CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

Your very right! Huyu mtu walikuwa wanamuita fisadi kwa takriban miaka kumi sasa, leo hii amekuwa wa maana sana mpaka wampatie nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya chama chao. This is insanity of the century!! Kuna Watanzania tuna akili zetu bhana, hamuwezi kutufanya sisi wajinga hata kidogo.

Mimi binafsi nasema hivi, kama CHADEMA watampokea huyu waliyembatiza jina la Fisadi, moja kwa moja kura yangu inakwenda kwa MAGUFULI. Na nina amini kuwa Watanzania wenye akili timamu na upeo wa kufikiri kama mimi tupo wengi tu.

teh teh teh huoni hata aibu.. Badilisha hata ID basi
 
Mbn kuna tetesi kesho watamkamata El wamuweke ndani lockup
Hilo litakuwa ni kosa kubwa kuliko yote na ukiona hivyo ujue JK kachanganyikiwa na kuna wengi wakubwa watajiuzulu nyazifa zao serikali na ndani ya chama kupinga uamuzi huo endapo kweli utatekelezwa.
 
usitegemee kuwa el ataisema serikali vibaya au kutoa siri za serikali, kama wengi wanavyojiaminisha
el alikula kiapo siri za serikali tena kw kumhusisha mungu amsaidie ,baada ya hapo akaanguka kwa kusign .kiapo kile ni cha milele .
kwa wale wa 1995 hali kama hii ilijitokeza na msisimko ulikuwa mkubwa kuliko leo ,tena palikuwa hakuna tuhuma za kuuza chama kama inavyosemekana leo

Serikali ni ya ccm au wananchi.kama ni ya wananchi akiwaeleza kuhusu serikali yao kuna shida gani?
 
Du! nimechoka kabisa hawa viongozi wa ukawa wanaweza vipi kuwa mapunguani kiasi hiki.

Ni punguani tu ndiye anayeweza fanya hiki kinachoendelea ukawa. Ndiooo punguani!!!!???

You don't need a PHD or Masters Degree to comprehend that my brother! UKAWA are brainless pricks!
 
Your very right! Huyu mtu walikuwa wanamuita fisadi kwa takriban miaka kumi sasa, leo hii amekuwa wa maana sana mpaka wampatie nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya chama chao. This is insanity of the century!! Kuna Watanzania tuna akili zetu bhana, hamuwezi kutufanya sisi wajinga hata kidogo.

Mimi binafsi nasema hivi, kama CHADEMA watampokea huyu waliyembatiza jina la Fisadi, moja kwa moja kura yangu inakwenda kwa MAGUFULI. Na nina amini kuwa Watanzania wenye akili timamu na upeo wa kufikiri kama mimi tupo wengi tu.

Wewe peleka tuu hujitambui ukombozi umekaribia
 
Mengi na Bahressa wako na UKAWA... Mkondo wa pesa utaokatika labda ule wa wahindi wanaoitawala CCM..

Kama ulikuwa hujui tu, matajiri wote wazawa wamewageukia safari hii.. Ndio maana mwaka jana na juzi mlijitahidi sana kuwaua wale wa Kaskazini..

R.I.P Nyaga Mawalla.. R.I.P Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Mzee Kileo

Hivi Magufuli si alizuia zile boti za Bakhressa kuja Mwanza kisa zitavunja madaraja, sijui kama Bakhressa ameshamsamehe kwa hilo.
 
Mmiliki mpya wa chadema kutambulishwa rasmi kesho. Ataishia kuwa rais wa UKAWA nchi haiwezi kuwekwa rehani kwa majambazi hata siku moja.kafanikiwa kukinunuwa chadema lakini ikulu BIG NO

Usipanik bro, jipatie pepsi baridi utulize koo.... Ngja badae
 
Richie Mugizi aka Nyani Ngabu halisi ntakuwa ndani ya nyumba nimetinga gwanda teh teh teh

Mkuu, umetoka mafichoni!

Unanikumbusha mbali sana, enzi za BCS na yule muhindi wa Canada aliyekuwa anajidai ni CCM damu.Ulimpelekesha sana!!

Wengine tutasubiri uhuru wa kweli October!!
 
Kuna kesi itafunguliwa dhidi ya Lowassa soon. Nyie subirini, Lowassa hawezi kuwa Rais wa Tanzania hata siku moja.
 
MODS amkeni muunganishe uzi huu na ule wa #Manyerere Jacton. hii tabia ya watu kudandia habari za wenzao si afya kwa great thinkers!
 
Back
Top Bottom