CHADEMA na ndoto za kumuondoa Meya Arusha!

CHADEMA na ndoto za kumuondoa Meya Arusha!

Na umeya wakichukua Chadema viongozi wote wa CCM no msafara na magari mengi mkifika Arusha labda muwe na kibali maalum kila kiongozi na kagari kake kamoja tu,subirini tu labda mzingue na mshinde kwenye umeya,maana umeya ndio unawapa kiburi pumba.vu kama nyinyi....

Hakuna mikutano ya hadhara ovyo ovyo na pumba.vu mkuu wa mkoa ahame mkoa faster...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
General tyre kuna nn pale mpaka muogope?
Mbona ni kiwanda kilichokufa miaka tele!
Ukiona ccm wanaficha jambo basi kuna kaulaji kalipita.
GENERAL TYRE ILIKUWA NA TAIRI NZURI ILA KIMEKUFA.
 
Nape nawe kweli unamuchia mwigulu amalize chama? Msipo angalia mwigulu atawamaliza
 
...Uzuri wa Nape ana kahofu kidogo ka Mungu, tofauti na Mwigulu. Hili najua hatakujibu - tusubili.

Hivi ule ugomvi wake na Laigwanani kuhusu kuuzwa Jengo la Vijana wa MAGAMBA lilimfikisha wapi huyu Katibu mwenezi?
 
Sihusiki na hisia zako, huu ndio ukweli Chama makini kingejadili kuwatumikia watu badala ya kupoteza siku nzima mnajadili jambo lisilowezekana

hivi lie video aliyonayo Mwigulu umeipitia au kwa vile muhusika ni wewe unakumbuka Kila kitu. Kazi kwako mwaka Hulu Mwigulu kakushika pabaya sijui utamweleza nini mzee wa kimasai
 
Kujipa matumaini ni jambo zuri lakini kujipa matumaini ya uongo ni jambo la hovyo! Kwa idadi ya madiwani katika Jiji la Arusha na mgawanyo wake hakuna chama kinachoweza kufikisha 2/3 ya madiwani na kwa kuwa kanuni zinasema ili umwondoe Meya kwa kura ya kutokua na imani naye lazima upate 2/3 ya madiwani wote, basi Meya is there to stay!

Ushauri wangu ni kuwa waliochaguliwa wafanye kazi ya kuwatumikia wananchi badala ya kuahangaika na ndoto za mchana!

Alichaguliwa kwa mfumo upi?
Kisa cha kuwaua watu kwa mabomu na risasi ni umeya tu?
Meya ataondoka ama tutamwondoa kwenye kiti cha damu bila kupenda

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwani huyo Meya aliechaguliwa kura zilimfanya ratio ya 2/3 ???
Unaonaje tukikaa bila Meya kuliko kulazimishiwa huyo wenu????
Nakuambia msimu huu mtajikuna huku hamna makucha!
Mbona hamkumpeleka Lusinde kwenye kampeni bhaana! Ah "hivyoo" mimi thijapenda maana haijanoga!
 
Alafu Nape jiheshimu uongozi wako peleka huko na sio hapa JF usitake kuwapangia watu nini cha kujadili hapa hatuangalii sura ya mtu wala cheo chake,hapa tunaangalia nini tufanye kulichangia taifa.....so kuwa na adabu kidogo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hivi Nape na wewe ukiitwa fisadi utakataa? Kwa sababu haupo kutetea tena haki za wanyonge ubinafsi umekutawala. Ungekuwa muungwana sana kama ungesimama upande wa haki. Kwamba meya wa jiji la Arusha ccm ilipora hiyo nafasi kwa mabavu na wala si kwa utashi wa madiwani. Kama tunajenga nchi moja na kama kweli mnahubiri amani na unajua kuwa haki ni msingi wa amani usingekurupuka na maneno yako ya shombo hapa. Unachangia kuua ccm bila kujijua. Kula maisha mkuu ndicho ulichokitaka. Wekeza kwa faida yako na familia yako kama magamba wenzio wafanyavyo. Kilichobakia muunge mkono Lowasa waziwazi kama Savimbi.
 
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl66"]JINA LA KATA[/TD]
[TD="class: cms_table_xl67"]CHAMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl64, align: right"]1[/TD]
[TD="class: cms_table_xl64"]OLOIRIEN[/TD]
[TD="class: cms_table_xl65"]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl64, align: right"]2[/TD]
[TD="class: cms_table_xl64"]OLASITI[/TD]
[TD="class: cms_table_xl65"]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl64, align: right"]3[/TD]
[TD="class: cms_table_xl64"]TERATI[/TD]
[TD="class: cms_table_xl65"]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl64, align: right"]4[/TD]
[TD="class: cms_table_xl64"]MOSHONO[/TD]
[TD="class: cms_table_xl65"]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl64, align: right"]5[/TD]
[TD="class: cms_table_xl64"]BARAA[/TD]
[TD="class: cms_table_xl65"]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl64, align: right"]6[/TD]
[TD="class: cms_table_xl64"]UNGA LTD[/TD]
[TD="class: cms_table_xl65"]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl64, align: right"]7[/TD]
[TD="class: cms_table_xl64"]LEMARA[/TD]
[TD="class: cms_table_xl65"]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl64, align: right"]8[/TD]
[TD="class: cms_table_xl64"]KATI[/TD]
[TD="class: cms_table_xl65"]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl64, align: right"]9[/TD]
[TD="class: cms_table_xl64"]DARAJA II[/TD]
[TD="class: cms_table_xl65"]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl64, align: right"]10[/TD]
[TD="class: cms_table_xl64"]ELERAI[/TD]
[TD="class: cms_table_xl65"]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl64, align: right"]11[/TD]
[TD="class: cms_table_xl64"]ENGUTOTO[/TD]
[TD="class: cms_table_xl65"]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl64, align: right"]12[/TD]
[TD="class: cms_table_xl64"]KALOLENI[/TD]
[TD="class: cms_table_xl65"]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl64, align: right"]13[/TD]
[TD="class: cms_table_xl64"]KIMANDOLU[/TD]
[TD="class: cms_table_xl65"]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl64, align: right"]14[/TD]
[TD="class: cms_table_xl64"]LEVOLOSI[/TD]
[TD="class: cms_table_xl65"]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl64, align: right"]15[/TD]
[TD="class: cms_table_xl64"]NGARENARO[/TD]
[TD="class: cms_table_xl65"]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl64, align: right"]16[/TD]
[TD="class: cms_table_xl64"]SEKEI[/TD]
[TD="class: cms_table_xl65"]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl64, align: right"]17[/TD]
[TD="class: cms_table_xl64"]THEMI[/TD]
[TD="class: cms_table_xl65"]CHADEMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl64, align: right"]18[/TD]
[TD="class: cms_table_xl64"]SOKONI 1[/TD]
[TD="class: cms_table_xl65"]TLP[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: cms_table_xl64, align: right"]19[/TD]
[TD="class: cms_table_xl64"]SOMBETINI[/TD]
[TD="class: cms_table_xl65"]uchaguzi bado[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Viti Maalum CCM: 3
Viti Maalum CDM: 3

Wabunge CCM: 3
Wabunge CDM: 3


Kelele nyiiiiingi mi nilidhani Arusha yote ni CDM kumbe mambo ni hivi.
Nasikia hata kura walizopata CCM uchaguzi huu ni nyingi kuliko 2010.
Ni ndoto na kujidanganya eti CCM itaondoka 2015!!
 
Kujipa matumaini ni jambo zuri lakini kujipa matumaini ya uongo ni jambo la hovyo! Kwa idadi ya madiwani katika Jiji la Arusha na mgawanyo wake hakuna chama kinachoweza kufikisha 2/3 ya madiwani na kwa kuwa kanuni zinasema ili umwondoe Meya kwa kura ya kutokua na imani naye lazima upate 2/3 ya madiwani wote, basi Meya is there to stay!

Ushauri wangu ni kuwa waliochaguliwa wafanye kazi ya kuwatumikia wananchi badala ya kuahangaika na ndoto za mchana!
Yale yale ninayosema kila siku, kiburi dharau na kuvunja sheria ndicho kitu kinachoigharimu ccm,
Ni lini uchaguzi wa meya ulifanyika Arusha? Tunahitaji kuona uchahuzi ulio huru na wa haki ukifanyika kumchagua meya, ccm ndio mnaofanya vurugu Arusha, hebu acheni taratinu zifatwe msidhani Arusha hatujui sheria
 
Hivi ule ugomvi wake na Laigwanani kuhusu kuuzwa Jengo la Vijana wa MAGAMBA lilimfikisha wapi huyu Katibu mwenezi?

walimnyanyapaa mpaka kufikia kusema eti sijui mwandosya, mara sijui hatambuliki, mara mwanaharamu , mwisho wa siku walimpoza na u-dc, mpaka sasa ni punching bag la mwigulu.
 
Sihusiki na hisia zako, huu ndio ukweli Chama makini kingejadili kuwatumikia watu badala ya kupoteza siku nzima mnajadili jambo lisilowezekana

Nape hizi si hisia bali ndo ukweli,watu wa Arusha hawataiela CDM kama itaamua kufanya kazi chini ya huyo meya wa kuchonga LIMO.Mmeua watu kwa sababu ya kumlinda meya wenu,mmeufanya mji wa Arusha uwe na historia mpya kwa kumlinda meya wenu,Chama makini kitasimamia kweli Limo ni haramu hawezi kuwa halali hata siku moja.
 
Sihusiki na hisia zako, huu ndio ukweli Chama makini kingejadili kuwatumikia watu badala ya kupoteza siku nzima mnajadili jambo lisilowezekana

Hebu niambie chama chenu ni makini kinauza rasilimali za nchi kwa wageni na kuwasamehe kodi halafu mnawaongezea wananchi kodi kwenye simu kwanza bila aibu mnakata 1000 kila mwezi, Halafu mkurugenzi akiiba mabiliaoni anahamishiwa halimashauri ingine ndo umakini wenu huo? Kipindi cha kura za maoni ya chama chenu TAKUKURU Inaonekana kuthibiti mahasimu ndani ya chama mkishamaliza kuteua wagombea basi TAKUKURU wanakwenda likizo nyie mnaanza kununua kura na kuonga watu ndo umakini huo?

Nape mtiti wa Arusha kwa kipindi hiki ni mkubwa kuliko 2011 Maana na nyie mmeamua kutumia maguruneti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom