CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

Uuuuwiiiiiiiiiiiiiiiii......Mungu mkubwaaaaaaaaaa....

Asanteeeeeee Mungu, naiona Tanzania mpyaaaaaaaa keshooooooooooooooo

Ukawa, Chadema, Lowassa, tumetoka CCM tuko na nyie hadi kufaaaaa....

✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
nilikwambia utunze hela unazopata toka kwa lowasa,sijui kama ulisikia ushauri,maana mkondo wa hela utakatika ndani ya wiki 2 tu.

Mengi na Bahressa wako na UKAWA... Mkondo wa pesa utaokatika labda ule wa wahindi wanaoitawala CCM..

Kama ulikuwa hujui tu, matajiri wote wazawa wamewageukia safari hii.. Ndio maana mwaka jana na juzi mlijitahidi sana kuwaua wale wa Kaskazini..

R.I.P Nyaga Mawalla.. R.I.P Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Mzee Kileo
 
Hivi mnadhani huyo Lowasa akigombea kupitia Ukawa atashinda??
Hizo ni ndoto kabisa!
Raisi wa
Nchi hii ni Magufuli!!
 
Mmiliki mpya wa chadema kutambulishwa rasmi kesho. Ataishia kuwa rais wa UKAWA nchi haiwezi kuwekwa rehani kwa majambazi hata siku moja.kafanikiwa kukinunuwa chadema lakini ikulu BIG NO

Huyo unayemwitableo RAHISI amewekwa hapo na huyo unayemwitableo JAMBAZI.Ndiyo siasa hakuna rafiki wala.adui wa kudumu.

Na ili kulipa deni ameuza kila kitu na bado hajamaliza sasa ni mwendo wa safari tu labda kwa kupata DSA anaweza kumalizia madeni yake.
 
Ila mimi huyu Lowassa simwelewi.

Jamaa mwenyewe dizaini mgonjwa huyu.

Haya masiasa ya nini tena?

Kwa nini asikae atulie ale tu mahela yake.

Au kama vipi anaweza akanipa mimi Richie Mugizi aka Nyani Ngabu halisi teh teh teh.
 
WASIFU WA MAREHEMU
Historia fupi ya marehemu CCM.marehemu CCM alizaliwa tarehe 05/02/1977 enzi za uhai wake marehemu alijishughulisha na kuua mazao ya biashara kama pamba ,tumbaku ,kahawa ,korosho na katani.
Marehemu atakumbukwa kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa bidii ya kuua viwanda kama Mwatex ,Mutex ,Kiltex ,Ufi ,Bora ,na Tenelec ,Mgololo ,Tanganyika packers na Viwanda vya Maziwa pia aliwaleta na kuwapa wageni mali za watanzania.

Ameacha wachina Kariakoo ,Waarabu Loliondo ,Makaburu Mererani na wazungu wa kila aina kwenye migodi yote ya madini na gesi nchini.

Marehemu atakumbukwa kwa tuhuma za Ufisadi ,Umasikini ,Ujinga ,na huduma mbovu za maji na umeme ,afya ,miundombinu ,Elimu na Uuzaji hovyo nyumba za serikali.

Marehemu ameacha mke mmoja jina ni ACT na watoto wawili UDP na TLP bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe na libarikiwe.

🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Safi sana jeshi la ukombozi..... CCM bye bye....
 
Ila mimi huyu Lowassa simwelewi.

Jamaa mwenyewe dizaini mgonjwa huyu.

Haya masiasa ya nini tena?

Kwa nini asikae atulie ale tu mahela yake.

Au kama vipi anaweza akanipa mimi Richie Mugizi aka Nyani Ngabu halisi teh teh teh.

Balali kuletwa bongo maana mliambiwa amekufa na kuzikwa
 
CCM hata nimeisahau... hv kina wagombea gani, Magufuli na nani...maana Gharika la Ukawa + Lowassa... mm sijui niseme nini... CCM marehemu kabisaaa
 
Ili wakamtangaze mtu waliyekuwa wanamuita fisadi kuwa ndo anapeperusha bendera ya CHADEMA? wakwende huko kura yangu kwa Magufuli

Angebaki alaf ikawa amepitishwa CCM ungempigia kura???
 
Taarifa kutoka jukwaa la wahariri ni kwamba wahariri wameitwa Bahari Beach kesho saa 9:00 kuzungumza na uongozi wa Chadema. Hadhari imetolewa. Wahariri wote wapeleke taarifa ili wapewe kadi maalum za kuhudhuria mkutano huo. Ulinzi ni mkali. Yawezekana ndo wakawa wanamtangaza mwanachama mpya.

Chanzo: Katibu Jukwaa la Wahariri, Neville Meena usiku huu

Ndugu hamchoki kuzurulishwa kila siku kuhudhuria press conf zisizofanyika?hamna mambo ya msingi zaidi ya kufanya na muda wenu?
 
Dah hiyo picha nyingine ndo imenisisimuwa na sasa naamini kwa nini Pasco ali Like bandiko la awali
 
Last edited by a moderator:
Wanawatangaza watu wawili au watatu ambao ni hawa:1. E. N. Lowassa mgombea urais ...kutoka CCM kwenda CDM; 2. Juma Haji Duni mgombea mwenza...kutoka CUF kwenda CDM; 3. E. Nchimbi, mgombea ubunge Nyasa....CCM kwenda CDM
 
Taarifa kutoka jukwaa la wahariri ni kwamba wahariri wameitwa Bahari Beach kesho saa 9:00 kuzungumza na uongozi wa Chadema. Hadhari imetolewa. Wahariri wote wapeleke taarifa ili wapewe kadi maalum za kuhudhuria mkutano huo. Ulinzi ni mkali. Yawezekana ndo wakawa wanamtangaza mwanachama mpya.

Chanzo: Katibu Jukwaa la Wahariri, Neville Meena usiku huu
Siyo wito toka UKAWA?
 
Hivi mnadhani huyo Lowasa akigombea kupitia Ukawa atashinda??
Hizo ni ndoto kabisa!
Raisi wa
Nchi hii ni Magufuli!!


Umekalia msumariiiiiiii wa motoooooo...

acha ukuingieeeeee....tulia hivyoo hivyooooo..
 
Wanawatangaza watu wawili au watatu ambao ni hawa:1. E. N. Lowassa mgombea urais ...kutoka CCM kwenda CDM2. Juma Haji Duni mgombea mwenza...kutoka CUF kwenda CDM3. E. Nchimbi, mgombea ubunge Nyasa....CCM kwenda CDM
Wakishindwa itabidi Juma Duni Hajji arudi tena CUF?
 
Back
Top Bottom