CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

Ili wakamtangaze mtu waliyekuwa wanamuita fisadi kuwa ndo anapeperusha bendera ya CHADEMA? wakwende huko kura yangu kwa Magufuli

Jana ulinikata stim kwenye thread moja hivi wakati natoka povu naona leo na wewe yamekufika hapaaa!
Enhee, kwahiyo kura yako kwa Magufuli ebwana dah.. (khantwe ni kakichwa kwenye lugha fulani huku nyanda za juu na wewe ni mdau?)
 
Dah hiyo picha nyingine ndo imenisisimuwa na sasa naamini kwa nini Pasco ali Like bandiko la awali

helooo......haha hah
mzima wewe
nina just a certificate naomba kwa moyo safi unitunuku diploma ukiukubali mchango wangu kumtetea lowassa
naamin unaumbuka vizuri
 
Lowassa ataishia kuwa rais wa ukawa...na wala si vinginevyo
Nafikiri humjui Lowassa siyo huyo wa magazetini.

Lowassa ni yule aliyefanikisha safari ya Kikwete kwa mbinu halali na chafu, kama ni kuchakachua anajua mipango yote vipi, wapi na nani anachakachua, Lowassa sio mjinga kiasi hicho anajua fika kuna goli la mkono na amejiandaa kwa hilo kwa vile mbinu zote anazijua.

Kumbuka vilevile EL aliwahi kuwa kiongozi mkuu wa serikali usalama ulikuwa una ripoti kwake, hadi juzi alikuwa m/kiti wa bunge kamati ya mambo ya nje wa ulinzi na usalama, masuala yote ya usalama ya nchi jirani bunge lilikuwa linaripoti kwake, kifupi EL siyo mtu wa kubeza.
 
hahahahaa kesho nyeti zinaenda kupulizwa na upepo live bila chenga

Hahaaaa sielewi nikizitizama hizo picha magamba nawaona hawana raha kabisa... ila homa ya ccm sasa ni ile ambayo wao wanasema lowassa anatetemeka.... na wanatetemeka kweli.
 
Ili wakamtangaze mtu waliyekuwa wanamuita fisadi kuwa ndo anapeperusha bendera ya CHADEMA? wakwende huko kura yangu kwa Magufuli

Your very right! Huyu mtu walikuwa wanamuita fisadi kwa takriban miaka kumi sasa, leo hii amekuwa wa maana sana mpaka wampatie nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya chama chao. This is insanity of the century!! Kuna Watanzania tuna akili zetu bhana, hamuwezi kutufanya sisi wajinga hata kidogo.

Mimi binafsi nasema hivi, kama CHADEMA watampokea huyu waliyembatiza jina la Fisadi, moja kwa moja kura yangu inakwenda kwa MAGUFULI. Na nina amini kuwa Watanzania wenye akili timamu na upeo wa kufikiri kama mimi tupo wengi tu.
 
Duuuh kweli au unatania?? Yaani unamnyima kura Lowassa unaenda kumpa Tibaijuka, Muhongo, Chenge, Rizwani, Mama Mkulu, Ngeleja, Samweli Sitta, January Makamba and the likes... Alafu wakakupitishie ile Katiba mbovu, miswada ya gesi na mafuta isirudishwe bungeni, uwizi wote uliofanyika serikalini ukaendelee kufichwa and so on and so on..

Haya kila la kheri...

Amen...nimeona hapo kwenye red tu
 
Khaa!! Kama nyuzi za humu zingekuwa zinatoka kwa watanzania makini ningeshangaa sana, lakini kwasababu zinatoka kwa wala rushwa na walevi tu najua baada ya october kutakuwa shwari baada ya mtu kuliwa tena..

ID yako inajieleza ulivyo.
 
Taarifa nilizopata ni kuwa hiyo kesho saa 3 au saa 4 Lowassa atatangaza kujiunga CHADEMA na saa 10 atatangaza rasimi kugombea uraisi kwa ticket ya UKAWA na tukio hilo litarushwa live na ITV/Azam tv.

Tusubiri tuone.

Mbn kuna tetesi kesho watamkamata El wamuweke ndani lockup
 
Jana ulinikata stim kwenye thread moja hivi wakati natoka povu naona leo na wewe yamekufika hapaaa!
Enhee, kwahiyo kura yako kwa Magufuli ebwana dah.. (khantwe ni kakichwa kwenye lugha fulani huku nyanda za juu na wewe ni mdau?)

hahahaaaa...nimecheka hadi nimeamsha watu hakyanani....ndio mi mdau wa hukohuko
 
Mzee kingunge alisema ushindi ni lazima bahati mbaya fitina zikaingia.Binafsi nampongeza kwa dhati mhe.lowassa kama kweli amevuka mstari kila la kheri katika safari yake ya matumaini alishakatwa huko CCM kwa hiyo hamna analopoteza hata kama wananchi watamkataa tusubiri october
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeitisha mkutano na waandishi wa habari,mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa Bahari Beach hoteli leo Jumanne kuanzia saa tatu asubuhi.

Waandishi wa habari pamoja na wapiga picha wameombwa kuthibitisha ushiriki wao kwa Mratibu wa TEC,Prisca Kabendera.Pia wamesisitiza kuwa ni muhimu kuthibitisha kwa kutumia majina kwani kila mmoja atapewa kadi ya mwaliko itakayomruhusu kuingia ukumbini.
 
Your very right! Huyu mtu walikuwa wanamuita fisadi kwa takriban miaka kumi sasa, leo hii amekuwa wa maana sana mpaka wampatie nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya chama chao. This is insanity of the century!! Kuna Watanzania tuna akili zetu bhana, hamuwezi kutufanya sisi wajinga hata kidogo.

Mimi binafsi nasema hivi, kama CHADEMA watampokea huyu waliyembatiza jina la Fisadi, moja kwa moja kura yangu inakwenda kwa MAGUFULI. Na nina amini kuwa Watanzania wenye akili timamu na upeo wa kufikiri kama mimi tupo wengi tu.
Kweli bwana khaaa....hawawezi kuwa wanatuzungusha sisi kama mpira...mimi binafsi NIMEKATAA
 
Niliisubiri sana siku na wakati kama huu kwa muda mrefu sana toka mwaka 1993 tulipokubali vyama vingi na mwaka 1995 upinzani ambao mkubwa ulikuwa NCCR MAgeuzi ukahujumiwa. Dar es Salaam ilibidi wafute uchaguzi wote ili warudie na mmluku wakawa wamedominate. Matokeo ya uchaguzi wa mwanzo kabla ya kufuta NEER ilishinda majimbo yote ya DSM. Sasa this time wasomi watasimamia uchaguzi UKAWA na centre za kuhesabia kura zirakuwa Tanzania nzima, Kubalini yaishe tu. Go Go editors wote na Mungu awatangulie. Kwa damu ya Mwangosi na kudhuriwa mwili na kuwekwa kilema cha jicjo Kibanda ni lazima muenzi hili. Pokeeni hongo za CCM but news UKAWA coalition.
 
mkuu suala la 10bn halijakanushwa wewe

Kwahiyo wewe kwa uelewa wako unataka CHADEMA ikanushe uzushi wa Lizaboni? Hivi hujui CDM ni Taasisi, hivyo haiwezi kuvipa nafasi umbea wa kwenye vijiwe vya kahawa??? Jaribu kuwa serious japo kidogo na kufikiri kabla hujaandika kitu katika jamii. Pole na wewe kama nawe siku hizi umekuwa na mawazo kama hayo.
 
Back
Top Bottom