Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,953
- 10,037
Du! nimechoka kabisa hawa viongozi wa ukawa wanaweza vipi kuwa mapunguani kiasi hiki.
Ni punguani tu nfiye anayeweza fanya hiki kinachoendelea ukawa. Ndio punguani.
mkuu suala la 10bn halijakanushwa wewe