CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

Kwa mujibu wa jamaa yangu wa karibu sana pale TBC1 ni kwamba tukio hilo litaonyeshwa LIVE bila chenga na kinara wa tiivii Tanzania TBC1 ifikapo saa kumi kamili tarehe mosi mwezi agosti. Hakikisha umelipia king'amuzi chako usikose uhondo huo.

Asante mkuu , humu jf ujinga mtupu nimepata majibu fb
 
mkuu tbc wao ni mkutano ya ccm tu hawawezi kurusha mikutano ya ukawa

Clement Mshana aandae resignation letter aje aikabidhi kuanzia October 26...Tido Muhando ajiandae kurudi TBC kwa mkataba akairudishe kwenye hadhi yake.
 
Uwiii Lowasa kucheleeeee...UKAWA oyeeeeee....peoplezzzzzz powerrrrrrr
 
Nasubiria kwa hamu kumuona mzee mzima na gwanda huku akisema peoplessssszzzzzzZ
 
CCM wameshaiuza nchi yetu sasa tunataka kuikomboa tarehe 25 Octoba 2015 toka kwa majambazi ccm

Hilo ndio jambo la msingi Nchi inakwenda kukombolewa! MUNGU ibariki Tanzania!
 
Nasubiria kwa hamu kumuona mzee mzima na gwanda huku akisema peoplessssszzzzzzZ
 
CCM mbona mnalialiaaaa kwani mmejipangaje? Lowasaaaaa..hatariiii
 
ilianza hivi:

Amekatwa, hajakatwa, amekatwa, hajakatwa........................Amekatwa

Ikaendelea hivi:
Amehama, Hajahama, amehama, hajahama.............................Amehama

Ikaendelea hivi:
Amegombea, hajagombea, amembea, hajagombea...................Amegombea

Itaendea hivi:

Ameshinda hajashinda, ameshinda, hajashinda .............................(jaza)

Itaendelea tena hivi
Amehapishwa, Hajahapishwa, amehapishwa, hajahapishwa....... (jaza)
 
Hiyo saa tisa mbona imeshapita!! Hawajui kutunza muda wataweza kutunza nchi hao CHADEMA?

Khaakahaaaaaaa, uwi nicheke mie, kumbe na nyie mnasubir! nilijua mnaandaa nguo za kijani zenye maandishi 'UMOJA NI USHINDI". Hamjui kuwa hakuna umoja ccm bali kuna makundi.
 
Back
Top Bottom