Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,933
- 4,704
Taarifa kutoka jukwaa la wahariri ni kwamba wahariri wameitwa Bahari Beach kesho saa 9:00 kuzungumza na uongozi wa Chadema. Hadhari imetolewa. Wahariri wote wapeleke taarifa ili wapewe kadi maalum za kuhudhuria mkutano huo. Ulinzi ni mkali. Yawezekana ndo wakawa wanamtangaza mwanachama mpya.
Chanzo: Katibu Jukwaa la Wahariri, Neville Meena usiku huu
.
Sawa kabisa.
freedom is coming tomorrow!!
kwa maombi na sala zote, kwa Mungu yote yanawezekana.