Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,054
- 5,960
Huku Arusha nauli za dalada ziko juu kuliko mji wowote Tanzania; kutoka kituo hadi kingine abiria wanalipishwa shilingi elfu moja [tsh.1,000/=], mkuu wa mkoa yupo, LATRA wapo, sasa mamlaka hizo [serikali] zinafanya kazi gani wakati kisheria nauli zinathibitiwa?
Yaani Arusha ni mji ulio exceptional? Au huku ni nchi nyingine? Serikali kutwa inapambana kuwadhibiti Chadema huku wananchi wanaumizwa na hali ngumu ya maisha na kuibiwa na wamiliki wa daladal Arusha. Hii sio haki.
Vv