CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

Nashukuru sana nililimwa Ban lakini imeisha leo asubuhi kukiwa na tukio kunwa la kitaifa ...Nape vipi u hali gani? Swalaaamaaaa
 
Mmiliki mpya wa chadema kutambulishwa rasmi kesho. Ataishia kuwa rais wa UKAWA nchi haiwezi kuwekwa rehani kwa majambazi hata siku moja.kafanikiwa kukinunuwa chadema lakini ikulu BIG NO

mmmmmmm mmiliki? Chadema ina wanachama ikiongozwa na michango ya wanachama imilikiwe na myu mmoja?This is shame
 
Tanesko ni nyo.ko washafanya yao baadhi ya sehemu hapa Arusha.
 
Manyerere Jackton, tafadhali thibitisha huu mkutano utafanyika saa ngapi. Maana ulisema saa 3 asubuhi sasa tunakwenda ni saa 9 na robo mkutano bado tu? Na hii AZAM TV watarusha live kuanzia saa ngapi?

Tiba

Tumaini makene amethibitisha ni saa kumi jioni. azam, ITV, Chanel 10 na redio one watakuwepo hewani
 
Nipo sinza wapi nikae ambapo wataonyesha maana kulikosa tukio hili itakuwa ni dhambi kwakweli
Nenda Rombo green, au Mwika bar ama Deluxe zote zinamililkiwa na friends of lowassa
 
Tanzania mpya ukawa ni ushindi twende na Edward lowasa 2015
 
Lowasa vs magufuli?????? Ni sawa na mayweather vs pacquio ndo nimeubatiza jina huo mpambano
 
Mmiliki mpya wa chadema kutambulishwa rasmi kesho. Ataishia kuwa rais wa UKAWA nchi haiwezi kuwekwa rehani kwa majambazi hata siku moja.kafanikiwa kukinunuwa chadema lakini ikulu BIG NO

CCM wameshaiuza nchi yetu sasa tunataka kuikomboa tarehe 25 Octoba 2015 toka kwa majambazi ccm
 
Nashukuru sana nililimwa Ban lakini imeisha leo asubuhi kukiwa na tukio kunwa la kitaifa ...Nape vipi u hali gani? Swalaaamaaaa
Nape kijana wa kuropoka hovyo na kutoa vitisho vya kitoto. Alisema wote ambao wanalalamikia mchakato wa upatikanaji wa mgombea urais watashughulikiwa, sasa atamshughulikia nani? Lowassa? Kingunge? Napenda aingie katika vitabu vya Historia kwamba alichangia sana katika kukiangamiza chama cha Mapinduzi. Hovyo kabisa!
 
Back
Top Bottom