CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

Tulieni dawa iwaingie jamani.... na bado mtanyooka tu.
Mtu anawajua sana anajua fitna zote kwa miaka yote mliyoshinda uchaguzi. Mwaka huu kubalini yaishe
 
Nimeamini kweli kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu kabisaaaa.
 
Siyo mwanachama ni mmiliki.Chadema wamefanya kosa kubwa sana kumuuzia chama yule jamaa.utaniambia tuko hapa.yote hii ni tamaa ya fedha ya Mbowe na Mzee Mtei unaweza kufikiri ni utani lakini ni ukweli tupu mkuu watu wamefanya biashara hapo.

Tulia dawa iingie vizuri wewe. Unaweweseka nini?

CHADEMA ni chama cha wanachama na siyo taasisi ya kikundi au mtu binafsi.

Propaganda zenu mwisho October 25.
 
Nilichojifunza ni:
1. Tundu Lissu ana upungufu wa akili (mpaka itakapothibitishwa).
2. Dr. Slaa ana matatizo ya kurukwa na akili (Mpaka itapothibitishwa)
3. Mbowe ni mwizi na muendesha chama kama saccos (hii haihitaji uthibitisho kwani kalamba bil 10)
4. Wafuasi wa CHADEMA ni wavivvu wa kujisomea na wana matatizo ya mtindio wa ubongo (uthibitisho upo wa matusi kwa kila anayesema Lowassa ni fisadi ila kipindi alipokuwa CCM tulikuwa tukisema fisadi na kusema wanamsingizia walitutukana na kusema tunamlinda...refer Mnyika).
5. Kitila Mkumbo na Zitto walihongwa na Lowassa (halihitaji kuthibitisha ona wanavyomsifia fisadi Lowassa)

Mrejesho ni October 25 2015 atakapo angukia pua Lowassa na ukawa. Na ndipo atakapo pata pressure numba 2, na CHADEMA itapotea kama alivyokuwa ametabili Mzee mzima Wasira!
 
Isije kuwa watu mnapiga kelele tu kwenye mitandao lakini hamjajiandikisha, kajiandikishe kwanza.
 
Pole sana, cha muhimu kwa sasa ni ccm ife ili tujenge mfumo mpya.
 
Nilichojifunza ni:
1. Tundu Lissu ana upungufu wa akili (mpaka itakapothibitishwa).
2. Dr. Slaa ana matatizo ya kurukwa na akili (Mpaka itapothibitishwa)
3. Mbowe ni mwizi na muendesha chama kama saccos (hii haihitaji uthibitisho kwani kalamba bil 10)
4. Wafuasi wa CHADEMA ni wavivvu wa kujisomea na wana matatizo ya mtindio wa ubongo (uthibitisho upo wa matusi kwa kila anayesema Lowassa ni fisadi ila kipindi alipokuwa CCM tulikuwa tukisema fisadi na kusema wanamsingizia walitutukana na kusema tunamlinda...refer Mnyika).
5. Kitila Mkumbo na Zitto walihongwa na Lowassa (halihitaji kuthibitisha ona wanavyomsifia fisadi Lowassa)

Mrejesho ni October 25 2015 atakapo angukia pua Lowassa na ukawa. Na ndipo atakapo pata pressure numba 2, na CHADEMA itapotea kama alivyokuwa ametabili Mzee mzima Wasira!

pole kwa kuweweseka, ccm lazima ife na mtakufa nayo
 
Kilichofanywa na ccm ni kuonesha kuwa ccm ni chama makini ambacho kinaangalia misingi ya chama kuliko mtu.

Ndani ya chadema mbowe anafanya mambo kama anavyotaka na hakuna mtu wa kumshughulikia kwani yeye kama yeye anakiendesha chama kama saccos.

Na kama lowasa atahamia chadema hayatakuwa maamuz ya wote bali ni uamuz wa mbowe ambaye anafanya mambo kwa maslahi yake na familia yake
 
Wakishindwa itabidi Juma Duni Hajji arudi tena CUF?

Tehe teheeee, huyu DUNI anenda CDM kimwili tu kiakili na moyo bado yuko CUF. Nadhan hata vikao vua CDM atakuwa hahudhurii, atakuwa anenda vikao vya CUF. Hii ngumu kidogo
 
Siasa bana mi nakumbuka dr slaa alimsumbua sana kikwete amchukulie hatua lowasa kwa kuiba pesa nyingi za serikali,sasa leo yuleyule waliesema mwizi ndo wamempokea ukawa.ukawa chama chenye nguvu ni chadema.au zile pesa wenzetu alizoiba lowasa wenzetu wa ukawa wamerudishiwa!!
 
Wakati fulani huwa inakuwa vigumu kukataa maoni ya mkubwa wako. Inasemekana Richmond ilikuwa ni shinikizo la baba riz kwa aliyekuwa waziri mkuu EL. Katika hotuba yake ya kijiuzulu alikuwa anashangaa tume ya akina Mwankyembe kutoihoji ofisi yake bali walipita sehemu zingine walizojua wao. Swali la kujiuliza kwanini hawakumhoji? Na kama alikuwa na hatia kwanini hakufunguliwa kesi mahakamani? Mimi naamini huenda kweli kulikuwa na hujuma dhidi yake iliyokuwepo ya kumuondolea umaarufu maana alikuwa tishio kwa mawaziri wazembe.
 
Back
Top Bottom