Hizi kauli ndo zinatuharibia chama Nape, sijui hamjui hali halisi huku mitaani au mnajua ila mnapuuzia!! au ndio mmeamua kuua chama wakati sisi tikijitahidi kukijenga!!! inakatisha tamaa sana kwa sisi wanachama na viongozi wa ccm, unapokuwa kiongozi sometime kabla hujaandika tafuta hata ushauri kwanza, tuache ushabiki jamani, ccm yetu inakufa taratibu, namna ya kurudisha imani kwa watu ni kwa kuwa wakeli, kutumikia watu kwa weledi na kuleta chama kwa watu!!! issue ya arusha mlishauriwa kuanzia mwanzo kuwa zile mbinu za kuchagua meya hazitasaidia, zitabomoa chama, sitazidisha chuki na zitakiangamiza chama ccm kanda ya kaskazini!!!! Tusidharau hii kanda ya kaskazini Nape, hii kanda ni muhimu sana, kuna wasomi wengi na wanaojijuia, wako kila mahali, ni kama kwa wazungu ambavyo hawawadharau hata siku moja Waisrael!!!! Nafikiri kuna haja ya kuwa na mradi kabambe kabisa wa kukusanya maoni nchi mzima Nape kutoka kwa wana CCM ya namna ya kuboresha chama, kama tunatakitakia mema chama chetu lkn,!! otherwise tutakataliwa nchi nzima kama arusha walivyotukataaa!!!! Mwenyenzi Mungu mwingi wa Rhehema na Utukufu atujalie kuyaona haya!!!!!!