simba wa mara
JF-Expert Member
- May 21, 2015
- 377
- 59
lowasa oyeeeeee!!
Mkuu una undugu na Thomaso wa kwenye biblia??Bado siamini ...............
Hahahaaaaaa hahahaaaaaa Chadema ndio habari ya mjini
Yawezekana kabisa CCM walifikiri mafuriko ni yale waliyoyazuia kwa kukata jina pale Dodoma...Kuna uwezekano pale walizuia rasha rasha za mvua zilizotaka kunyesha wakiamini ndio zitakayoleta hayo mafuriko..Seems sasa ndio mvua za ukweli zinaanza rasmi..Kwaheri CCM!!
Ili wakamtangaze mtu waliyekuwa wanamuita fisadi kuwa ndo anapeperusha bendera ya CHADEMA? wakwende huko kura yangu kwa Magufuli
Mzee Magufuli sasa afikirie kuingia Ukawa ili ngoma inoge zaidi.
Mmiliki mpya wa chadema kutambulishwa rasmi kesho. Ataishia kuwa rais wa UKAWA nchi haiwezi kuwekwa rehani kwa majambazi hata siku moja.kafanikiwa kukinunuwa chadema lakini ikulu BIG NO
Hizi picha ziloongezeka zitazidi kuwachanganya maccm..
Kumbe LOWASA ndo mmiliki mpya wa CHADEMA siyo mwanachama?
Du! nimechoka kabisa hawa viongozi wa ukawa wanaweza vipi kuwa mapunguani kiasi hiki.
Ni punguani tu ndiye anayeweza fanya hiki kinachoendelea ukawa. Ndiooo punguani!!!!???
Mbona kama unataka kulia mkuu??
Siyo mwanachama ni mmiliki.Chadema wamefanya kosa kubwa sana kumuuzia chama yule jamaa.utaniambia tuko hapa.yote hii ni tamaa ya fedha ya Mbowe na Mzee Mtei unaweza kufikiri ni utani lakini ni ukweli tupu mkuu watu wamefanya biashara hapo.
Mmiliki mpya wa chadema kutambulishwa rasmi kesho. Ataishia kuwa rais wa UKAWA nchi haiwezi kuwekwa rehani kwa majambazi hata siku moja.kafanikiwa kukinunuwa chadema lakini ikulu BIG NO