CHADEMA wamesema hawatoshiriki katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Muhambwe

“CHADEMA kwenye Kamati Kuu ya jana tumekubaliana kwa pamoja kwamba sisi kama chama hatutashiriki uchaguzi mdogo wa Jimbo la Muhambwe.” – Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Bara), Benson Kigaila.

  • Thanks
Reactions: PNC
Tunaomba tume ya mahera iwaombe CCM ipeleke jina la mgombea wao tume Kisha atangazwe mshindi jina liende bungeni kuapishwa.Tuokoe mapesa.
 
Tulia basi utazame uhuni wetu unavyo waua kwa njaa maana sasa hivi hamna tena mtu wa kumramba miguu ili muuze umbea na fitina.
Ndoto: Kwani Samia ni mwanachama wa CHADEMA? Tatizo la watu wa aina yako ni kutegemea personalities zaidi ya kutegemea institutions! CCMni institution yenye structure imara: awepo Magufuli na Bashiru au awepo Kikwete na Kinana, CCM ni ile ile. ChHADEMA inategemea personalities sana. Bila Mbowe chadema ni kishney. Hata Lissu anaongea kwa kutegemea huruma za Mbowe tu. Angalia akina Mnyika walivyolalamika kuhusu viti maalum vya ubunge na leo hii wako kimya kama vile hakuna tatizo.
 
Mama Samia hana mpango wa kuhitaji waramba miguu kama nyinyi.
Mlidekezwa na mwendazake.

Sasa hayupo mmeanza kuwayawaya hovyo kama ndege asiye na kiota.
Tulieni dawa iwaingie vyema.
 
Kwiiiiishaaaaa habari zenu nyinyi MATAGA
 
Watu wa hooovyooo kabisa
 
Vipi: unarukwa na akili kwa kutambua kuwa Samia ni CCM na sasa Chadema wamekosa punching bag wao wa kulumu kila siku yaani Magufuli? Mungu anajua sana kupanga mambo yake !!
 
Kichwa cha habari na content mbona viko tofauti mkuu?

Nadhani ulipaswa kuandika "....... waeleza sababu za kutoshiriki uchaguzi kigoma."

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
CHADEMA Ni wababaishaji,kwani kutoshiriki kwao kutaathiri kipi ktk uchaguzi huo
 
Wanasusaga kula nyama ila mchuzi wanakunywa.
Uchaguzi mkuu ukifika utasikia"si vema kumsusia Nguruwe shamba"
Jinga kabisa hawa Nyumbu.
 
Chama cha CHADEMA kimesema hakitashiriki uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Muhambwe lililopo wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma.

Jimbo la Muhambwe liko wazi baada ya aliyekuwa mbunge Atashasta Nditiye kufariki dunia Februari 12, 2021 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa mkoani Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya gari iliyotokea Februari 10, 2021 eneo la Nane Nane, mkoani humo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Aprili mosi, 2021 naibu katibu mkuu wa CHADEMA, Benson Kigaila amesema baada ya kikao cha kamati kuu kilichofanyika Machi 31, 2021 kwa njia ya mtandao wameazimia kutoshiriki uchaguzi huo kutokana na mazingira ya tume ya uchaguzi kutotenda haki.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeshatangaza kuwa uchaguzi katika jimbo hilo utafanyika Mei 2, 2021.

Tayari Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Florence Samizi kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge katika jimbo hilo.

Chanzo: Mwananchi
Where is mr. Chairman?
 
Ndoto: Kwani Samia ni mwanachama wa CHADEMA? Tatizo la watu wa aina yako ni kutegemea personalities zaidi ya kutegemea institutions! CCMni institution yenye structure imara: awepo Magufuli na Bashiru au awepo Kikwete na Kinana, CCM ni ile ile. ChHADEMA inategemea personalities sana. Bila Mbowe chadema ni kishney. Hata Lissu anaongea kwa kutegemea huruma za Mbowe tu. Angalia akina Mnyika walivyolalamika kuhusu viti maalum vya ubunge na leo hii wako kimya kama vile hakuna tatizo.

Kwani viti maalum vya ubunge vina tatizo? Ninachojua Chadema wamemaliza yao kama Chama. Huko Bungeni hakuwahusu.

Amandla...
 
Yes.

Wananchi waachwe wachague wawakilishi wao sio tume ya uchaguzi na watendaji wake wawateulie wananchi watu wanaowataka wao, hizo zama zimepita.
Wananchi hawana huo uhuru wa kuchagua, kama ulisikiliza kauli ya mpango baada ya kuapishwa jana kuhusu uchaguzi wa marudio utakuwa umeligundua hilo.
 
Swala la kuogopa kushindwa linaeza kuwa sawa kama wengi wanavyofikiri, kwasababu huenda CHADEMA haina nguvu kubwa kigoma na kuifanya iwe na matumain madogo kushinda mbele ya ACT wazalendo na Ccm

Pia kujitoa kwao huenda ikawa ni nafasi ya kutaka kuwapa nguvu wapinzani wenzao ACT na kukifanya kiweke ushindani zaid dhid ya Ccm.

Lakin pia, chama kama chama hakikupaswa kujitoa, kwani kufanya hvyo kunaweza kuwavunja nguvu wanachama wao kitendo ambacho kinaweza kuwapoteza kwa kuhamia chama shiriki, chama kama chama kinatakiwa kitoe udhamin kwa kumsimamisha mgombea yule mwenye kutaka kugombea hyo nafac, kujitoa kwao kunaeza kumkosesha haki ya kushirk kwa kuchaguliwa mwanachama mgombea mtarajiwa

Kama wanamalengo ya kutaka kuipa support ACT ni jambo zuri ila kama wamesusia kwa malengo mengine yakwao binafs sio kitendo kizur kwa chama chenye kuenz demokrasia
 
Back
Top Bottom