Amon Mahamba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 399
- 64
Kazi kwisha ufunguo wa IKULU huooooo!
hali itakuwa mbaya sana... Hata wana ccm watatamani wawebodaboda wasindikize msafara wa mh edo.. Viva ukawa na safari ya uhakika.Mbona bado edo hajaanza kuzunguka kwa raia... Hapo ndo CCM itachoka. Leo tu hali ya hewa imechafuka.. Sijui mpaka wiki iishe CCM itakuwa na hali gani
Nilishaapa kutokchagua CCM maisha yangu yote ila sasa hiki kiapo nimekitengua
Kuna kesi itafunguliwa dhidi ya Lowassa soon. Nyie subirini, Lowassa hawezi kuwa Rais wa Tanzania hata siku moja.
Siasa za kitoto hizi!
teh teh teh huoni hata aibu.. Badilisha hata ID basi
Mimi mwenyewe najiuliza sana MAFURIKO si yalikwisha zuiliwa kwa mkono haya mengine yanatoka wapi tena.Safari ya matumaini bado inaendelea?! Nilidhani iliishia dodoma... kila la kweli!
Amen...nimeona hapo kwenye red tu
Taarifa nilizopata ni kuwa hiyo kesho saa 3 au saa 4 Lowassa atatangaza kujiunga CHADEMA na saa 10 atatangaza rasimi kugombea uraisi kwa ticket ya UKAWA na tukio hilo litarushwa live na ITV/Azam tv.
Tusubiri tuone.
Mkuu, umetoka mafichoni!
Unanikumbusha mbali sana, enzi za BCS na yule muhindi wa Canada aliyekuwa anajidai ni CCM damu.Ulimpelekesha sana!!
Wengine tutasubiri uhuru wa kweli October!!
Hivi Magufuli si alizuia zile boti za Bakhressa kuja Mwanza kisa zitavunja madaraja, sijui kama Bakhressa ameshamsamehe kwa hilo.
Kumbe goli la mkono mmejifunga wenyewe!!!!
Ndio maana nimesema kuna Watanzania wenye akili zao na wengine ndio kama wewe, kichwani hamna kitu kabisa. Ni jambo la kutumia akili kidogo tu uliyonayo. CHADEMA walikuwa wanasema Lowassa ni Fisadi huku mishipa ya shingo ikiwatoka na mapovu mdomoni, leo hii Lowassa amekatwa na CCM, amegeuka na kuwa Malaika ghafla!
My friend, kama wewe unadanganyika kirahisi namana hiyo, sio mimi; kwa hili hakuna ubishi, CHADEMA "wametokota" mbaya. Wamepoteza credibility kabisa, sio tu kwetu sisi bali hata kwa jamii ya kimataifa.
Hii nchi inakoenda sasa tunaenda kuishuhudia Tanzania ya aina yake
Huenda Mwatex, Sunguratex, Urafiki na Kiwanda cha Zana Za Kilimo Mbeya vitafufuka
Tutashuhudia kampeni zilizobalance mwaka huu, hasa coverage kwenye vyombo vya habari