CHADEMA na ndoto za kumuondoa Meya Arusha!

CHADEMA na ndoto za kumuondoa Meya Arusha!

Nape Nnauye una hofu ya nini? kama unajua sheria na kanuni zipo we acha zichukue nafasi yake then usome mchezo mpaka mwisho acha kupata kihoro mapema sana
 
Sihusiki na hisia zako, huu ndio ukweli Chama makini kingejadili kuwatumikia watu badala ya kupoteza siku nzima mnajadili jambo lisilowezekana

Nape!

Umeshaziona zile recoding walizo kuchukua vijana wa Nchemba? Ngumu kumeza!!!!
 
Wanafikiri na hilo pia watapeleka mamluki kutoka mikoa ya jirani na kuwapa hofu madiwani wasipige kura.

hata kata 4 mlisema mnazirejesha matokeo tumeyaona, na meya akitoka CHADEMA najua mtaufyata tu
 
Tatizo mnakumbuka shuka asubuhi, hizo kanuni mngezikumbuka tangu mwanzo, mauaji yasingetokea arusha, ccm kwa ulafi huu wa madaraka na kuwa tayari hata kuua kama mlivyofanya arusha, mtalisambaratisha taifa letu! Mjitafakari.

Nadhan umechanganya ulafi wa madaraka unapatikana cdm.
 
Kwa uhakika kabisa chama cha mapinduzi kinahitaji viongozi wenye upeo mkubwa na wazalendo sio wewe nape mwigulu na wenzenu mnaofikiria urefu wa pua zenu. tunahitaji viongozi wenye maono nyie ni wababaishaji, mnajaribu kufanya siasa tu.
 
bwana nape pole sana mkuu. Ila nikuambie jambo moja tu kumng'oa mea hilo lipo mikononi mwa madiwani wenyewe .
 
Nape, sheria ifuatwe hata huyo mchina wenu akishinda sawa lkn twende kihalali otherwise hakuna haja ya kuwa na hizo sheria
 
Mbona baada ya Uchaguzi wa Arusha mnajitokeza kwa kubipu bipu sana? kunani huko ndani? tuambizane tuje na zimamoto msiunguzane tu peke yenu..........
 
Kujipa matumaini ni jambo zuri lakini kujipa matumaini ya uongo ni jambo la hovyo! Kwa idadi ya madiwani katika Jiji la Arusha na mgawanyo wake hakuna chama kinachoweza kufikisha 2/3 ya madiwani na kwa kuwa kanuni zinasema ili umwondoe Meya kwa kura ya kutokua na imani naye lazima upate 2/3 ya madiwani wote, basi Meya is there to stay!

Ushauri wangu ni kuwa waliochaguliwa wafanye kazi ya kuwatumikia wananchi badala ya kuahangaika na ndoto za mchana!

Kama kumuondoa ni2/3 na kumpata iwe 2/3 kama ni vinginevyo kawaida yenu mmesha chakachua. Mnafikiria kutawala kufanya maendeleo mmeshindwa. Dawa yenu inachemka nchi nzima
 
Na umeya wakichukua Chadema viongozi wote wa CCM no msafara na magari mengi mkifika Arusha labda muwe na kibali maalum kila kiongozi na kagari kake kamoja tu,subirini tu labda mzingue na mshinde kwenye umeya,maana umeya ndio unawapa kiburi pumba.vu kama nyinyi....

Hakuna mikutano ya hadhara ovyo ovyo na pumba.vu mkuu wa mkoa ahame mkoa faster...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

haya yatakuwa mapinduzi na uongozi wa kijeshi mkuu.
 
Kujipa matumaini ni jambo zuri lakini kujipa matumaini ya uongo ni jambo la hovyo! Kwa idadi ya madiwani katika Jiji la Arusha na mgawanyo wake hakuna chama kinachoweza kufikisha 2/3 ya madiwani na kwa kuwa kanuni zinasema ili umwondoe Meya kwa kura ya kutokua na imani naye lazima upate 2/3 ya madiwani wote, basi Meya is there to stay!

Ushauri wangu ni kuwa waliochaguliwa wafanye kazi ya kuwatumikia wananchi badala ya kuahangaika na ndoto za mchana!

Hizi kauli ndo zinatuharibia chama Nape, sijui hamjui hali halisi huku mitaani au mnajua ila mnapuuzia!! au ndio mmeamua kuua chama wakati sisi tikijitahidi kukijenga!!! inakatisha tamaa sana kwa sisi wanachama na viongozi wa ccm, unapokuwa kiongozi sometime kabla hujaandika tafuta hata ushauri kwanza, tuache ushabiki jamani, ccm yetu inakufa taratibu, namna ya kurudisha imani kwa watu ni kwa kuwa wakeli, kutumikia watu kwa weledi na kuleta chama kwa watu!!! issue ya arusha mlishauriwa kuanzia mwanzo kuwa zile mbinu za kuchagua meya hazitasaidia, zitabomoa chama, sitazidisha chuki na zitakiangamiza chama ccm kanda ya kaskazini!!!! Tusidharau hii kanda ya kaskazini Nape, hii kanda ni muhimu sana, kuna wasomi wengi na wanaojijuia, wako kila mahali, ni kama kwa wazungu ambavyo hawawadharau hata siku moja Waisrael!!!! Nafikiri kuna haja ya kuwa na mradi kabambe kabisa wa kukusanya maoni nchi mzima Nape kutoka kwa wana CCM ya namna ya kuboresha chama, kama tunatakitakia mema chama chetu lkn,!! otherwise tutakataliwa nchi nzima kama arusha walivyotukataaa!!!! Mwenyenzi Mungu mwingi wa Rhehema na Utukufu atujalie kuyaona haya!!!!!!
 
Wauaji wakubwa nyie, na damu za watanzania hazitapotea bure. One day we will take all of you to justice!
 
Kujipa matumaini ni jambo zuri lakini kujipa matumaini ya uongo ni jambo la hovyo! Kwa idadi ya madiwani katika Jiji la Arusha na mgawanyo wake hakuna chama kinachoweza kufikisha 2/3 ya madiwani na kwa kuwa kanuni zinasema ili umwondoe Meya kwa kura ya kutokua na imani naye lazima upate 2/3 ya madiwani wote, basi Meya is there to stay!

Ushauri wangu ni kuwa waliochaguliwa wafanye kazi ya kuwatumikia wananchi badala ya kuahangaika na ndoto za mchana!

Hizi ndiyo siasa zako za maji-taka ninazozipenda.

siyo yule ndugu yako ambaye huwa hakosi kutaja/kuandika neno "mauwaji" kwenye matamshi na mabandiko yake.

suala la meya kung'oka muda utasema, siyo wewe Nape. hapa si wengine tunaona umeamua kuanzisha thread ya kujipoza na machungu ya 4-0 tu.

jipange
 
Kwel kuna kuto kuelewana kati yen na tearm Mwiguru yan mpaka sasa hakuna hata mmaja aliye kuja kukusaidia hapa mh!
 
Kujipa matumaini ni jambo zuri lakini kujipa matumaini ya uongo ni jambo la hovyo! Kwa idadi ya madiwani katika Jiji la Arusha na mgawanyo wake hakuna chama kinachoweza kufikisha 2/3 ya madiwani na kwa kuwa kanuni zinasema ili umwondoe Meya kwa kura ya kutokua na imani naye lazima upate 2/3 ya madiwani wote, basi Meya is there to stay!

Ushauri wangu ni kuwa waliochaguliwa wafanye kazi ya kuwatumikia wananchi badala ya kuahangaika na ndoto za mchana!

Njoo Lumumba utueleze mustakabali wetu wa mishahara ya mwezi wa 6.
unajisikia raha watangazaji wa Redio Uhuru na waandishi wa Gazeti la Uhuru tukija ofisini kwa miguu huku tukikosa hata nauli ya daladala?
 
Kujipa matumaini ni jambo zuri lakini kujipa matumaini ya uongo ni jambo la hovyo! Kwa idadi ya madiwani katika Jiji la Arusha na mgawanyo wake hakuna chama kinachoweza kufikisha 2/3 ya madiwani na kwa kuwa kanuni zinasema ili umwondoe Meya kwa kura ya kutokua na imani naye lazima upate 2/3 ya madiwani wote, basi Meya is there to stay!

Ushauri wangu ni kuwa waliochaguliwa wafanye kazi ya kuwatumikia wananchi badala ya kuahangaika na ndoto za mchana!

wewe si ndoulisema huwezi kuzungumzia uchaguzi wa arusha!?
zinakutosha peke yako wewe!
 
Nafikiri unahitaji kufikirishwa kidogo ili uangavuke akilini kwamba kura za kutokuwa na imani hazipigwi na Chama cha siasa zinapigwa na madiwani. Jitahidi kuwa na upanuzi wa fikra kama mtu au kiongozi mwenye hadhi ya kuwa katibu mwenezi wa chama, kwa kukumbusha kidogo tu ni kwamba zaidi ya wabunge 70 waliosaini kutokuwa na imani na Wzr wako mkuu (Wazr wa kwanza mvunja katiba) miongoni mwao walikuwemo wa Chama Cha Mabwepande (CCM). Tafakari hali ya kisiasa Arusha, tafakari vituko vyenu mnavyovifanya vinvyoudhi na kuleta kinyaa kwa watu wenye uelewa wakiwemo na hao madiwani na wabunge wenu nao ni Watanzania na hawapendi mnavyoua watu kwa bunduki na mabomu eti mtengeneze kesi dhidi ya CDM na kuipa sura mbaya kwa jamii, tafakari uhuni wenu wa kuhubiri siasa za udini, ukabila na sasa manaanza kutengeneza video za ugaidi kisha mnateka watu na kuwaumiza ili mseme ni CDM. Damu na machozi na vilio vya mnaowaua, wajane kama mke wa Mwangosi, mayatima, wazee wanaoachwa bila msaada, mliowapa ulemavu wote n.k. hakika yote yamepigwa chapa usoni mwenu daima na vitawahukumu kwa lipizo baya kila mmoja nyinyi nyote na wote wanaowaunga na tunawalaani hata kwa milipuko ya mabomu mnayoipanga, subirini kifo chenu ni 2015.

Kujipa matumaini ni jambo zuri lakini kujipa matumaini ya uongo ni jambo la hovyo! Kwa idadi ya madiwani katika Jiji la Arusha na mgawanyo wake hakuna chama kinachoweza kufikisha 2/3 ya madiwani na kwa kuwa kanuni zinasema ili umwondoe Meya kwa kura ya kutokua na imani naye lazima upate 2/3 ya madiwani wote, basi Meya is there to stay!

Ushauri wangu ni kuwa waliochaguliwa wafanye kazi ya kuwatumikia wananchi badala ya kuahangaika na ndoto za mchana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom