CHADEMA na ndoto za kumuondoa Meya Arusha!

CHADEMA na ndoto za kumuondoa Meya Arusha!

Kujipa matumaini ni jambo zuri lakini kujipa matumaini ya uongo ni jambo la hovyo! Kwa idadi ya madiwani katika Jiji la Arusha na mgawanyo wake hakuna chama kinachoweza kufikisha 2/3 ya madiwani na kwa kuwa kanuni zinasema ili umwondoe Meya kwa kura ya kutokua na imani naye lazima upate 2/3 ya madiwani wote, basi Meya is there to stay!

Ushauri wangu ni kuwa waliochaguliwa wafanye kazi ya kuwatumikia wananchi badala ya kuahangaika na ndoto za mchana!

Slowly slowly JF members, Pamajo na kwamba majority hatumpendi Nape for the obvious reason. Ninaomba tujadili hii hHOJA yake. Hivi ni KWELI unahitaji 2/3 ya kura za madiwani WOTE ili kumuondoa MEYA kwa VOTE OF NO CONFIDENCE?! Naomba tuache siasa tujadili KANUNI/SHERIA hii. Wajuvi wa sheria tunaomba mtuelimishe.

Kama kanuni itakuwa hivyo, mimi ni mmojawapo nitakaye kuwa NIMEKWAZA sana na kanuni/sheria hii. Uko wapi UHALILA mathalani wa kuongozwa na NAIBU MEYA kutoka TLP wakati TLP ina diwani MMOJA tu. Matokeo ya uchaguzi Arusha yanaonesha Chama pendwa kwa Wakaazi wa Arusha ni CDM. This is UNDISPUTED FACT. Hivyo Jiji la Arusha lilitakiwa liongozwe na CDM, hiyo ndiyo demokrasia.

Tufanye nini? Katika Katiba mpya tusikubali tena huu UHUNI wa CCM. Tupendekeze sasa MAMEYA wote wa Majiji wawe wanapigiwa kura direct na wananchi badala ya kuchaguliwa na madiwani kama yalivyo majiji mengine duniani kama London, New York, Paris etc.

Wakazi wa Ilemela Mwanza bado wanaumizwa na MEYA wa KICHINA aliyewekwa KIHUNI na CCM Bwn. Henry Matata ambaye hana Chama (CDM walishamfukuza). Sasa na huko Arusha wataongozwa tena na MEYA wa KICHINA aliyewekwa na KIMABAVU NA WAHUNI wa CCM BWn. Gaudence Lyimo!!

Huu UHUNI wa CCM ndiyo unatufanya Watanzania MAKINI tuichukie CCM, na tuukomeshe kwenye KATIBA MPYA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE WOTE.
 
Kujipa matumaini ni jambo zuri lakini kujipa matumaini ya uongo ni jambo la hovyo! Kwa idadi ya madiwani katika Jiji la Arusha na mgawanyo wake hakuna chama kinachoweza kufikisha 2/3 ya madiwani na kwa kuwa kanuni zinasema ili umwondoe Meya kwa kura ya kutokua na imani naye lazima upate 2/3 ya madiwani wote, basi Meya is there to stay!

Ushauri wangu ni kuwa waliochaguliwa wafanye kazi ya kuwatumikia wananchi badala ya kuahangaika na ndoto za mchana!

Arucha city full council should comprise 32 members
2/3 of 32 ni 21; baada ya Sombetini CDM will definetly make it 16 only 5 short of 21 the magic number!!

TLP wameshazisoma alama za nyakati; Tanzania bila CCM
Look at this CDM 16 + TLP 2 = 18 just 3 short of the target

Squabbles within CCM are good fodder for CDM to capture 3 disgruntled CCM councillors; either anti Mary Chatanda camp or anti-Edward Lowassa camp
So here goes the final tally:
CDM 16 + TLP 2 + CCM rebels 3 = 21; and that is the 2/3 margin to clinch the Mayoral seat.

If you think the 2/3 is a margin too high; that is day dreaming! the Arusha political dynamics do not agree with you.

Pitiable Nape Nnauye as a senior CCM functionary should know better; sasa kama hata wewe unaanza kufanya tathmini mbovu kama za mwenzio "the devil incarnate" Mwigulu Nchemba (May he burn to ashes in hell); no wonder CCM was thumped by CDM in the just concluded Arusha civic elections!
So do not celebrate too soon; CDM is at work and the struggle continues; Aluta continua!
 
Nadhan umechanganya ulafi wa madaraka unapatikana cdm.

Chadema hata tulipo baki madiwani saba tuliendelea kudai uchaguzi wa haki na uwe huru, na kama ni madaraka mlitupa kaimu meya(Malla), katibu wa fedha(Bayo), na vyeo kibao ili tufunike kombe mwana haramu apite hatukudanganyiaka...hivyo elewa kuwa Arusha tunataka uchaguzi wa meya ulio huru na haki..
 
kwa hali ya siasa za arusha hata hao madiwani wenu wapo radhi watoke ccm, wahamie cdm halafu wagombee kwa cdm ili waendelee kubaki au wajiunge na wana mapinduzi wa kweli. ila ccm naona mnazeeka vibaya.
 
Kujipa matumaini ni jambo zuri lakini kujipa matumaini ya uongo ni jambo la hovyo! Kwa idadi ya madiwani katika Jiji la Arusha na mgawanyo wake hakuna chama kinachoweza kufikisha 2/3 ya madiwani na kwa kuwa kanuni zinasema ili umwondoe Meya kwa kura ya kutokua na imani naye lazima upate 2/3 ya madiwani wote, basi Meya is there to stay!

Ushauri wangu ni kuwa waliochaguliwa wafanye kazi ya kuwatumikia wananchi badala ya kuahangaika na ndoto za mchana!

ikipigwa kura ya kumwagusha meya wenu vipi Mary Chatanda mtamleta tena aje kuokoa jahazi?
 
Nape soma alama za nyakati. Siasa zenu za majitaka na ujanja ujanja zitawagharimu sana . Jahazi linazama ( 4 - 0 ) .
 
Sihusiki na hisia zako, huu ndio ukweli Chama makini kingejadili kuwatumikia watu badala ya kupoteza siku nzima mnajadili jambo lisilowezekana

Meya wa kichina atachomoka tu.

Hata kabla ya uchaguzi wa arusha ulitoa maneno kama haya ya kujitekenya mwenyewe ila mwisho wa siku mkakalia misumari minne ya moto.

Mmeua raiya hapa SOWETO ila nakuambia, damu hii itakutafuna wewe Nape Nnauye na vizazi vyenu vyote mpaka kizazi cha 9.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kujipa matumaini ni jambo zuri lakini kujipa matumaini ya uongo ni jambo la hovyo! Kwa idadi ya madiwani katika Jiji la Arusha na mgawanyo wake hakuna chama kinachoweza kufikisha 2/3 ya madiwani na kwa kuwa kanuni zinasema ili umwondoe Meya kwa kura ya kutokua na imani naye lazima upate 2/3 ya madiwani wote, basi Meya is there to stay!

Ushauri wangu ni kuwa waliochaguliwa wafanye kazi ya kuwatumikia wananchi badala ya kuahangaika na ndoto za mchana!

Ni sawa sawa na ninyi mlivyojipa matumaini ya uwongo kuwa mtashinda kwenye uchaguzi wa madiwani wa kata 4 za Arusha ulifanyika jumapili 14/07/2013 na kuipa ushindi wa kishindo CHADEMA. Hiyo ni dalili tosha kuwa chama tawala kimechokwa mno.

Chama tawala sio tuu kimechokwa bali hata chenyewe kimechoka. Kimechoka kuongoza ndio maana hakitumii tena akili ya kuweza kupambanua mambo na kuja na mbinu mbadala ya kuwangoza wananchi vyema. Dalili mojawapo ya kuwa chama tawala kuchoka ni pamoja na kuchagua watu kama wewe Nape Nnauye kuwa katibu mwenezi na Mwigulu Nchemba kuwa naibu katibu mkuu.. Ni aibu kubwa sana kwa chama tawala kufanya uamuzi wa kitoto kama huo. Ni dalili tosha kuwa chama tawala kimechoka kifikiria na sasa kila mtu anaangalia maslahi yake binafsi.

Eti wewe Nape na Mwigulu Nchemba mnaingia kwenye kamati kuu ya chama tawala.. Watu msiokuwa na weledi hata kidogo zaidi ya njaa na ubinafsi wa hali ya juu. Njaa ni mbaya mno. Hakuna hata mmoja aliye tayari kukemea ujinga na uozo mkubwa uliopo kwenye serikali inayoongozwa na chama tawala.
 
Angalieni, Nape kaachwa mwenyewe, ingekuwa Nchemba kaanzisha ungekuta akina Hamy-D, Ritz...wanashambulia kama mchwa, narudia tena Nape, huwezi kushindana na Mafisadi, rudi kundini......
 
Ushauri wangu ni kuwa waliochaguliwa wafanye kazi ya kuwatumikia wananchi badala ya kuahangaika na ndoto za mchana!

Kwa mara nyingine umerudi kwenye rangi yako angalia na jibu nukuu ya crashwise

je alichaguliwa kwa 2/3 au walioshiriki kunchagua walifika 2/3..kumbe sheria mnazijua..

Kwa akili za kinepi nepi hiyo sheria inawahusu Chadema si CCM; lakini LIWALO NA LIWE

Sihusiki na hisia zako, huu ndio ukweli Chama makini kingejadili kuwatumikia watu badala ya kupoteza siku nzima mnajadili jambo lisilowezekana

Si hisia labda huko Lumumba mnafanya kazi kwa hisia; hii miaka yote bila madiwani wa Chadema mmewatumikiaje wananchi? Kwa taarifa yako, zile kodi za Halmashauri zilizokuwa zinakusanywa na CCM SASA BASI zitakwenda Halmashauri na kutumika lkuleta maendeleo bila Meya wenu wa Kichina. UPO PINDA?
 
Sihusiki na hisia zako, huu ndio ukweli Chama makini kingejadili kuwatumikia watu badala ya kupoteza siku nzima mnajadili jambo lisilowezekana

UNAWATUMIKIA VIPI WATU BILA YA KUWA NA DOLA? Kuupata umeya ndio KUIPATA dola kwenyewe
 
kusema wale wajumbe 15 wa CHADEMA lazima waungane na wengine 9 wa CCM kitu ambacho hakiwezi kutokea kirahisi hata hivyo naamini hakuna HOJA YOYOTE YA CCM ITAKAYOPITA KAMA WAJUMBE WA CHADEMA WATAIKATAA kwa lugha nyepesi sana CCM wanaweza kubaki na Meya wao KIBOGOYO huku CHADEMA wakiendelea kuiongoza ARUSHA kwa Uwingi na Maamuzi ambayo yatakuwa yanatolewa na Baraza la Madiwani.Hongereni Watu wa Arusha kwa kuruhusu UMMA kuanza kufanya Maamuzi
 
Watu wa Chadema kuweni makini Nape Nnauye anachokonoa mada makusudi wengine wanaanza kutoa siri bila kujua wakidhani wanamtisha.

Kuweni makini mada zingine zina malengo maalum.
 
Last edited by a moderator:
Kujipa matumaini ni jambo zuri lakini kujipa matumaini ya uongo ni jambo la hovyo! Kwa idadi ya madiwani katika Jiji la Arusha na mgawanyo wake hakuna chama kinachoweza kufikisha 2/3 ya madiwani na kwa kuwa kanuni zinasema ili umwondoe Meya kwa kura ya kutokua na imani naye lazima upate 2/3 ya madiwani wote, basi Meya is there to stay!

Ushauri wangu ni kuwa waliochaguliwa wafanye kazi ya kuwatumikia wananchi badala ya kuahangaika na ndoto za mchana!

Umedhihirisha mateso mnayowapa watu wa Arusha kumbe ilikuwa umeya!Labda tukuuulize-huyo Meya unaemzungumzia alichaguliwa kwa proportion gani ya madiwani?Ili uendelee kushabikia uwepo wake!Kwa taarifa Gaudence anajuta sana kutumikia cheo cha damu kwa kushinikizwa.muda wowote atasalimu amri tu ajiuzulu maana hakuwa mganga njaa kama wengine wenu akitegemea umeya ili atoke.
 
Kujipa matumaini ni jambo zuri lakini kujipa matumaini ya uongo ni jambo la hovyo! Kwa idadi ya madiwani katika Jiji la Arusha na mgawanyo wake hakuna chama kinachoweza kufikisha 2/3 ya madiwani na kwa kuwa kanuni zinasema ili umwondoe Meya kwa kura ya kutokua na imani naye lazima upate 2/3 ya madiwani wote, basi Meya is there to stay!

Ushauri wangu ni kuwa waliochaguliwa wafanye kazi ya kuwatumikia wananchi badala ya kuahangaika na ndoto za mchana!

Sheria hiyo ni nzuri sana, Cha msingi itisheni uchaguzi wa haki na amani halafu ikikosekana hiyo 2/3 basi aendelee na ikipatikana ampishe mwingine. Ya nini kulumbana sana.
 
Sihusiki na hisia zako, huu ndio ukweli Chama makini kingejadili kuwatumikia watu badala ya kupoteza siku nzima mnajadili jambo lisilowezekana

Yaani kama we ulivyopoteza mda wako kuandika huu uzi na kuacha kuwatumikia wanaokupa ugali. Nimekuelewa mkuu. Tetesi zinasema unaongea sana against CDM ila ukiwa peke yako chumbani unafurahia sana milestone inayopiga katika kurekebisha madudu ambayo CCM imeyafanya.
Ukweli unao na unaujua kuwa kama sio matatizo unayohisi yanaweza kukupata utakapoondoka CCM leo hii ungeshatangaza nia zamani sana ya kujiunga na CDM.
Hapa najua nimekugusa mahala fulani. Naomba usikurupuke kujibu. Kaa kikao na nafsi yako halafu meza kimya kimya.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
32Roberts
Kanuni za uchaguzi wa Meya ziko wazi, hachaguliwi kwa 2/3 isipokua kumwondoa unahitaji 2/3!

Nape nimekodoa macho kutafuta jibu la mdau aliye uliza hili swali huko mwanzo ila sijaona ukijibu.
Quote
je alichaguliwa kwa 2/3 au walioshiriki kunchagua walifika 2/3..kumbe sheria mnazijua..
Unquote
Jibu hili kwanza!
 
kweli arusha inakuumiza kichwa braza.mm nadhani kwa sasa viongozi wa ccm mnakumbuka usemi usemao "muosha huoshwa"kwaheri tukutane 2015.
 
Tatizo ni dogo sana umechanganya uongo na ukweli pamoja ndo maana hauliki! Ni kweli kuwa mie muumini wa uimara wa upinzani kuisaidia CCM kufanya vizuri zaidi.Na imani hii siisemei chumbani naisema hadharani. Mengine ni hisia zako ambazo hazinihusu!

Yaani kama we ulivyopoteza mda wako kuandika huu uzi na kuacha kuwatumikia wanaokupa ugali. Nimekuelewa mkuu. Tetesi zinasema unaongea sana against CDM ila ukiwa peke yako chumbani unafurahia sana milestone inayopiga katika kurekebisha madudu ambayo CCM imeyafanya.
Ukweli unao na unaujua kuwa kama sio matatizo unayohisi yanaweza kukupata utakapoondoka CCM leo hii ungeshatangaza nia zamani sana ya kujiunga na CDM.
Hapa najua nimekugusa mahala fulani. Naomba usikurupuke kujibu. Kaa kikao na nafsi yako halafu meza kimya kimya.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kumbe hofu yenu kuu ni hiyo nafasi ya Umeya?

mkuu, kama unakumbuka vizuri, chanzo cha kurudiwa kwa uchaguzi huo kilitokana na tamaa ya umeya ambayo chadema wanayo. hivyo usishangae Nape kuwaeleza ukweli wa jambo hilo ili tusipate usumbufu mwingine wa kufanya uchaguzi kutokana na jambo lisilowezekana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom