CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

Mmiliki mpya wa chadema kutambulishwa rasmi kesho. Ataishia kuwa rais wa UKAWA nchi haiwezi kuwekwa rehani kwa majambazi hata siku moja.kafanikiwa kukinunuwa chadema lakini ikulu BIG NO

Ccm c mlimkata sasa mbona roho zinawauma
 
Mzee Magufuli sasa afikirie kuingia Ukawa ili ngoma inoge zaidi.
 
Ujio wa John Pombe Magufuli umewafanya Ukawa kufanya maamuzi magumu,
 
usitegemee kuwa el ataisema serikali vibaya au kutoa siri za serikali, kama wengi wanavyojiaminisha
el alikula kiapo siri za serikali tena kw kumhusisha mungu amsaidie ,baada ya hapo akaanguka kwa kusign .kiapo kile ni cha milele .
kwa wale wa 1995 hali kama hii ilijitokeza na msisimko ulikuwa mkubwa kuliko leo ,tena palikuwa hakuna tuhuma za kuuza chama kama inavyosemekana leo
Acha urongo wewe,mwaka 1995 msisimko haukuwa mkubwa kuliko wa mwaka huu,ukimwondoa Mrema,ni mbunge gani mwingine aliyetoka CCM na kuhamia upinzani?kwa akili zako ndogo unaamini tuhuma zilizotolewa na mtu mmoja tu Lizaboni hapa JF na kuchuliwa kichwakichwa na watu walionda likizo ya fikra kama wewe,hivi unaamini kwa dhati ya moyo wako kuwa sh 10 bilioni alikabidhiwa Mbowe hotelini?zilienda kwa toroli?guta au fuso?unajua ukubwa (ujazo)wash bil 10 hata zikiwa elfu kumikumi wewe?
 
Your very right! Huyu mtu walikuwa wanamuita fisadi kwa takriban miaka kumi sasa, leo hii amekuwa wa maana sana mpaka wampatie nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya chama chao. This is insanity of the century!! Kuna Watanzania tuna akili zetu bhana, hamuwezi kutufanya sisi wajinga hata kidogo.

Mimi binafsi nasema hivi, kama CHADEMA watampokea huyu waliyembatiza jina la Fisadi, moja kwa moja kura yangu inakwenda kwa MAGUFULI. Na nina amini kuwa Watanzania wenye akili timamu na upeo wa kufikiri kama mimi tupo wengi tu.

Unategemea mtoto wa gamba (Son of Gamba)apigie kura Ukawa?
 
Hakuna mkubwa zaidi ya chadema mbona mnampapatikia lowasa?
 
Humu Jf Lowassa aliandikwa vibaya sana wakati akitafuta wadhamini ila sasa naona upepo umebadilika sasa siasa raha sana
 
Yawezekana kabisa CCM walifikiri mafuriko ni yale waliyoyazuia kwa kukata jina pale Dodoma...Kuna uwezekano pale walizuia rasha rasha za mvua zilizotaka kunyesha wakiamini ndio zitakayoleta hayo mafuriko..Seems sasa ndio mvua za ukweli zinaanza rasmi..Kwaheri CCM!!

Pamoja na kununua uongozi wa cdm 10B,bado ataishia kukatwa na wananchi kwa pen ya 200 tu.
 
Ndio maana nimesema kuna Watanzania wenye akili zao na wengine ndio kama wewe, kichwani hamna kitu kabisa. Ni jambo la kutumia akili kidogo tu uliyonayo. CHADEMA walikuwa wanasema Lowassa ni Fisadi huku mishipa ya shingo ikiwatoka na mapovu mdomoni, leo hii Lowassa amekatwa na CCM, amegeuka na kuwa Malaika ghafla!

My friend, kama wewe unadanganyika kirahisi namana hiyo, sio mimi; kwa hili hakuna ubishi, CHADEMA "wametokota" mbaya. Wamepoteza credibility kabisa, sio tu kwetu sisi bali hata kwa jamii ya kimataifa.

Genye za wenzio we unazimwagia uno za nini?kama Chadema wamechemsha tumia hiyo nafasi kuwamaliza na sio kulialia hapa(credibility your ass).
 
Hakika kuna haja ya kuipumzisha CCM ikae kando,,,,, lakini tatizo ni nani awe m'badala wa CCM?

CDM ambacho ndo chama cha upinzani chenye nguvu zaidi hakijaonyesha kuwa kinaweza kutumainiwa na wananchi kwa future nzuri ya taifa letu.

WaTZ. ,,,, tuko hapo.

CCM imetuchosha lakini nani wa kumbadili?
 
Nalikuwa nawaza..hivi maombi ya wachungaji, manabii na ma sheikh yatapita hivi hivi kweli? Kumbe bado
 
Back
Top Bottom