi tukiwapa nchi ,itakuwaje?
5.kama zitto na slaa bado wanamatizo kwa nini wasikae pamoja wakamaliza?
6.je ni kweli zitto hajui hicho kirusi ni kipi?
7.chadema wanamuamini vipi marando kutokana na historia yaketujadili pamoja.?
8.kwa nini mbowe alipewa cheo cha kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani huku akiwa hana uzoefu na utata wa elimu yake?
9.nani awafunde viongozi wa chadema?
10.je suala hili ni kete ya mwisho ya kuiua chadema?
TUJADILI......
Mkubwa umeuliza maswali ya msingi sana
Kwa kifupi chadema itakufa kifo kibaya sana na kuna uwezekano baada ya kifo hiki isirudi tena kwenye peak
Tatizo la chadema ni viongozi wote wa juu wana tamaa sana na kila mmoja anadhani ni bora kuliko mwingine, hilo nililiona nilipokutana na Slaa nikashangaa sana anavyozungumzia wenzake.
Chadema ni mkusanyiko wa wanasiasa ambao hawana nidhamu ya kiofisi, huwezi kumdharau kiongozi mwenzako na kuja kwenye vyombo vya habari kutoa namba yake ya simu kumuhusisha na ugaidi bila kukaa kikao na kulijadili.
Mfano mzuri ni huyu mbeba sumu Ben saa nane amekuwa akimtukana Zitto humu na hakupewa adhabu yoyote lakini nina uhakika kama saa nanae angesema maneno yale dhidi ya lema, au Slaa angekuwa kaishaitwa masalia siku nyingi
Kama nilivyosema hapo awali, Mbwa mwitu wakikosa mawindo huanza kuumana wenyewe kwa wenyewe na ndio kinachoendelea ndani ya Chadema na nina uhakika asilimia 120% kuwa ule mkanda ni genuine
1.1276530557.wild-dogs-fighting.jpg
 
Hakuna hoja hapo , Huyo mfuasi wa Bosco Ntaganda , ndugu M23 amejipambanua hapa Jf kama mwenye Mahaba ya kufa na kuzikana na CCM na kila mtu kwenye jukwaa hili anajua , sasa kinachomhangaisha CDM ni kitu gani ? Si aiache ijifie yenyewe , ili wao waendelee na Biashara za pembe za ndovu bila kelele za Msigwa & co , au Ameanzisha uzi ili kuongeza Posho ?
Hivi CDM hamuezi hata siku moja kukubali ushauri pale mnapokosolewa ili kuonesha angalau kuwa mna mwelekeo wa kuwa chama cha siasa? Hebu wana wana. CDM mlioko humu JF wafikishieni viongozi wenu ushauri mnaoupata humu JF badala ya kung'aka, mtaua chama
 
Kuna wapumbavu ambao hawapati amani bila kuitaja CDM hawapati posho.Ni aibu mtoto wa kiume kuwekwa mjini kwa posho ya elfu 5 kwa siku huku ukiwa na degree ya Ualimu.

mkuu, kuna majitu hayana ubongo, umeshayeyuka....kuna Magma kichwani, sisi tusonge mbele kulikomboa taifa
 
sasa hofu ya nini km ni mnara wa babeli?

hofu ni kwamba wanatupotezea muda watanzania kwa maandamano , vurugu na matusi yao, kama wanajua wanafanya siasa kwa leasure bora wangejipanga namna nyingine na kuwapisha watanzania wajikite kwenye shughuli za maendeleo
 
Kwani Chadema ikifa si ndiyo kiongozi wako Masatu au hata Mwigulu wanavyotaka , au wewe mwenyewe kila siku unatoka Mapovu ,unamwaga Matusi na kejeli kibao kuwakatisha tamaa wanaounga mkono Cdm , iweje leo uwe mtetezi wa Cdm ? Au Ikifa utakosa posho za posts za Jf ? Achana na Chadema iache ife, wewe endelea na Kashfa zako !
 
Back
Top Bottom