CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

ilianza hivi:

Amekatwa, hajakatwa, amekatwa, hajakatwa........................Amekatwa

Ikaendelea hivi:
Amehama, Hajahama, amehama, hajahama.............................Amehama

Ikaendelea hivi:
Amegombea, hajagombea, amembea, hajagombea...................Amegombea

Itaendea hivi:

Ameshinda hajashinda, ameshinda, hajashinda .............................(jaza)

Itaendelea tena hivi
Amehapishwa, Hajahapishwa, amehapishwa, hajahapishwa....... (jaza)

Nimeipenda hiyo, hahahaaaa! Go UKAWA go!!!
 
Wanazingua tuu mpaka saiz wanatuonyesha tamthilia xyz zao! Time bhana
 
Murph anasema 'whoever has the Gold makes the rules'
 
Wanapenda kusema ananunua watu..

Haya maelfu watakaokuwa kwenye luninga nao wananunuliwa?


Magazeti yanayoandika nayo yananunuliwa?

Basi hata tulioko mtandaoni tunaofuatiliwa tunanunulia kupost mitaandoni.

Ukweli ni kwamba watanzania walio wengi, wamebaini na wamepata fursa ya kung'oa mfumo mbaya, ulioasisiwa kwa muda mrefu na CCM.
Wakati ndio tu na chombo ndicho UKAWA.. Go UKAWA go Lowasa, tunakuhitaji , utusaidie kuivunjavunja, wewe anza sisi tuko pamoja nawe, tuna kadi za kupiga kura, tumehamasika , tunaelewa tunataka nini ..

Kazi moja NG'OA CCM , TUPA KULE.

waambie hao. Hawakawii kuropoka
 
mmmmh... Iiii ni zaid sasa. Huyu EL lazima atakua ni baba mdogo wa taifa akitoka baba wa taifa[mwl.]
 
Tanzania tunataka mabadiliko, na wakati huu CCM haina chake tena ebu tujaribu kwa WANAUKAWA tuone je? watatufikisha wapi...., CCM bye bye byeeeeeeee
 
Back
Top Bottom